a) Vitendawili sahili ni vifupi na huwa na na muundo mwepesi kueleweka. K.v.
b) Vitendawili mkufu huwa na vipande vinavyofuatana na kila kipande huwa na uhusiano na kipande kilichotangulia. Mfano “ nikisimama anasimama, nikiketi anaketi, nikiondoka huondoka pia”
c) Vitendawili vya tanakali hutumia tanakali za sauti Mfano: Drrrrrrh mpaka ng’ambo “buibui”; huku ng’o na kule ng’o.
d) Vitendawili sambamba huwa na maelezo marefu (kama hadithi fupi) halafu jibu lake huwa ni refu pia (kama mafumbo)
Mwl Maeda