Search Results
|
Post |
Author |
Forum |
Replies |
Views |
Posted
[desc]
|
|
|
Thread: SHAIRI LA KUMUENZI HAJI GORA HAJI
Post: SHAIRI LA KUMUENZI HAJI GORA HAJI
Tangao la nuru yako, limezunguka bahari
Kimbunga kwenye maeko, kimetulia shuwari
Yamepita maandiko, kwa kalamu ya kahari
Umekwisha mzunguko, kuishi kwenye sayari
Lala salama habibi, kipenzi cha wa... |
|
MwlMaeda |
Watunzi wa Kiswahili
|
0 |
998 |
06-14-2021, 07:11 AM |
|
|
Thread: NAFASI YA VYAMA NA TAASISI MBALIMBALI KATIKA MAKUZI YA KISWAHILI
Post: NAFASI YA VYAMA NA TAASISI MBALIMBALI KATIKA MAKUZ...
Kwa Mukhtasari
IKIWA idara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI), awali ikiitwa Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (TUKI) ni miongoni mwa taasisi kongwe za... |
|
MwlMaeda |
Taasisi za kukuza lugha
|
0 |
1,853 |
06-14-2021, 07:19 AM |
|
|
Thread: KWA MKAPA HATOKI MTU
Post: KWA MKAPA HATOKI MTU
KWA MKAPA HATOKI MTU-KAULIMBIU YA SIMBA ILIYOWAFIKISHA HATUA YA ROBO FAINALI-KONGOLENI KWA KUTUHOMBORA-UCHAMBUZI WA MISEMO AU KAULIMBIU 7 ZA SIMBA
Anaandika PhD Dkt. Ahmad Sovu
Ndugu zanguni. J... |
|
MwlMaeda |
Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili
|
0 |
980 |
06-14-2021, 08:05 AM |
|
|
Thread: TOFAUTI YA TUZO NA TUNZO
Post: TOFAUTI YA TUZO NA TUNZO
Baina ya TUZO na TUNZO
Bwana Mohamed Swaleh, maneno yote mawili yatumika. Yategemea tu sehemu kuzungumzwako Kiswahili. Kwa mfano, katika lugha za Kiswahili za Pwani ya Kenya, neno la asili ni "tuzo",... |
|
MwlMaeda |
Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili
|
0 |
2,322 |
06-14-2021, 08:11 AM |
|
|
Thread: WASEMAVYO WANAHISTORIA WAARABU KUHUSU WASWAHILI
Post: WASEMAVYO WANAHISTORIA WAARABU KUHUSU WASWAHILI
سكنَ قوم البانتو الزّنوج ساحل أفريقيا مُنذ ما قبل التاريخ، وبدؤوا بالاتّصال مع أوائل التجار العربِ والفُرس الوافدين إلى المنطقة في القرن الثامن بعد الميلاد، وتوسَّع النشاطُ الإسلامي التجاري بسُرع... |
|
MwlMaeda |
Maendeleo ya Kiswahili
|
0 |
968 |
06-14-2021, 08:20 AM |
|
|
Thread: SHAIRI: HERI KUU NNE
Post: SHAIRI: HERI KUU NNE
HERI KUU NNE:
Heri ya kwanza adhimu,
ya kutoa maarifa.
Kuwapa watu elimu,
wa karibu na masafa.
Hii ni heri muhimu,
isiyokuwa na ufa.
Heri kutoa ma'rifa,
kuliko kukaa kimya.
Ya pili nayo n... |
|
MwlMaeda |
Ushairi
|
0 |
1,072 |
06-14-2021, 08:27 AM |
|
|
Thread: MNYAMBULIKO WA VITENZI
Post: MNYAMBULIKO WA VITENZI
Mnyambuliko wa vitenzi ni jinsi vitenzi vinavyobadilika kulingana na kauli/hali mbalimbali. Kwa mfano kutokana na kitenzi ‘soma’ tunawezapata somea, somewa, somwa n.k. Ni vizuri kuelewa kwamba sio vit... |
|
MwlMaeda |
Sarufi na Utumizi wa lugha
|
0 |
1,448 |
06-14-2021, 11:26 AM |
|
|
Thread: UHUSIANO WA FONETIKI NA FONOLOJIA
Post: UHUSIANO WA FONETIKI NA FONOLOJIA
Uhusiano uliopo kati ya Fonetiki na Fonolojia
Fonetiki na fonolojia ni vitu viwili ambavyo haviwezi kutenganishwa kamwe.Fonetiki ina mchango mkubwa sana katika taaluma ya fonolojia. Kwa maneno mengin... |
|
MwlMaeda |
Nukuu
|
0 |
6,684 |
06-14-2021, 12:08 PM |
|
|
Thread: TOFAUTI KATI YA TENZI NA MASHAIRI
Post: TOFAUTI KATI YA TENZI NA MASHAIRI
Tenzi na mashairi hutofautiana hasa katika vipengele muhimu vifuatavyo: –
1. MUUNDO
Tenzi hutumia muundo wa tarbia katika beti zake ambapo mashairi yanauhuru wa kutumia miundo mingine tofauti kama... |
|
MwlMaeda |
Ushairi
|
0 |
10,866 |
06-14-2021, 12:14 PM |
|
|
Thread: UMUHIMU WA NADHARIA KATIKA UHAKIKI WA FASIHI
Post: UMUHIMU WA NADHARIA KATIKA UHAKIKI WA FASIHI
Swali (Jadili umuhimu wa nadharia katika uhakiki wa fasihi) nadharia ni jambo la kweli (factual theory) husaidia kutafuta ukweli wa kazi, ni msingi wa kupimia ukweli unaowakilishwa.
Ni nyenzo ya kufik... |
|
MwlMaeda |
Nadharia mbalimbali
|
0 |
4,134 |
06-14-2021, 12:58 PM |
|
|
Thread: KUFIKA KWA WAARABU, BIASHARA YA UTUMWA NA UISLAMU
Post: KUFIKA KWA WAARABU, BIASHARA YA UTUMWA NA UISLAMU
WAARABU
Waarabu walifika katika pwani ya Afrika ya Mashariki zamani sana; hata haijulikani ni lini walifika Tanganyika kwa mara ya kwanza. Warabu walikuja Tanganyika kufaanya biashara ya dhahabu, w... |
|
MwlMaeda |
Maendeleo ya Kiswahili
|
0 |
4,418 |
06-14-2021, 03:20 PM |
|
|
Thread: FIKRA ZA ARISTOTLE KUHUSU UTENDI
Post: FIKRA ZA ARISTOTLE KUHUSU UTENDI
Pamoja na kuzungumzia tanzia, Aristotle anajadili juu ya utendi. Anasema kuwa utendi unafanana na tanzia katika sifa zifuatazo:
(i) Kwa upande wa kuzungumzia kadhia moja kuu inayojitosheleza.
(ii) U... |
|
MwlMaeda |
Nukuu
|
0 |
1,152 |
06-14-2021, 03:43 PM |
|
|
Thread: SWALI: Taja changamoto zinazoikabili fasihi simulizi kutokana na maendeleo ya sasa
Post: SWALI: Taja changamoto zinazoikabili fasihi simuli...
MAJIBU:
Kutoweka kwa mawasiliano ya ana kwa ana baina ya fanani na hadhira.
Vitendo vya fanani na hadhira havionekani (kufifia kwa uhai na uhalisia wa fasihi simulizi)
Kupungua kwa hadhi, ubor... |
|
MwlMaeda |
Maswali na majibu
|
1 |
6,846 |
06-14-2021, 07:02 PM |
|
|
Thread: MIIKO YA WASWAHILI/WAAFRIKA NA TAMADUNI ZA ULIMWENGU
Post: MIIKO YA WASWAHILI/WAAFRIKA NA TAMADUNI ZA ULIMWE...
MIIKO YA WASWAHILI/WAAFRIKA NA TAMADUNI ZA ULIMWENGU
Pamoja na mambo mengine mengi, mgeni au wageni hupenda kujifunza tamaduni za wenyeji. Hata kama watazidharau lakini lazima kwanza wazijue. Mimi n... |
|
MwlMaeda |
Historia ya makabila ya kibantu
|
0 |
1,136 |
06-14-2021, 07:11 PM |
|
|
Thread: WASIFU WA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Post: WASIFU WA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Aprili 13, mwaka 1922, safari ndefu ya maisha ya Mwalimu Kambarage Nyerere iliyochukua miaka 77 na miezi 6 ilianza Mwitongo kijijini Butiama, kilomita takribani 30 kutoka mji wa Musoma, mashariki mwa ... |
|
MwlMaeda |
Wasifu/Tawasifu
|
0 |
1,633 |
06-14-2021, 07:20 PM |
|
|
Thread: TAWASIFU YA SHAABAN ROBERT
Post: TAWASIFU YA SHAABAN ROBERT
KATIKA kitabu chake cha tawasifu “MAISHA YANGU NA BAADA YA MIAKA HAMSINI” Shaaban Robert anasimulia dhiki, adha na udhalili alioupitia, pengine kwa sababu ya Uafrika wake, kipindi cha ukoloni akiwa ka... |
|
MwlMaeda |
Wasifu/Tawasifu
|
0 |
1,271 |
06-14-2021, 07:25 PM |
|
|
Thread: WASIFU WA SITI BINTI SAAD
Post: WASIFU WA SITI BINTI SAAD
Siti binti Saad alizaliwa katika kijiji cha Fumba, Zanzibari (http://sw.wikipedia.org/wiki/Zanzibari) mwaka 1880. Alipozaliwa alipewa jina la ‘Mtumwa’ hii ni kwa vile alizaliwa katika kipindi cha utum... |
|
MwlMaeda |
Wasifu/Tawasifu
|
0 |
1,412 |
06-14-2021, 07:42 PM |
|
|
Thread: UFAHAMU NA UFUPISHO (ZOEZI)
Post: UFAHAMU NA UFUPISHO (ZOEZI)
Soma kifungu cha habari kifuatacho kisha jibu maswali yanayofuata
Niliendelea mbele kidogo, nikasema, nikatazama kulia, kushoto, mbele nyuma halafu kushoto tena, huku nikiwa makini zaidi. Moyo wa... |
|
MwlMaeda |
Mitihani
|
0 |
989 |
06-15-2021, 07:14 AM |
|
|
Thread: Lugha za Kibantu
Post: Lugha za Kibantu
Lugha za Kibantu ni kundi la lugha ambalo ni tawi la lugha za Niger-Kongo.
Lugha za Kibantu huzungumzwa hasa katika nchi za Nigeria, Kamerun, Guinea ya Ikweta, Gabon, Jamhuri ya Kongo, Jamhuri ya K... |
|
MwlMaeda |
Historia ya makabila ya kibantu
|
0 |
1,091 |
06-15-2021, 07:24 AM |
|
|
Thread: HISTORIA YA WACHAGA
Post: HISTORIA YA WACHAGA
WACHAGA
Usuli
Wachaga ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu lakini pia mchanganyiko wa damu, hasa ya Kikushi wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro.Shug... |
|
MwlMaeda |
Historia ya makabila ya kibantu
|
0 |
3,615 |
06-15-2021, 07:45 AM |