MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

UHAI WA FASIHI SIMULIZI

Thread Rating:
  • 0 Vote(s) - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
UHAI WA FASIHI SIMULIZI
#1
Fasihi simulizi ni utanzu mmojawapo wa fasihi  ambao huwasilishwa kwa njia ya mdomo na hurithishwa toka kizazi kimoja hadi kingine. Tanzu za fasihi hii ni pamoja na ushairi, semi, sanaa za maonesho na hadithi. mambo yanayoifanya fasihi simulizi iwe hai ni kama ifuatavyo:
  • Kuwepo kwa hali ya utendaji ambapo hushirikisha hadhira na fanani.
  • Kubadilika kulingana na wakati na mazingira.
  • Kuwepo kwa mtendaji ambaye ndiye mtendaji mkuu wa fasihi simulizi. huyu ndiye anayerithisha kazi za fasihi simulizi toka kizazi kimoja hadi kizazi kingine.
  • Kuwepo kwa hadhira tendi .
  • Kuwepo kwa utegemezi katika fasihi simulizi huifanya iwe hai.
  • Huzaliwa, hukua na mwisho hufa kulingana na maendeleo ya jamii.
  • Matumizi ya wahusika hai na halisi
  • Uwezo wa kuibua hisia wakati wa uwasilishaji
Mwl Maeda
Reply

Forum Jump:

Users browsing this thread: 1 Guest(s)