MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

REJESTA YA SIMU - Printable Version
|
REJESTA YA SIMU - Printable Version
+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Sarufi na Utumizi wa lugha (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=9)
+--- Thread: REJESTA YA SIMU (/showthread.php?tid=187)
|
REJESTA YA SIMU - MwlMaeda - 06-21-2021
Rejesta ya Simu
Hii ni lugha inayotumiwa katika mazungumzo ya simu.
Sifa za lugha ya simu
- Mazungumzo ya simu ni mafupi, hutumia sentensi fupi zenye muundo rahisi.
- Hoja hutajwa moja kwa moja bila maneno mengi kwani ili kudhibiti gharama ya simu
- Huwa na kukatizana kwa maneno kati ya wazugumzaji.
- Huwa ni mazungumzo baina ya watu wawili pekee; anayepiga na anayepokea.
- Hutumia istilahi maalum za lugha ya simu kama neno ‘hello’
- Huchanganya ndimi (kutumia maneno yasiyo ya lugha nyinginezo) ili kuwasilisha ujumbe kwa upesi.
- Ni lugha ya kujibizana.
Mfano wa rejesta ya Simu
Sera: Hello. Ningependa kuongea na Mika.
Sauti: Subiri kidogo nimpatie simu.
Sera: Hello
Mika: Hello. Sema Sera. Niko kwenye mkutano…
Sera: Pole kwa kukusumbua. Unakumbuka safari yetu ya kesho?
Mika: Siwezi kusahau. Tunakutana saa ngapi?
Sera: napendekeza saa sita machana…
Mika: Katika Hoteli ya Kata tamaa
Sera: enhe. Hapo kwa heri
Mika: Haya. Bye!
|