Search Results
|
Post |
Author |
Forum |
Replies |
Views
[asc]
|
Posted |
|
|
Thread: SWALI: Nini maana ya stadi ya kusikiliza? Eleza vipengele vyake
Post: SWALI: Nini maana ya stadi ya kusikiliza? Eleza vi...
SWALI: Nini maana ya stadi ya kusikiliza? Eleza vipengele vyake
JIBU
Kusikiliza ni stadi inayomuwezesha mtu kupokea maarifa kwa kusikiliza toka kwa mtu mwingine, au kutoka kwenye media zilimorekodiw... |
|
MwlMaeda |
Maswali na majibu
|
0 |
75,164 |
08-01-2021, 02:56 PM |
|
|
Thread: VITENDAWILI NA MAANA ZAKE
Post: VITENDAWILI NA MAANA ZAKE
VITENDAWILI NA MAANA ZAKE
A
1. Adui lakini po pote uendako yuko nawe. Inzi
2. Afahamu kuchora lakini hajui achoracho. Konokono
3. Afuma hana mshale. Nungunungu
4. Ajenga ingawa hana mikono. Ndege... |
|
MwlMaeda |
Semi
|
0 |
23,696 |
08-29-2021, 12:16 PM |
|
|
Thread: USANIFISHAJI WA KISWAHILI
Post: USANIFISHAJI WA KISWAHILI
Usanifishaji Wa Kiswahili
Usanifishaji wa lugha ni mchakato unaowezesha kupatikana kwa lugha moja yenye namna moja ya uzungumzaji na uandishi. Usanifishaji hutokea katika mazingira yenye vilugha (lah... |
|
MwlMaeda |
Maendeleo ya Kiswahili
|
0 |
22,887 |
09-06-2021, 04:21 PM |
|
|
Thread: MFANO WA TAHARIRI
Post: MFANO WA TAHARIRI
Tahariri ni makala ya mhariri (mkuu) wa jarida/gazeti fulani. Mhariri mkuu hutoa maoni yake kuhusu mojawapo ya maswala ibuka. Sehemu kuu za tahariri ni:
Jina la Gazeti/jarida
Tarehe/nambari ya tole... |
|
MwlMaeda |
Uandishi/Utungaji
|
0 |
22,669 |
07-24-2021, 07:24 AM |
|
|
Thread: AINA ZA KAMUSI
Post: AINA ZA KAMUSI
MAANA YA KAMUSI
Massamba (2012:24) kamusi ni kitabu cha orodha ya maneno katika lugha, yaliyopangwa kwa utaratibu maalum, pamoja na maana au fasili zake; katika uchanganuzi wa lugha haya ni maneno ya... |
|
MwlMaeda |
Kamusi
|
1 |
12,039 |
06-28-2021, 11:06 AM |
|
|
Thread: TOFAUTI KATI YA TENZI NA MASHAIRI
Post: TOFAUTI KATI YA TENZI NA MASHAIRI
Tenzi na mashairi hutofautiana hasa katika vipengele muhimu vifuatavyo: –
1. MUUNDO
Tenzi hutumia muundo wa tarbia katika beti zake ambapo mashairi yanauhuru wa kutumia miundo mingine tofauti kama... |
|
MwlMaeda |
Ushairi
|
0 |
10,866 |
06-14-2021, 12:14 PM |
|
|
Thread: MBINU ZA KUFUNDISHIA
Post: MBINU ZA KUFUNDISHIA
MBINU ZA KUFUNDISHIA
Mbinu za kufundishia, ni miongozo mbalimbali atumiayo mwalimu wakati wa kufundisha somo aliloliandaa kwa wanafunzi wake. Walimu wanapaswa kuamua kwa kuchagua kwa makini njia na m... |
|
MwlMaeda |
Nukuu
|
0 |
8,593 |
06-21-2021, 07:22 AM |
|
|
Thread: VIPENGELE VYA MTAALA
Post: VIPENGELE VYA MTAALA
Mtaala na falsafa ya nchi
Mitaala ni jumla ya mipango na uzoefu ulioratibiwa kwa ajili ya mafunzo ya aina fulani yenye malengo maalumu kwa wanafunzi. Mipango hiyo inaweza kuwa ni mambo, matendo na uz... |
|
MwlMaeda |
Zana za kufundishia
|
0 |
8,464 |
07-01-2021, 03:19 PM |
|
|
Thread: SWALI: ELEZA KWA MIFANO KIIMA NA KIARIFU NA VIJENZI VYAKE
Post: SWALI: ELEZA KWA MIFANO KIIMA NA KIARIFU NA VIJENZ...
SWALI: Eleza kwa mifano Kiima na Kiarifu na vijenzi vyake.
James, J na Faustino, M (2014) wanasema Kiima ni kipashio ambacho, aghalabu hutokea kabla ya kitenzi. Kipashio hiki hutaja mtenda au mtendwa... |
|
MwlMaeda |
Maswali na majibu
|
0 |
7,692 |
12-02-2021, 08:57 PM |
|
|
Thread: SIFA ZA MTAMBAJI WA FASIHI SIMULIZI
Post: SIFA ZA MTAMBAJI WA FASIHI SIMULIZI
SWALI: Kwa kutumia hoja tano, eleza sifa za mtambaji wa fasihi simulizi.
MAJIBU:
a) Asiwe mwoga ili kuweza kuzungumza mbele ya hadhira yake.
b) Asiwe na haya ili kuweza kuzungumzia mambo ya aibu in... |
|
MwlMaeda |
Maswali na majibu
|
0 |
7,069 |
06-21-2021, 08:37 AM |
|
|
Thread: SWALI: Taja changamoto zinazoikabili fasihi simulizi kutokana na maendeleo ya sasa
Post: SWALI: Taja changamoto zinazoikabili fasihi simuli...
MAJIBU:
Kutoweka kwa mawasiliano ya ana kwa ana baina ya fanani na hadhira.
Vitendo vya fanani na hadhira havionekani (kufifia kwa uhai na uhalisia wa fasihi simulizi)
Kupungua kwa hadhi, ubor... |
|
MwlMaeda |
Maswali na majibu
|
1 |
6,846 |
06-14-2021, 07:02 PM |
|
|
Thread: UHUSIANO WA FONETIKI NA FONOLOJIA
Post: UHUSIANO WA FONETIKI NA FONOLOJIA
Uhusiano uliopo kati ya Fonetiki na Fonolojia
Fonetiki na fonolojia ni vitu viwili ambavyo haviwezi kutenganishwa kamwe.Fonetiki ina mchango mkubwa sana katika taaluma ya fonolojia. Kwa maneno mengin... |
|
MwlMaeda |
Nukuu
|
0 |
6,684 |
06-14-2021, 12:08 PM |
|
|
Thread: NAHAU NA MAANA ZAKE
Post: NAHAU NA MAANA ZAKE
|
MwlMaeda |
Semi
|
0 |
6,480 |
06-17-2021, 07:58 PM |
|
|
Thread: DHANA YA SILABI, AINA NA MIUNDO YAKE
Post: DHANA YA SILABI, AINA NA MIUNDO YAKE
DHANA YA SILABI NA AINA ZAKE
Utangulizi
Jumanne, (2014) Silabi ni kipashio cha kifonolojia kinachohusu matamshi ambacho kwacho sauti za lugha hutamkwa mara moja na kwa pamoja kama fungu moja la saut... |
|
MwlMaeda |
Sarufi na Utumizi wa lugha
|
0 |
6,396 |
11-28-2021, 11:40 AM |
|
|
Thread: NAHAU ZA KISWAHILI NA MAANA ZAKE [TRANSLATED SWAHILI SAYINGS]
Post: NAHAU ZA KISWAHILI NA MAANA ZAKE [TRANSLATED SWAHI...
NAHAU ZA KISWAHILI NA MAANA ZAKE [TRANSLATED SWAHILI SAYINGS]
Imenukuliwa kutoka Gazeti la HABARILEO, Tanzania la Alhamisi, Januari 8 – 14, 2015
Na GENOFEVA MASAOAmekula chumvi nyingi ... |
|
MwlMaeda |
Semi
|
0 |
6,346 |
08-01-2021, 05:15 PM |
|
|
Thread: TABIA NA SIFA ZA LUGHA
Post: TABIA NA SIFA ZA LUGHA
Tabia ya Lugha
Zifuatazo ndizo tabia zinazojitokeza kwa kila lugha; tabia ambazo zinaihalalisha
lugha yo yote kuwa lugha na si vinginevyo.
(i) Lugha Ina Tabia ya Kukua
Lugha hukua kadri inavyo... |
|
MwlMaeda |
Sarufi na Utumizi wa lugha
|
0 |
6,013 |
06-22-2021, 06:18 PM |
|
|
Thread: AINA ZA TASWIRA
Post: AINA ZA TASWIRA
Taswira ni picha inayojengeka akilini mwa msomaji. Kuna aina tofauti tofauti za taswira. Kama vile
Taswira uoni –inajitokeza unapopewa picha ya mtu (umbile)
Taswira sikivu- unapewa picha akilini lak... |
|
MwlMaeda |
Uhakiki wa kazi za fasihi
|
0 |
5,701 |
12-28-2021, 09:35 AM |
|
|
Thread: VITENDAWILI VYA KISWAHILI
Post: VITENDAWILI VYA KISWAHILI
1. Aamkapo mtu hakosi kusema hivi: yuaa! – Kupiga
miayo.
Ni kawaida kwenda miayo baada ya kuamka.
2. Abeba mishale kila aendako – Nungunungu
au hata Kalunguyeye.
m.s. Kalunguyeye ni... |
|
MwlMaeda |
Semi
|
0 |
5,591 |
08-02-2021, 02:28 PM |
|
|
Thread: TOFAUTI KATI YA LUGHA YA BINADAMU NA MAWASILIANO YA WANYAMA
Post: TOFAUTI KATI YA LUGHA YA BINADAMU NA MAWASILIANO Y...
Kwa mujibu wa Masamba na Wenzake Mwaka (1999: 1) “Lugha ni mfumo wa sauti za nasibu ambazo hutumiwa na jamii kwa madhumuni ya mawasiliano kati yao”.
Pia kwa mujibu wa NKWERA F.M.V (1979) “Lugha ni ut... |
|
MwlMaeda |
Sarufi na Utumizi wa lugha
|
1 |
5,188 |
06-20-2021, 11:18 PM |
|
|
Thread: TOFAUTI KATI YA UKALIMANI NA TAFSIRI
Post: TOFAUTI KATI YA UKALIMANI NA TAFSIRI
KINADHARIA NA KIVITENDO
Katika makala hii tutaanza kueleza maana ya tafsiri na ukalimani. Sehemu ya pili tutaeleza vipengele vinavyotofautisha taaluma ya tafsiri na ukalimani.
Kwa kuanza na maana ya... |
|
MwlMaeda |
Tafsiri na Ukalimani
|
0 |
5,168 |
06-17-2021, 08:31 PM |