MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
JIFUNZE KISWAHILI - Search Results

Search Results
Post Author Forum [desc] Replies Views Posted
    Thread: Karibu sana
Post: Karibu sana

Jukwaa hili linahusu maarifa ya Lugha ya Kiswahili kwa ngazi ya Cheti, Stashahada na Shahada.
MwlMaeda Chuo 0 1,257 07-14-2021, 07:27 AM
    Thread: UTAFITI WA FASIHI SIMULIZI
Post: UTAFITI WA FASIHI SIMULIZI

UTAFITI WA FASIHI SIMULIZI M.M. MULOKOZI LENGO LA MUHADHARA Kueleza: UMUHIMU WA UTAFITI WA FASIHI SIMULIZI PANDE TATU KTK UTAFITI – Mtafiti, Mtafitiwa, MBINU NA VIFAA VYA UTAFITI UCHAMBUZI W...
MwlMaeda Fasihi kwa ujumla 0 2,078 09-10-2021, 06:06 PM
    Thread: FASIHI YA KITAIFA NA FASIHI YA KISWAHILI NI DHANA ILEILE ?
Post: FASIHI YA KITAIFA NA FASIHI YA KISWAHILI NI DHANA ...

MwlMaeda Fasihi kwa ujumla 0 846 09-10-2021, 08:07 AM
    Thread: Umuhimu wa kufundisha Fasihi Simulizi
Post: Umuhimu wa kufundisha Fasihi Simulizi

Ni jambo lisilopingika kuwa japo somo la Fasihi Simulizi tumelisikia kwa muda mrefu sasa,halitajwi rasmi katika mitaala ya masomo katika Shule za Msingi, isitoshe, uandishi kama tuuchukuliavyo katika ...
MwlMaeda Fasihi kwa ujumla 0 1,134 09-10-2021, 11:36 AM
    Thread: MADA: Fasihi Elektroniki: Matokeo ya Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia
Post: MADA: Fasihi Elektroniki: Matokeo ya Maendeleo ya ...

MwlMaeda Fasihi kwa ujumla 0 1,060 09-10-2021, 01:08 PM
    Thread: KEJELI NA FASIHI YA KISWAHILI – TANZANIA
Post: KEJELI NA FASIHI YA KISWAHILI – TANZANIA

MwlMaeda Fasihi kwa ujumla 0 1,071 09-10-2021, 03:48 PM
    Thread: NAFASI YA NYIMBO KATIKA FASIHI YA KISWAHILI
Post: NAFASI YA NYIMBO KATIKA FASIHI YA KISWAHILI

Kwa Muhtasari Kama mojawapo ya vipera vya fasihi, nyimbo zina uwezo wa kutekeleza majukumu mbalimbali katika jamii kwani ni rahisi sana kuteka makini ya hadhira. DHAMIRA kuu ya fasihi ni ile ya kuie...
MwlMaeda Fasihi kwa ujumla 0 1,306 09-10-2021, 04:50 PM
    Thread: Dhima ya Mianzo na Miisho katika Nathari za Kiswahili za Fasihi ya Watoto
Post: Dhima ya Mianzo na Miisho katika Nathari za Kiswah...

Dhima ya Mianzo na Miisho katika Nathari za Kiswahili za Fasihi ya Watoto: Mifano kutoka Riwaya na Hadithi za Kiswahili za Watoto
MwlMaeda Fasihi kwa ujumla 0 1,064 09-10-2021, 05:01 PM
    Thread: Fasihi ya Kiafrika wakati wa ukoloni & baada ya ukoloni
Post: Fasihi ya Kiafrika wakati wa ukoloni & baada ya uk...

Kazi nzuri za Kiafrika zinazojulikana Ulaya kutoka kipindi cha ukoloni na kile cha biashara ya utumwa ni za masimulizi ya utumwa, kama vile The Interesting Narrative of the Life of Olaudah Equiano (17...
MwlMaeda Fasihi kwa ujumla 0 1,180 09-10-2021, 05:14 PM
    Thread: DHANA YA FASIHI KWA UJUMLA
Post: DHANA YA FASIHI KWA UJUMLA

MwlMaeda Fasihi kwa ujumla 0 1,212 09-10-2021, 05:51 PM
    Thread: FASIHI YA KISWAHILI NA FASIHI KWA KISWAHILI IPI NDO IPI?
Post: FASIHI YA KISWAHILI NA FASIHI KWA KISWAHILI IPI ND...

FASIHI YA KISWAHILI NA FASIHI KWA KISWAHILI IPI NDO IPI? Upo mdahalo ambao umezuka baina ya wahakiki wa fasihi ya Kiswahili kuwa kuna fasihi ya Kiswahili na fasihi kwa Kiswahili. Washikilizi wa mtaz...
MwlMaeda Fasihi kwa ujumla 0 1,222 09-10-2021, 06:22 PM
    Thread: TAMATHALI ZA SEMI KATIKA FASIHI
Post: TAMATHALI ZA SEMI KATIKA FASIHI

Tamathali za semi ni maneno, nahau au sentensi ambazo hutumiwa na wasanii ili kutia nguvu katika maana, mitindo na hata sauti katika maandishi ama kusema. Wakati mwingine hutumiwa kama njia ya kuipamb...
MwlMaeda Fasihi kwa ujumla 0 1,973 09-13-2021, 09:48 AM
    Thread: Mgawanyo wa Kazi Kutokana na Jinsi
Post: Mgawanyo wa Kazi Kutokana na Jinsi

Maelezo ya Jumla Katika sehemu hii tunajumuisha maandishi yenye kuonyesha misimamo mbalimbali juu ya swala la wanawake katika nchi nyingine za Afrika, Dunia ya Tatu, na mashirika ya kimataifa yanayos...
MwlMaeda Fasihi kwa ujumla 0 942 09-14-2021, 05:10 PM
    Thread: UENEAJI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI
Post: UENEAJI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI

UENEAJI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI Ueneaji: hii ni dhana inayotumiwa kueleza mojawapo ya nadharia za Fasihi simulizi. Hutumiwa kuelezea uhusiano unaokuwepo kati ya hadithi za jamii mbalimbali. Dhamir...
MwlMaeda Fasihi kwa ujumla 0 1,854 09-14-2021, 06:32 PM
    Thread: HISTORIA YA FILAMU AFRIKA
Post: HISTORIA YA FILAMU AFRIKA

MwlMaeda Fasihi kwa ujumla 0 901 09-21-2021, 07:10 PM
    Thread: MGAWANYO WA TANZU NA VIPERA VYA FASIHI SIMULIZI KWA MUJIBU WA M.M Mulokozi (1989)
Post: MGAWANYO WA TANZU NA VIPERA VYA FASIHI SIMULIZI KW...

MwlMaeda Fasihi kwa ujumla 0 1,146 09-21-2021, 07:19 PM
    Thread: UHAI WA FASIHI SIMULIZI
Post: UHAI WA FASIHI SIMULIZI

Fasihi simulizi ni utanzu mmojawapo wa fasihi  ambao huwasilishwa kwa njia ya mdomo na hurithishwa toka kizazi kimoja hadi kingine. Tanzu za fasihi hii ni pamoja na ushairi, semi, sanaa za maonesho na...
MwlMaeda Fasihi kwa ujumla 0 3,491 09-29-2021, 10:31 AM
    Thread: UMUHIMU WA FASIHI SIMULIZI KATIKA JAMII
Post: UMUHIMU WA FASIHI SIMULIZI KATIKA JAMII

(i)  Kuburudisha Fasihi simulizi huweza kutumiwa kama burudani kwenye mkusanyiko wa jamii. Tanzu kama hadithi, ushairi, semi (methali, vitendawili, nk.) aghalabu hutumiwa ili kuwaburudisha waliokusan...
MwlMaeda Fasihi kwa ujumla 0 2,950 09-29-2021, 10:12 AM
    Thread: HALI NA MAENDELEO YA FASIHI YA KISWAHILI KATIKA TANZANIA
Post: HALI NA MAENDELEO YA FASIHI YA KISWAHILI KATIKA TA...

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Utangulizi Tarehe 20 na 21, Agosti 2013, kulifanyika mkutano wa kimataifa wa kukumbuka jitihada za hayati Shaaban Robert za kukuza Kiswah...
MwlMaeda Fasihi kwa ujumla 0 1,572 10-24-2021, 12:33 PM
    Thread: KEJELI KATIKA FASIHI YA KISWAHILI – TANZANIA (5)
Post: KEJELI KATIKA FASIHI YA KISWAHILI – TANZANIA (5)

Kwa kutumia mbinu ya majibizano kati ya mtambaji na mlevi, mwandishi ametumia kilima kama kejeli kwa viongozi. Kwa mfano, ametumia kilima cha Magharibi, mashariki, kati na Kaskazini. Dhana hii inaon...
MwlMaeda Fasihi kwa ujumla 0 906 10-24-2021, 12:41 PM