MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

JIFUNZE KISWAHILI

Welcome, Guest
You have to register before you can post on our site.

Username
  
Password
  
Search Forums

(Advanced Search)

Forum Statistics
» Members: 5,481
» Latest member: Kundlimatching
» Forum threads: 2,178
» Forum posts: 2,256

Full Statistics

Online Users
There are currently 56 online users.
» 0 Member(s) | 55 Guest(s)
Bing

Latest Threads
Buy Vilitra 60 Mg |【Get E...
Forum: Historia ya makabila ya kibantu
Last Post: Kieth_winsett
04-24-2023, 11:45 AM
» Replies: 0
» Views: 0
How to take Cenforce50?
Forum: Historia ya makabila ya kibantu
Last Post: Kieth_winsett
04-19-2023, 12:59 PM
» Replies: 0
» Views: 0
About the Vidalista 60 Mg...
Forum: Historia ya makabila ya kibantu
Last Post: Kieth_winsett
04-04-2023, 04:07 PM
» Replies: 0
» Views: 0
What Is Vidalista 60?
Forum: Historia ya makabila ya kibantu
Last Post: Kieth_winsett
04-03-2023, 10:49 AM
» Replies: 0
» Views: 0
How to take Cenforce 100 ...
Forum: Historia ya makabila ya kibantu
Last Post: Kieth_winsett
03-29-2023, 02:37 PM
» Replies: 0
» Views: 66
How is Vidalista 10 Mg us...
Forum: Watunzi wa Kiswahili
Last Post: Kieth_winsett
03-27-2023, 01:26 PM
» Replies: 0
» Views: 117
Obtain Thesis Paper Assis...
Forum: Historia ya makabila ya kibantu
Last Post: Minny02
03-24-2023, 03:01 PM
» Replies: 0
» Views: 200
SEO services for sports f...
Forum: Historia ya makabila ya kibantu
Last Post: Maria Poland
03-17-2023, 01:51 PM
» Replies: 1
» Views: 223
NUKUU ZA KISWAHILI DARASA...
Forum: Nukuu
Last Post: MwlMaeda
01-15-2023, 05:31 PM
» Replies: 0
» Views: 788
NECTA K4 2022
Forum: Mitihani
Last Post: MwlMaeda
01-15-2023, 05:25 PM
» Replies: 0
» Views: 403

  SHAIRI: PUA UTAANGUKIA
Posted by: MwlMaeda - 08-05-2021, 08:13 PM - Forum: Ushairi - No Replies

PUA UTAANGUKIA
Chambililecho Waswahili, lihiswaha cholembicha,
Nisikilize rijali, hata Kama umechacha,
Si Leo toka awali, walisema magalacha,
Mpenda Cha bure boza, jiangalie kijana.

Jiangalie kijana, kwa macho ya kupikicha,
Nakumbuka mwakajana, yaliyomkuta Chacha,
Alidhani amevuna, kumbe kazoa makucha,
Mpenda Cha bure boza, jiangalie kijana.

Unasema utajiri, wa kuzoa na kuacha,
Tuambie hiyo siri, masikio kupekecha,
Mimi naona hatari, hata Kama wewe ticha,
Mpenda Cha bure boza, jiangalie kijana.

Hamu imekuishia, beti chache ninaacha,
Si kwamba nimefulia, Mimi bado nipo chicha,
Kichwa kimeniregea, naona Bora kuacha,
Mpenda Cha bure boza, jiangalie kijana.

Mtunzi Filieda Sanga
Mama B
Mabibo Dsm
0753738704

Print this item

  SHAIRI: HAKI ZETU
Posted by: MwlMaeda - 08-05-2021, 08:11 PM - Forum: Ushairi - Replies (1)

HAKI ZETU
Acha watoto wadogo, waje kwangu Yesu Bwana,
Watoto sio mzigo, muanze kututukana,
Pia ukali wa mbogo, unatuumiza sana,
Sisi watoto wadogo, zetu haki tupatiwe.

Kwanza haki ya malazi, yawe Safi na salama,
Pia na yetu mavazi, Yale yenye sia njema,
Chakula enyi Wazazi, katu msijetunyima,
Sisi watoto wadogo, zetu haki tupatiwe.

Ulinzi na usalama, hivyo ni muhimu kwetu,
Tuwe na afia njema, na matendo yenye utu,
Tuoneeni huruma, jueni sisi ni watu,
Sisi watoto wadogo, zetu haki tupatiwe.

Kingine kitu elimu, tutieni darasani,
Na mahitaji muhimu, ya shule tupatieni,
Mfanowe yunifomu, na viatu mguuni,
Sisi watoto wadogo, zetu haki tupatiwe.

Twataka kusikilizwa, yetu mawazo watoto,
Tumechoka kuumizwa, kwa majeraha ya Moto,
Na bakora kuchakazwa, twangalieni watoto,
Sisi watoto wadogo, zetu haki tupatiwe.

Ubakaji ulawiti, siku hizi vimezidi,
Hutukuta umaiti, kwa mambo ya kigaidi,
Nchi inatusaliti, kuteseka tuna budi,
Sisi watoto wadogo, zetu haki tupatiwe.

Nyumbani tunanyanyaswa, hatuna raha jamani,
Malezi tunayopaswa, Leo hayaonekani,
Taabini tumenaswa, twendeni wapi jamani, sisi watoto wadogo, zetu haki tupatiwe.

Mtunzi Filieda Sanga
Mama B
Mabibo Dsm
0753738704

Print this item

  MTIHANI WA PAMOJA JULAI 2021
Posted by: MwlMaeda - 08-05-2021, 04:04 PM - Forum: Mitihani - No Replies

.pdf   KISWAHILI JOINT JULAI 2021.pdf (Size: 209.13 KB / Downloads: 73)

Print this item

  HADITHI FUPI YA KISWAHILI
Posted by: MwlMaeda - 08-05-2021, 07:52 AM - Forum: Hadithi - No Replies

Wataalamu wengi hasa wale wa awali waliamini kuwa hadithi fupi ni utanzu wa riwaya lakini baadaye mwishoni mwa miaka ya 1990, wataalamu mbalimbali walisema hadithi fupi na riwaya ni vitu viwili tofauti.

Mfano: WAMITILA anasema;
Hadithi fupi si sura katika riwaya, tukio au kituko ambacho kimechopolewa katika hadithi fupi au kisa kirefu, bali humvutia na kumleta msomaji na kumfanya aamini kuwa ingeweza kuharibika ikiwa itakuzwa na kuwa ndefu au kama itafanywa sehemu ya kazi kubwa. Naye NGURE, 2003:1-2 anasema; Hadithi fupi ni masimulizi ya kubuni yaliyoandikwa juu ya tajiri na maisha. Sifa yake kuu ni ufupi ambao ni tofauti na riwaya. Hadithi zenye mbano wa wahusika, mbano wa mandhari, mbano wa maudhui ina dhamira moja.
SIFA ZA HADITHI FUPI
1.      Mara nyingi ni fupi na huweza kusomeka kwenye mkao mmoja.
2.      Ina athari ya aina moja.
3.      Inakuwa na ufinyu wa wahusika; wahusika hawafafanuliwi kwa kina
4.      Haiwi na uchangamani wa mandhari, muundo na mtindo; sehemu hizo hazielezwi kwa kina.
5.      Huishia na taharuki; haimalizi simulizi

Print this item

  MISINGI YA HADITHI FUPI (1)
Posted by: MwlMaeda - 08-05-2021, 07:44 AM - Forum: Hadithi - No Replies

MAELEZO

Utangulizi
Madhumuni ya sehemu hii ni kumsaidia msomaji na mtafiti wa Utanzu wa Badithi fupi na fasihi. Sehemu hii ina mambo ya muhimu yahusuyo Istilahi za Kifasihi, orodha ya vitabu vya hadithi fupi, orodha ya magazeti ambayo yamepata kuchapisha hadithi fupi ama kwa sasa yanaendelea kuchapisha hadithi fupi, Bibliografia na marejeo, orodha ya vitabu vya nadharia ya utanzu wa hadithi fupi na fasihi kwa ujumla ambavyo vimetumika katika kuandaa kitabu hiki.
A. Bibliografia
Hii ni orodha ya makala na vitabu mbalimbali vinavyohusu NADHARIA ya hadithi fupi na fasihi kwa ujumla. Kwa hakika hivi ni baadhi tu ya vitabu ama makala yaliyosomwa katika maandalizi ya kitabu hiki. Bado watafiti wanayo nafasi ya kufanya utafiti mkubwa zaidi.
B. Orodha ya Vitabu vya Hadithi
Kama ilivyoonyeshwa, orodha hii inajumuisha baadhi ya vitabu vya hadithi fupi za aina mbili. Aina ya kwanza ya vitabu hivyo ni ile ambayo inahusu hadithi zile zenye asili ya simulizi, hadithi za kingano.
Hadithi hizi ni fupi sana ukilinganisha na hadithi fupi za kisasa. Aidha, zimepoteza hali yake ya kisanaa kwa kiasi kikubwa kama ilivyojadiliwa katika kitabu hiki katika sehemu ya kwanza.
Kuweko kwa orodha hii ni muhimu kwa sababu hadithi za kisasa zina athari nyingi kutoka hadithi za kingano.
Kundi la pili katika orodha hiyo linahusu hadithi za kisasa. Kulinganisha na kundi la awali, orodha hii si ndefu sana. Hivyo, mwandishi hakuona umuhimu wa kutenganisha orodha hiyo.
C. Orodha ya Magazeti
Magazeti yaliyoandikwa katika orodha hii yana mambo mawili: Kwanza, baadhi ya magazeti hayo kwa sasa hayako. Na yale ambayo yako, mengine hayaandiki tena hadithi fupi kama ilivyokuwa hapo zamani.
Magazeti hayo yamehusika sana katika kukuza lugha ya Kiswahili na kuendeleza hadithi fupi za Kiswahili. Kwa sababu hii orodha hii ni muhimu kwa sababu itawasaidia wapenzi na watafiti wa hadithi fupi za Kiswahili kufanya utafiti zaidi.
D. Istilahi za Fasihi
Hii ni kamusi ndogo ya maneno ya taaluma ya fasihi. Kwa muda mrefu kumekuwa na matumizi mbalimbali ya Istilahi za aina hii. Aidha, mpaka sasa kumekuwa bado na kutoafikiana juu ya matumizi ya baadhi ya Istilahi hizo. Hata hivyo, kuna Istilahi zilizokubalika.
Katika kutayarisha Istilahi hizo ambazo zimetumika humu kitabuni uangalifu mkubwa ulitumika. Istilahi zile zilizokuwa zikitumika na kuzoeleka katika Idara ya Kiswahili ya Chuo Kikuu, Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili, BAKITA, Vyuoni na katika Shule za Sekondari zimechukuliwa na kutumika vilevile. Kama hakuna Istilahi yoyote iliyopata kutumika, Istilahi mpya irneundwa ili kukidhi haja ya matumizi yake, japo yaweza iwe ni kwa muda tu. Ndiyo kusema kuwa Istilahi hizo zinaweza kubadilika kwa kiasi fulani kadiri siku zipitavyo, lakini tegemeo kubwa ni kuwa nyingi zitabaki na maana zilizoelezwa.
Istilahi nyingi zilizoandikwa katika orodha hii zilipata kujadiliwa na wataalamu mbalimbali katika SEMINA YA FASIHI iliyoandaliwa na Taasisi ya Uchunguzi wa Lugha ya Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, 1978-79. Aidha, hizi ni baadhi tu ya Istilahi zote zilizoko humo kitabuni. Msomaji anayo nafasi ya kufanya utafiti zaidi na kuongeza idadi ya Istilahi hizo. Ni matumaini ya mwandishi kuwa orodha hii itamsaidia msomaji wa kitabu hiki kuelewa zaidi mambo yaliyojadiliwa humu kitabuni.
E: Faharasa
Huu ni mwongozo wa dhana na mambo muhimu apmoja na majina ya waandishi na wasanii wengine mashuhuri walionukuliwa katika kitabu hiki. Orodha hiyo imeandaliwa kwa uangalifu mkubwa ili kuwafanya wasomaji na watumiaji wa kitabu hiki kwa ujumla wasipate matatizo wanapohitaji kufanya rnarejeo ya haraka.

Print this item

  MISINGI YA HADITHI FUPI (2)
Posted by: MwlMaeda - 08-05-2021, 07:36 AM - Forum: Hadithi - No Replies

NYONGEZA A: BIBLIOGRAFIA

Altenbernd, L., L.L. Lewis, A Handbook for ihe Study of Fiction, Macmillan Company, London, 1966.
Abrams, M.H., The Mirror and the Lamp, W.W. Norton and Company, Inc. New York, 1953.
Abrams, M.H., Understanding Fiction, Appleton-Century-Crofts, London, 1943.
Abrams, M.H., Literary Topics, Friedland, New York, 1964.
Abrams, M.H., On Literature and Art, Progress Publishers, Moscow, 1978.
A. Quiller Couch, On the Art of Writing, Cambridge University Press, London, 1923.
Abdulla, M.S. “Kuandika Hadithi za Kubuni,” katika Uandishi wa Tanzania (Mhariri: J.P. Mbonde), EALB, Dar es Salaam, 1974.
Arvon, H., “Form and Content,” katika Marxist Eesthetics, Cornell Univeristy Press, Ithaca na London, 1954.
Bearne, C.G., Writers and Critics, Oliver and Boyd, Edinburgh, 1969.
Berngozi, B., The Situation of the Novel, Pelican Books, 1972.
Blair, W., Gerber, J, Garber, E., “Characters,” katika Literature, Scott, Foresman and Company, 1959:1966.
Blair, W., Gerber, J, Garber, E., “Introduction to Short Stories, Drama and Poetry,” m Literature, Scott, Foresman and Company, U.S.A. 1959: 1966.
Booth, W.C., The Rhetoric of Fiction, University of Chicago Press, Chicago, 1965.
Brooks, C., Warren, P.R., Fundamentals of Good Writing, Dobson, London, 1966.
Brooks, C., Warren, P.R., Understanding Fiction, Appleton- Century-Crofts, Inc. New York, 1943.
Brooks, C., Warren, P.R., Fundamentals of Good Writing, Dobson, London, 1956.
Capote, T., “On Problems ofForm and Technique,” kutoka Writers ai Work, Viking Press, New York, 1958.
Cassil, R.V. “Form and Expression in the Short Story,” katika On Creative Writing, By Paule Engle, E.P. Dutton & Co. Inc. New York, 1966).
Chekhov, A., Letters on the Short Story, the Drama, and Other Literary Topics, Friedland, New York, 1964.
Day, H., You too can Write for Money, A. Thomas and Co. Preston, 1961.
Deutsch, B., Poetry Handbook, Jonathan Cape, Thirty Bedford Square London, 1965.
Fischer, E., Art Against Ideology, George Braziller, New York, 1969.
Fischer, E., The Necessity of Art: A Marxist Approach, Pelican Original, Balt more-Maryland.
Foster, E.M., Aspects of the Novel, Pelican, London, 1962.
Frank O’Oconnor, The Lonely Voice: A Study ofthe Shorl Story, Macmillan, London, 1962.
Fraser, G.S. The Modern Writer and His World, Pelican Books, 1905.
Gallishaw, J., Twenty Problems of Fiction Writer, Putman’s Sons, New York London,1929.
Gibbe, A.G., “Tamathali za Usemi na Mengineyo,” katika Shaaban Robert: Mshairi, TPH, Dar es Salaam, 1980.
Grabo, C.H., The Art of the Short Story, Scribners Sons, New York, Chicago, 1940.
Haji, A.I, Mzee, A.M., Naaman, R.M., Mbarouk, A.A., Fasihi Simulizi Zanzibar, 1981, Taasisi ya Kiswahili na Lugha za Kigeni, Zanzibar, 1983.
Hamad, A.K., ‘Tofauti kati ya Fasihi Simulizi na Fasihi Andishi,’ katika Misingi ya Nadharia ya Fasihi, Taasisi ya Kiswahili ya Lugha za Kigeni, Zanzibar, 1981.
Hamad, A.K., Misingi ya Nadharia ya Fasihi, Taasisi ya Kiswahili na Lugha za Kigeni, Zanzibar, 1981.
Harte, B., “The Rise ofthe Short Story,” kutoka Cornhil Magazine, VII, I – 8, 1899.
Hebblewhite, A.B., Fiction Writing for West Africans, Macmillan, New York, London, 1962.
Holman, C.H., A Handbook to Literature, The Odyssey Press, New York, 1936.
Irving, W., “On Style and Purpose in the Short Story,” Kutoka katika The Life and Letters of Washington Irving, G.P. Putman, New York, 1824.
Jones, V., Creative Writing, Teach Yourself Books, 1975.
Kane, I.S., Peters, L.J., Writing Prose (Technique and Purposes), OUP, New York, 1964.
Kezilahabi, E., “Utunzi wa Riwaya na Hadithi Fupi.” (Makala), 1978.
Kuhenga, C., Tamathali za Usemi EALB, Dar es Salaam, Nairobi, Kampala, 1977.
Lardner, R., “How to Write Short Stories,” kutoka katika How to Wriie Short Stories, Charles Scribners Sons, New York, 1924.
Lihamba, A., “Hadithi katika Utendaji Wake,” (Makala), 1980.
Lu Hsun, A Brief History of Chinese Fiction, Foreign Languages, Peking, 1976.
Lunacharsky, A., On Literature and Ari, Progress Publishers, Moscow, 1973.
Marx, K., Engels, F., “Class Relations and Class Ideology,” katika On Literature and Art, porgress Publishers, Moscow, 1978.
Mathews, B., The Philosophy of the Short Story, Longman Green and Co., New York, 1901.
Matteru, M.L., “Uhuru wa Mwandishi,” katika Kioo cha Lugha, Chama cha Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, 1975.
Maughaw, W.S., “Credo ofa Short Storyteller,” kutoka katika Saturday: A Practical Bandbook on the Rise, Structure,
Maughaw, W.S., Writing and Sale ofthe Modern Short Story, Hinds, Noble and Elderdge, New York: 1909.
Mbenna, I.C., Uandishi wa Vitabu, TPH, Dar es Salaam, 1978.
Mitchell, J., “Aesthetic Problems of the Development of the Proletarian-Revolutionary Novel in Nineteenth-Century Britain,” katika Marxists on Literature: An Anthology,Penguin Books, 1975.
Mohamed, S.A., “Hatua Mbalimbali za Kubuni na Kutunga Riwaya,” (Makala) TUKI, 1978.
Mphahlele, E., A Guide to Creative Writing, EALB, Dar es Salaam. 1966.
Muhando, P., Balisidya, N., Fasihi na Sanaa za Maonyesho, TPH, Dar es Salaam, 1976.
Mulokozi, M.M., Kahigi, K.K., “Vipengele vya Ushairi,” katika Kunga za Ushairi na Diwani Yetu, TPH, Dar es Salaam, 1979.
Ngugi wa Thong’o, Homecoming, HEB, London. Ibadan. Nairobi, 1972
Ngugi wa Thong’o, Writers in Politics, HEB, London. Ibadan. Nairobi, 1981
Ngugi wa Thong’o, Ngugi Detained: A Prison Diary, HEB, London. Ibadan. Nairobi, 1981.
Ngugi wa Thong’o, A Barrel ofa Pen, BEB/USA, 1983.
O’Brien, C.C., Writer and Politics: Essays and Criticism, Penguin Books, 1976.
O’Connor, F., “On Writing the Short Story,” Paris Review, 1957.
O’Faola’In Sean, The Short Story, Collins, London, 1948.
Poe, E.A., “On the Aim and Technique of the Short Story,” kutoka katika Grahm’s Magazine, XI, 106 – 113. Thomas Y. Crowel and Co., New York, 1842.
Saroyan, W. “Short Story,” katika Cassell’s Encyclopaedia of Literature, Cassell and Company Ltd. London, 1953.
Saroyan, W. “What is a Short Story?” katika The Saturday Review of Literature, XI (January 5, 1953) Vol. 409.
Sayi, E.M. ‘Tamatnali za Usemi,” katika Kiswahili, Black Star, Dar es Salaam, 1980.
Scholes, R., Kellog, R., The Nature of Narrative, OVP, New York, 1966. Senkoro, F.E.M.K. Fasihi Simulizi, Mswada 1987.
Shafe, P., Pocket Encyclopaedia of Short Siory Writing, Bond Publishers, New York, 1965.
Thomson, C.C., “The Short Story,” katika The Right Way io Write Successful Fiction, Andrew George Eliot, London, 1946.
Wellek, R., Warren, A., “Image, Metaphor, Symbol, Myth,” katika Theory of Literature, HBJ Book, New York and London, 1975.
Westland, P., “The Theory ofShort Story,” kutoka katika Literary Appreciation, The English University Press Ltd., 1966.
Williams, R., “Ideology,” katika Marxism and Literature, OUP, Oxford, 1977. Zabel, M.D., Craft and Character in Fiction, Pelican, London, 1957.
Zis, A., “Art and Ideology,” katika Foundations of Marxist Aestherics, Progress Publishers, Moscow, 1977.
Zis, A., “The Image m Arts,” katika Foundations of Marxists Aesthetics, Progress Publishers, 1977

Print this item

  MISINGI YA HADITHI FUPI (3)
Posted by: MwlMaeda - 08-05-2021, 07:25 AM - Forum: Hadithi - No Replies

NYONGEZA B: ORODHA YA VITABU VYA HADITHI

A. Banzi (1980) Tamaa Mbele na Hadithi Nyingine. Benedictine Publications, Ndanda – Peramiho.
A.T.A. Karagho (1979) Hadithi Zenye Hekima na Maadili, TPH.
A.T. Banzi (1983) Nipe Nikupe na Hadithi Nyingine, Ndanda Press.
Baraza la Mitihani, Zaka la Damu na Hadithi Nyingine, Dar es Salaam.
BBC-London (1974) Mapenzi ni Kikohozi, Longman.
BBC-London (1970) Vituko Duniani, Longman.
BBC-London (1971) Pavumapo Palilie, Longman.
B. Mapalala (1976) Cheo Dhamana, EAPH, Dar es Salaam.
C.K. Omari (1973) Barabara ya Tano, TPH, Dar es Salaam.
C.S. Majaliwa (1952) Kichwa Upande na Hadithi Nyingine, Sheldon Press.
D. Muhando (1958) Hadithi za Kienyeji Zimekuwa za Kikristo, Dar es Salaam.
D.M. Ndimbo (1966) Paukwa Pakawa, TPH, Dar es Salaam.
F. Worthing (1963) Sungura Mjanja, OUP, Nairobi.
G. Ruhumbika (1974) Parapanda, EALB, Dar es Salaam.
G.A. Mhina (1966) Safari ya Ndoa Saba, TUKI.
G. Rwechungura (1972) Hadithi za Mapokeo, TPH, Dar es Salaam.
I.C. Mbenna (1976) Siuwezi Ujamaa, EAPH, Dar es Salaam.
J.P. Mbonde (1964) Hadithi za Kiboko Hugo, TPH, Dar es Salaam.
J. Mkabarah (1972) Siibi Tena, Maarifa Publishers.
J.K. Kiimbila (1972) Visa vya Walimwengu, Longman, Tanzania.
J. Rutayisingwa (1985) Papa la Mji, GAP.
J. Mkabara (1974) Maisha Duni, BSA, Dar es Salaam.
Kateta Mwana Charo (1976) Kutoka Kizazi Hadi Kizazi, EALB
L.O. Omolo (1971) Uhalifu Haulipi, Longman, Kenya.
M.T. Mayowa (1982) Burudiko la Hadithi, DUP, Dar es Salaam.
M. Said (1972) Hadithi za Kale, Longman, Kenya.
M.S. Mohamed (1978) Kicheko cha Ushindi, Shungwaya, Nairobi.
M. Msokile (1981) Nitakuja kwa Siri, DUP, Dar es Salaam.
Nicco ye Mbajo (1982) Piga Moyo Konde, Mcheshi Publishers.
O. Mbega (1982) Ndoto Kivulini, Bantu Publishers.
P. Kola (1972) Jinsi Chui alivyopata Madoa, na Hadithi Nyingine, EAPH, Nairobi.
S. Mallya (1975) Babu Simulia, TPH, Dar es Salaam.
S. Komba (1978) Mchaka Mchaka wa Maisha na Hadithi Nyingine, Benedictine Publications.
Y. Komora (1972) Mpopoo Nena, Mpopoo Teka, EAPH, Nairobi.

NYONGEZA C: ORODHA YA MAGAZETI
 
Quote:Barazani Catholic Publishers.
Chereko Rashid S. Nassoro.
Fahari ya Afrika Mashariki Tai Publishers (T) Ltd. Fredd Jim Mdoe
Film Tanzania Faraji Katalambulla.
Habari za Mwezi UMCA.
Hamasa Kassim Chande.
Kiongozi Catholic Publishers.
Lengo East African Venture Company.
Mamho Leo Mpiga Chapa wa Serikali.
Masimulizi UMCA.
Mwangaza Mpiga Chapa wa Serikali.
Mzalendo Chama cha Mapinduzi, Dar es Salaam.
Pwani na Bara Protestant Missions.
Rafiki Yangu Catholic Publishers.
Sani S.S. Bawji.
Tamasha Tamasha Publication.
Taifa Tanzania/Kenya GPO.
Ujamaa Chuo cha Chama Kivukoni.

Print this item

  MISINGI YA HADITHI FUPI (4)
Posted by: MwlMaeda - 08-05-2021, 07:22 AM - Forum: Hadithi - No Replies

.pdf   NYONGEZA D.pdf (Size: 238.89 KB / Downloads: 0)

Print this item

  MISINGI YA HADITHI FUPI (5)
Posted by: MwlMaeda - 08-05-2021, 07:09 AM - Forum: Hadithi - No Replies

.pdf   Msuko Msago.pdf (Size: 98.85 KB / Downloads: 0)

Print this item

  ORODHA YA WAANDISHI WA HADITHI ZA KUSISIMUA
Posted by: MwlMaeda - 08-04-2021, 05:59 PM - Forum: Hadithi - No Replies

Miongoni mwa vipaji ambavyo Tanzania imetunukiwa, ni pamoja na orodha kubwa ya waandishi wa hadithi za Kiswahili. Waandishi wengi wamechomoza kwa uhodari na umahiri wao kila mmoja katika kona yake. Katika somasoma yangu nimeondokea kuwahusudu waandishi kama 30 hivi wanaofanya maajabu kupitia kalamu zao. Lakini, kwa kuchelea kuwakirihisha nafsi, nimeonelea niandike japo orodha fupi isiyozidi waandishi kumi tu, kila mmoja kwa sifaze matayasar.

1. SHAABAN ROBERT
Umahiri wake katika utunzi na uandishi wa mashairi na tendi kama vile; Mapenzi bora, Almasi za Afrika, Utubora mkulima, nk, ulipelekea akabandikwa lakabu ya “SHAHA WA MALENGA”, yaani “mfalme/kinara wa washairi”. Gwiji huyu alisifika barani Afrika kwa umahiri wake wa kutumia lugha fasaha yenye adabu na insafu, pamoja na zaida ya uwezo wake wa kuibua misamiati mipya iliyozidi kukitajirisha Kiswahili. Sheikh Shaaban Robert alikuwa ni mwanazuoni wa fasaha kubwa na hekima. Ukwasi wake wa maneno ulimfanya aweze kufupisha simulizi ndefu kwa kutumia maneno machache bila kuathiri mantiki (uwekevu maneno). Kipaji alicho kidhihirisha katika vitabu vyake kama ADILI NA NDUGUZE, MAISHA YANGU NA BAADA YA MIAKA HAMSINI, KUSADIKIKA, SIKU YA WATENZI WOTE, WASIFU WA SITI BINTI SAAD, nk, vilipelekea mzaliwa huyu wa Tanga kutumiwa na chama cha TANU katika harakati zake za kudai uhuru kama mhamasishaji, na baadaye kupewa heshima kubwa na utawala wa Kingereza, kwa kupewa tuzo ya uraia nchini Uingereza, yaani ‘Member of the British Empire (MBE), pamoja na tuzo nyingine kama vile ‘Margaret Memorial Prize for Writing’. Maneno hayatoshi kumzungumza bwana huyu aliyetawafu tangu mwaka wa 62.

2. MOHAMMED SAID ABDULLAH.
Yamkini tangu kufariki kwake, hajapata tena kutokea mwandishi mwingine bingwa wa kuandika hadithi za kiuchunguzi zilizobuniwa kwa umahiri kama alivyofanya yeye. Mzee Mohammed kupitia mhusika wake mkuu katika vitabu vyake, aliyemwita Bwana MSA (ikiwa ni ufupisho wa majina yake mwenyewe, yaani, Mohammed Said Abdulla), aliuelimisha na kuuburudisha umma kwa namna alivyokuwa akiyaduhushi na kuyadunzi mambo mazito yaliyoshindikana kupatiwa ufumbuzi. Vitabu vyake kama vile Duniani kuna watu, Mzimu wa watu wa kale, Kisima cha Giningi, Siri ya sifuri, Mwana wa yungi hulewa, nk, vilimfanya mwandishi huyu wa Kizanzibar kujitwalia heshima kubwa barani Afrika. Kihistoria, hakuna aliyewahi kushika kitabu cha mzee huyu, na kukikacha bila ya kukimaliza.

3. BEN MTOBWA.
Dunia kupitia Tanzania ilikuja kushuhudia kuibuka kwa wimbi kubwa la utunzi na uandishi wa riwaya za kijamii na kipelelezi kupitia kwa Ben Mtobwa, aliyeandika hadithi zake kwa kumtumia mhusika wake mkuu, Joram Kiango. Katika zamani hizo, waandishi wengi kama Elvis Musiba (Willy Gamba), Eddy Ganzel, Hammie Rajab, Faraj Katalambula, nk, waliokuwa wakiandika kwa namna iliyotaka kufanana, walijipatia umaarufu pamoja na heshima kubwa kupitia vitabu vyao kama vile Kikomo, Msako wa hayawani, Sanda ya jambazi, Simu ya kifo, nk. Kinachomfanya Ben Mtobwa aingie kwenye orodha hii kwa niaba yao, ni vitabu vyake vingi kutokukauka sokoni, kiasi cha kufanya vizazi hadi vizazi kuendelea kumsoma, tofauti na wenziye ambao miaka ya hivi karibuni wamepotea sokoni kwa kukosa usimamizi na uchapaji wa kazi zao.
4. BEKA MFAUME
Unaposikia vitabu bora kama Dhihaka, Mhanga wa Ikulu, Aya za shetani, Mwana Mji, Mwiba, nk, vikiongelewa kwa raghaba na kupigiwa mfano, basi fahamu kwamba, mtunzi na mwandishi aliyefanya kazi hizo zinazosifika kila pembe ya nchi hii, ni Beka Mfaume, au The Greatest kama anavyojiita mwenyewe. Ukibahatika kumsoma mzee huyu utagundua kwamba, ndani ya kichwa chake Mola amejaza ubongo uliohifadhi kipaji cha ajabu mno katika usimuliaji wa matukio pamoja na maarifa ya maisha ya kijamii.
5. HUSSEIN TUWA.
Waswahili husema ‘Mwana wa mhunzi asiposana huvukuza’. Tuwa ni mtoto wa msimulizi hodari na mwandishi pia, mama Sango Kipozi. Pengine ndiyo sababu za cheche zake kila uchao kuwasha moto katika wingu la uandishi wa riwaya.
Linapotajwa jina lake, Hussein Tuwa, kinachorindima vichwani mwa wengi ni ile sifa yake kubwa: BINGWA WA TAHARUKI. Na anapojiita bingwa wa Taharuki hatanii. Kwa wamsomao wanaelewa. Kama humjui, basi haraka katafute vitabu vyake kama MKIMBIZI, MFADHILI, MDUNGUAJI, WIMBO WA GAIDI, nk, ndipo utaelewa. Kila unaposoma sehemu ndogo tu ya visa vilivyomo katika vitabu vyake, basi utabaki roho juu huku ukitaka kujua mwishilizo wake kwa hamu na ghamu, mpaka utakapomaliza. Ufahamu wake mkubwa na maarifa aliyonayo kichwani, pengine kwa kupenda sana kujisomea au kusafiri sehemu nyingi duniani, kumemfanya awe na ufahamu pamoja ujuzi mkubwa wa kuyadadavua mambo magumu yanayojiri katika ulimwengu huu wa sasa, na kuyaweka katika vitabu vyake hata yakaeleweka kiurahisi.
6. PROF. E. KEZILAHABI.
Pengine kwa sababu haandiki sana mitandaoni wala kwenye magazeti, ndiyo maana vijana wengi ambao hawakubahatika kupitia katika vyuo vya elimu za juu, ambako anafundisha, wanakuwa hawajamsoma vya kutosha. Umahiri wa Prof. Kezilahabi katika Kiswahili si tu ule wa kuzaliwa na kujifunza toka kwa wazee, kama ilivyo kwa akina Shaaban Robert na Mzee Mudhihir M. Mudhihir, bali yeye ni bingwa aliyesomea na kubobea katika lugha. Hivyo, lugha hiyo inapokutana na uanachuoni wake, huzalisha maandishi makali sana dhidi ya mambo ya msingi katika jamii hasa utawala mbovu, shida za watu katika jamii, nk. Utayasadiki niyanenayo kama utatafuta kazi zake chache tu; Rosa Mistika, Kaptula la Max, Kichwa maji, nk.
7. FADHY MTANGA.
Huyu ni mwandishi kijana, mwenye upeo mkubwa juu ya mambo mbalimbali. Pamoja na kutoandika vitabu vingi sana, lakini vitabu vyake viwili tu vilivyotapakaa mtaani; FUNGATE na HUBA vimemtangaza na kumpambanua kama mwandishi mahiri sana. Fadhy ni msomaji hodari sana anayejibidiisha si tu kusoma vitabu, bali pia machapisho mbalimbali mitandaoni na kwingineko. Amekuwa makini sana anapoandika hata sentensi moja tu, lazima atazingatia matumizi sahihi ya lugha na alama za uandishi kiasi cha ya kuyafanya maneno yake kuwa na ladha ndani ya ubongo wa msomaji hata kama ameamua tu kufanyiza stihizai. Fadhy ana uwezo wa kuchukua kisa cha kawaida kabisa, labda alichokishudia safarini au mtaani, lakini akakisimulia kwa ufundi mpaka ukajikuta hutamani kuishia njiani. Zaidi, mwandishi huyu ana ukwasi wa maneno ya Kiswahili, kiasi cha kumrahisishia kuandika sentensi fupi-fupi bila kumkirihi msomaji.
8. ERIC .J. SHIGONGO.
Unapoongelea waandishi waliopata kutamba na kusomwa zaidi magazetini, huna budi kumtaja mjasiriamali huyu mwenye historia ya kipekee. Shigongo ametoa mchango mkubwa mno kuhuisha utamaduni wa usomaji vitabu uliokwishaanza kupotea. Kwa kupitia vitabu vyake kama Siku za mwisho wa uhai wangu, Rais anampenda mke wangu, nk, Shigongo ameweza kujijengea heshima na ngome kubwa ya wasomaji wake. Zaidi, Shigongo amethubutu kuufanya uandishi wa vitabu kuwa biashara, hata ameweza kuwashawishi wengi kujikita huko.
9. Ongezea unaowafahamu wewe

Print this item