MISINGI YA HADITHI FUPI (3) - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Fasihi simulizi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=6) +---- Forum: Hadithi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=48) +---- Thread: MISINGI YA HADITHI FUPI (3) (/showthread.php?tid=769) |
MISINGI YA HADITHI FUPI (3) - MwlMaeda - 08-05-2021 NYONGEZA B: ORODHA YA VITABU VYA HADITHI A. Banzi (1980) Tamaa Mbele na Hadithi Nyingine. Benedictine Publications, Ndanda – Peramiho.
A.T.A. Karagho (1979) Hadithi Zenye Hekima na Maadili, TPH.
A.T. Banzi (1983) Nipe Nikupe na Hadithi Nyingine, Ndanda Press.
Baraza la Mitihani, Zaka la Damu na Hadithi Nyingine, Dar es Salaam.
BBC-London (1974) Mapenzi ni Kikohozi, Longman.
BBC-London (1970) Vituko Duniani, Longman.
BBC-London (1971) Pavumapo Palilie, Longman.
B. Mapalala (1976) Cheo Dhamana, EAPH, Dar es Salaam.
C.K. Omari (1973) Barabara ya Tano, TPH, Dar es Salaam.
C.S. Majaliwa (1952) Kichwa Upande na Hadithi Nyingine, Sheldon Press.
D. Muhando (1958) Hadithi za Kienyeji Zimekuwa za Kikristo, Dar es Salaam.
D.M. Ndimbo (1966) Paukwa Pakawa, TPH, Dar es Salaam.
F. Worthing (1963) Sungura Mjanja, OUP, Nairobi.
G. Ruhumbika (1974) Parapanda, EALB, Dar es Salaam.
G.A. Mhina (1966) Safari ya Ndoa Saba, TUKI.
G. Rwechungura (1972) Hadithi za Mapokeo, TPH, Dar es Salaam.
I.C. Mbenna (1976) Siuwezi Ujamaa, EAPH, Dar es Salaam.
J.P. Mbonde (1964) Hadithi za Kiboko Hugo, TPH, Dar es Salaam.
J. Mkabarah (1972) Siibi Tena, Maarifa Publishers.
J.K. Kiimbila (1972) Visa vya Walimwengu, Longman, Tanzania.
J. Rutayisingwa (1985) Papa la Mji, GAP.
J. Mkabara (1974) Maisha Duni, BSA, Dar es Salaam.
Kateta Mwana Charo (1976) Kutoka Kizazi Hadi Kizazi, EALB
L.O. Omolo (1971) Uhalifu Haulipi, Longman, Kenya.
M.T. Mayowa (1982) Burudiko la Hadithi, DUP, Dar es Salaam.
M. Said (1972) Hadithi za Kale, Longman, Kenya.
M.S. Mohamed (1978) Kicheko cha Ushindi, Shungwaya, Nairobi.
M. Msokile (1981) Nitakuja kwa Siri, DUP, Dar es Salaam.
Nicco ye Mbajo (1982) Piga Moyo Konde, Mcheshi Publishers.
O. Mbega (1982) Ndoto Kivulini, Bantu Publishers.
P. Kola (1972) Jinsi Chui alivyopata Madoa, na Hadithi Nyingine, EAPH, Nairobi.
S. Mallya (1975) Babu Simulia, TPH, Dar es Salaam.
S. Komba (1978) Mchaka Mchaka wa Maisha na Hadithi Nyingine, Benedictine Publications.
Y. Komora (1972) Mpopoo Nena, Mpopoo Teka, EAPH, Nairobi.NYONGEZA C: ORODHA YA MAGAZETI
Quote:Barazani Catholic Publishers. |