MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

REJESTA YA SIMU

Thread Rating:
  • 0 Vote(s) - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
REJESTA YA SIMU
#1
Rejesta ya Simu

Hii ni lugha inayotumiwa katika mazungumzo ya simu.

  • Sifa
  • Mfano

Sifa za lugha ya simu
  1. Mazungumzo ya simu ni mafupi, hutumia sentensi fupi zenye muundo rahisi.
  2. Hoja hutajwa moja kwa moja bila maneno mengi kwani ili kudhibiti gharama ya simu
  3. Huwa na kukatizana kwa maneno kati ya wazugumzaji.
  4. Huwa ni mazungumzo baina ya watu wawili pekee; anayepiga na anayepokea.
  5. Hutumia istilahi maalum za lugha ya simu kama neno ‘hello’
  6. Huchanganya ndimi (kutumia maneno yasiyo ya lugha nyinginezo) ili kuwasilisha ujumbe kwa upesi.
  7. Ni lugha ya kujibizana.
 
Mfano wa rejesta ya Simu
Sera: Hello. Ningependa kuongea na Mika.
Sauti: Subiri kidogo nimpatie simu.
Sera: Hello
Mika: Hello. Sema Sera. Niko kwenye mkutano…
Sera: Pole kwa kukusumbua. Unakumbuka safari yetu ya kesho?
Mika: Siwezi kusahau. Tunakutana saa ngapi?
Sera: napendekeza saa sita machana…
Mika: Katika Hoteli ya Kata tamaa
Sera: enhe. Hapo kwa heri
Mika: Haya. Bye!
Mwl Maeda
Reply

Forum Jump:

Users browsing this thread: 2 Guest(s)