MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
JIFUNZE KISWAHILI - Search Results

Search Results
Post Author Forum Replies Views Posted [asc]
    Thread: ETIMOLOJIA YA MANENO 'PUNGUANI, HAYAWANI ' NA 'MAJNUNI'
Post: ETIMOLOJIA YA MANENO 'PUNGUANI, HAYAWANI ' NA 'MAJ...

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA MANENO 'PUNGUANI, HAYAWANI ' NA 'MAJNUNI' Maneno *punguani, hayawani na majnuni* yanatumika kwa maana ya mtu ambaye akili zake zina hitilafu; mwendawazimu, chizi, kichaa, mw...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 684 06-27-2022, 06:13 AM
    Thread: ETIMOLOJIA YA MANENO 'FAKIRI/FUKARA' na 'MASKINI'
Post: ETIMOLOJIA YA MANENO 'FAKIRI/FUKARA' na 'MASKINI'

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA MANENO 'FAKIRI/FUKARA' na 'MASKINI' Neno *fakiri* katika lugha ya Kiswahili ni nomino [ *Ngeli: a-/wa-]* yenye maana ya mtu asiye na mali, maskini sana. Neno *fakiri* pia...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 818 06-26-2022, 08:42 AM
    Thread: MTIHANI WA UTAMILIFU KIDATO CHA NNE (SHULE ZA KIISLAM)
Post: MTIHANI WA UTAMILIFU KIDATO CHA NNE (SHULE ZA KIIS...

MwlMaeda Mitihani 0 775 06-24-2022, 07:20 AM
    Thread: MTIHANI WA PAMOJA MKOA WA IRINGA
Post: MTIHANI WA PAMOJA MKOA WA IRINGA

MwlMaeda Mitihani 0 619 06-24-2022, 07:17 AM
    Thread: MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) KIDATO CHA PILI -2021
Post: MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) KIDATO CHA PILI -2021

MwlMaeda Maswali na majibu 0 782 06-24-2022, 07:14 AM
    Thread: MTIHANI WA UPIMAJI WILAYA KIDATO CHA NNE
Post: MTIHANI WA UPIMAJI WILAYA KIDATO CHA NNE

MwlMaeda Maswali na majibu 0 765 06-23-2022, 07:10 AM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO 'KALIBU'
Post: ETIMOLOJIA YA NENO 'KALIBU'

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO 'KALIBU' Neno *kalibu* katika lugha ya Kiswahili ni *nomino: [Ngeli: i-/zi-*] yenye maana zifuatazo: 1. Chombo kitumikacho kuyeyushia madini kwa mfano risasi. 2. ...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 2,334 06-21-2022, 06:33 AM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO 'BAFTA'
Post: ETIMOLOJIA YA NENO 'BAFTA'

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO 'BAFTA' Neno *bafta* katika lugha ya Kiswahili ni *nomino: [Ngeli: i-/zi-*] yenye maana ya kitambaa cheupe kinachotengenezwa kwa nyuzi za pamba. Katika lugha ya Kiar...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 921 06-19-2022, 08:03 AM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO 'BADANA'
Post: ETIMOLOJIA YA NENO 'BADANA'

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO 'BADANA' Neno badana katika lugha ya Kiswahili ni nomino: [Ngeli: a-/wa-] yenye maana ya wanyama kama vile ng'ombe, kondoo, ngamia wanaochinjwa kuwa sadaka siku ya ibad...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 595 06-16-2022, 10:17 AM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO 'BAATHI'
Post: ETIMOLOJIA YA NENO 'BAATHI'

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO 'BAATHI' Neno *baathi* katika lugha ya Kiswahili lina maana zifuatazo: 1. *Bath.i* [Kitenzi elekezi] chenye maana ya 'rejesha uhai wa mtu au kiumbe aliyekuwa amekufa...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 601 06-15-2022, 06:15 AM
    Thread: SHAIRI: KUJUWA NI MATATIZO
Post: SHAIRI: KUJUWA NI MATATIZO

                  KUJUWA NI MATATIZO               Lugha yangu ya asili, niijuavyo si haba, najivuniayo sana             Lakini hii ya pili, ni Kizungu chanikaba, uwelevu nayo sina             Ndi...
MwlMaeda Ushairi 0 839 06-13-2022, 07:21 AM
    Thread: DHANA YA MWIKO
Post: DHANA YA MWIKO

Mwiko ni nini: Mwiko ni dhana inayotumika kurejelea kila kitu ambacho, kulingana na mikataba ya kijamii, imani za kidini au ushirikina tu, huzingatiwa haramu. Kwa hivyo, neno linatokana na "mwiko" ...
MwlMaeda Fasihi kwa ujumla 0 836 06-13-2022, 07:13 AM
    Thread: KAZI BINAFSI (TAFSIRI NADHARIA NA MBINU)
Post: KAZI BINAFSI (TAFSIRI NADHARIA NA MBINU)

MwlMaeda Maswali na majibu 0 879 06-12-2022, 07:02 PM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO 'SWALA/SALA'
Post: ETIMOLOJIA YA NENO 'SWALA/SALA'

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO 'SWALA/SALA' Neno *swala* katika lugha ya Kiswahili ni *nomino:* yenye maana zifuatazo: 1. Ibada yenye mkusanyiko wa maneno na vitendo kama vile kukaa, kuinuka, kuin...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 1 1,068 06-10-2022, 05:56 AM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO 'MBUZI'
Post: ETIMOLOJIA YA NENO 'MBUZI'

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO 'MBUZI' Neno mbuzi katika lugha ya Kiswahili ni nomino: [Ngeli: a-/wa-] yenye maana zifuatazo: 1. Mnyama wa kufugwa mfano wa swala mwenye pembe za ncha zinazoelekea ...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 705 06-07-2022, 03:47 PM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO 'SHEHE'
Post: ETIMOLOJIA YA NENO 'SHEHE'

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO 'SHEHE' Neno *shehe* katika lugha ya Kiswahili ni *nomino: [Ngeli: a-/-wa, wingi: mashehe*] yenye maana zifuatazo: 1. Mtu mwenye kiwango cha juu cha mafunzo ya dini ...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 713 06-05-2022, 08:40 AM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO 'ASKOFU'
Post: ETIMOLOJIA YA NENO 'ASKOFU'

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO 'ASKOFU' Neno *askofu*  katika lugha ya Kiswahili ni *Nomino [Ngeli: a-/wa-]* yenye maana zifuatazo: 1. Kasisi au mchungaji mkuu wa madhehebu ya Kikristo. 2. Kion...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 627 06-05-2022, 07:45 AM
    Thread: ETIMOLOJIA YA MANENO 'AKARABU/AKRABU'
Post: ETIMOLOJIA YA MANENO 'AKARABU/AKRABU'

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA MANENO 'AKARABU/AKRABU' Neno *akarabu* hutamkwa pia *akrabu* katika lugha ya Kiswahili lina maana zifuatazo: 1. *Nomino [Ngeli: i-/zi-]* mshale katika uso wa saa unaoonye...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 599 06-04-2022, 01:52 PM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO 'ISTIARA'
Post: ETIMOLOJIA YA NENO 'ISTIARA'

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO 'ISTIARA' Neno *istiara*  katika lugha ya Kiswahili ni *Nomino [Ngeli: i-/zi-]* yenye maana ya taratibu za usemi ambapo neno hutumiwa kwa maana tofauti na ile ya msingi...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 636 06-04-2022, 05:12 AM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO 'MAHARI'
Post: ETIMOLOJIA YA NENO 'MAHARI'

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO 'MAHARI' Neno *mahari*  katika lugha ya Kiswahili ni *Nomino [Ngeli: ya-/ya-]* yenye maana ya mali anayotoa mwanamume na kuwapa wazazi wa mwanamke anayetarajia kumwoa; ...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 680 06-02-2022, 05:54 AM