08-16-2021, 03:35 PM
2.0 Utangulizi
Uhakiki wa fasihi: Misingi na Vipengele vyake.
Nairobi. Phoenix Publishers Ltd.
Sehemu hii inashughulika na kueleza nadharia za kijamii ambazo hutumika katika kuelewa uhusiano mbalimbali katika jamii. Nadharia hizi zinasaidia kuelewa wazi swala la lugha na jamii.
2.1 Madhumuni
Mpaka mwisho wa somo hili utaweza kutimiza yafuatayo:
1. Kueleza nadharia za kijamii.
2. Kuonesha jinsi nadharia hizo zinavyoingiliana na swala la lugha.
2.2 Nadharia za Kiisimu
Ili kuzingatia sehemu ya kijamii iliyo katika taaluma ya isimujamii, ni muhimu kuelewa mitazamo mbalimbali inayotumiwa kuchunguza jamii za wanadamu.
Katika sosholojia kunazo nadharia tatu kuu zinazoielezea jamii. Kuelewa lugha katika jamii kunahitaji pia kuzielewa nadharia hizi za kijamii. Katika mada hii tutazijadili nadharia mbili za mwnzo kati ya hizi tatu. Nadharia hizo tatu ni:
(a) Uamilifu (functionalism)
(b) Umaksi (marxism)
© Muingiliano (interaction)
2.2.1 Uamilifu
Hii ni nadharia iliyoibuka kati ya miaka ya arobaini na sitini (1940 s and 1960 s). Inaeleza kuwa jamii inaweza kuchukuliwa kama mfumo ulio na sehemu zenye uamilifu. Ili
kuelewa sehemu yo yote
ya jamii (kama familia au shule), lazima
kuelewa sehemu yo yote
ya jamii (kama familia au shule), lazima
sehemu hiyo ichunguzwe
kwa kuangalia uhusiano wake na jamii nzima.
Kama
kwa kuangalia uhusiano wake na jamii nzima.
Kama
vile mwanabiolojia anavyochunguza mchango
wa moyo katika
kuendeleza maisha ya
binadamu ndivyo sehemu
ya jamii inavyochunguzwa kulingana
na mchango wake katika
kuendeleza mfumo wa kijamii.
wa moyo katika
kuendeleza maisha ya
binadamu ndivyo sehemu
ya jamii inavyochunguzwa kulingana
na mchango wake katika
kuendeleza mfumo wa kijamii.
Mfumo wa
kijamii unayo mahitaji fulani
ambayo yanahitaji kutekelezwa ili jamii
kijamii unayo mahitaji fulani
ambayo yanahitaji kutekelezwa ili jamii
idumu. Mahitaji haya ni
pamoja na chakula,
mavazi na malazi. Uamilifu wa
pamoja na chakula,
mavazi na malazi. Uamilifu wa
sehemu yo yote ya jamii
ni ule mchango wake katika kuendeleza na kuimarisha
ni ule mchango wake katika kuendeleza na kuimarisha
jamii hiyo
kwa jumla. Hii
ina maana kwamba
kuna kiwango fulani
cha
kwa jumla. Hii
ina maana kwamba
kuna kiwango fulani
cha
muingiliano kati ya
sehemu zote ambazo huunda jamii.
sehemu zote ambazo huunda jamii.
Wanauamilifu wanadai
kuwa utaratibu na
uimarikaji ambavyo huwa
ni vitu
kuwa utaratibu na
uimarikaji ambavyo huwa
ni vitu
muhimu vya kuendeleza
jamii hutokana na kuwepo kwa amali (za pamoja) sawa,
jamii hutokana na kuwepo kwa amali (za pamoja) sawa,
yaani makubaliano
kuhusu mambo fulani
katika jamii. Kutokana
na mtazamo
kuhusu mambo fulani
katika jamii. Kutokana
na mtazamo
huu wanajamii
hushughulikia mifumo midogo
ya kijamii na
amali sawa
hushughulikia mifumo midogo
ya kijamii na
amali sawa
zinazowaunganisha wanajamii.
Dhana zinazosisitizwa katika
nadharia hii ya
elimujamii na ambazo
ni muhimu
nadharia hii ya
elimujamii na ambazo
ni muhimu
kwa mwanaisimu
jamii ni pamoja na: utamaduni,
ujamiishaji (socialisation),
jamii ni pamoja na: utamaduni,
ujamiishaji (socialisation),
kaida, amali, hadhi na
majukumu/dhama.
majukumu/dhama.
(i) UTAMADUNI
Utmduni hurejelea jinsi
jamii inavyoishi; yaani mkusanyiko wa mawazo na tabia
jamii inavyoishi; yaani mkusanyiko wa mawazo na tabia
wanazojifunza na
kupokeza kutoka kizazi
kimoja hadi kingine. Katika hali
hii
kupokeza kutoka kizazi
kimoja hadi kingine. Katika hali
hii
utamaduni ni
mpangilio wa jinsi
watu wanavyoishi. Utamaduni unafafanua
mpangilio wa jinsi
watu wanavyoishi. Utamaduni unafafanua
mambo yanayokubalika na
mfumo wa tabia katika jamii fulani.
mfumo wa tabia katika jamii fulani.
(ii) UJAMIISHAJI
Dhana hii inarejelea
njia ambazo kwazo watu hujifunza utamaduni wa jamii zao.
njia ambazo kwazo watu hujifunza utamaduni wa jamii zao.
Ujamiishaji wa
kimsingi au awali
hutokea utotoni, aghalabu
katika familia.
kimsingi au awali
hutokea utotoni, aghalabu
katika familia.
Mahirimu au marika
(peer group) ni kukundi muhimu cha kuendeleza ujamiishaji.
(peer group) ni kukundi muhimu cha kuendeleza ujamiishaji.
Marika humsaidia
kumkuza mtu kijamii na kiisimu.
kumkuza mtu kijamii na kiisimu.
(iii) KAIDA NA AMALI
(a) KAIDA
Kaida ni mwongozo
maalumu wa jinsi ya kutenda mambo na kaida hueleza tabia
maalumu wa jinsi ya kutenda mambo na kaida hueleza tabia
zinazokubalika na zile
zinazofaa katika miktadha maalumu.
Mifano ya kaida hizi
zinazofaa katika miktadha maalumu.
Mifano ya kaida hizi
inaonekana katika
mavazi ya shuleni,
ya vijana,ya nyumbani,
au ya dhifa
mavazi ya shuleni,
ya vijana,ya nyumbani,
au ya dhifa
mbalimbali. Katika hali ya ujamiishaji, kaida hufunzwa
kwa kutuza (kumpa mtoto
kwa kutuza (kumpa mtoto
peremende, maneno ya kusifia)
au kuadhibu. Baadhi ya kaida hufanywa
kuwa
au kuadhibu. Baadhi ya kaida hufanywa
kuwa
sheria za
kutumikia umma wote. Kwa mfano,
kukataza kuoga hadharani
au
kutumikia umma wote. Kwa mfano,
kukataza kuoga hadharani
au
wanawake kuhitajika
kufunika nyuso zao hadharani.
kufunika nyuso zao hadharani.
(b) AMALI
Amali hutoa
miongozo ya kijumla
ya mambo ambayo
yanachukuliwa kuwa
miongozo ya kijumla
ya mambo ambayo
yanachukuliwa kuwa
mazuri na
yenye thamani. Kwa
mfano, katika jamii
nyingi za kisasa,
watu
yenye thamani. Kwa
mfano, katika jamii
nyingi za kisasa,
watu
huthamini maisha
ya binadamu sana.
Baadhi ya amali
zinazopendekezwa ni
ya binadamu sana.
Baadhi ya amali
zinazopendekezwa ni
umoja,uaminifu, upendo,
n.k..
n.k..
Wanauamilifu wanaamini
kuwa ikiwa kaida hazitakubaliwa na
kushirikishwa
kuwa ikiwa kaida hazitakubaliwa na
kushirikishwa
miongoni mwa
wanajamii, jamii haziwezi
kushirikiana na kufanya
kazi pamoja.
wanajamii, jamii haziwezi
kushirikiana na kufanya
kazi pamoja.
Hivyo basi jamii
inahitaji kaida na amali za pamoja.
Jambo hili limekuwa msingi
inahitaji kaida na amali za pamoja.
Jambo hili limekuwa msingi
wa tafiti nyingi za
isimujamii.
isimujamii.
(iv) HADHI NA MAJUKUMU
Hadhi hurejelea cheo cha mtu katika jamii (si lazima iwe kazi). Hadhi kama hizi
huenda zimerithiwa,
yaani mtu anapozaliwa
anajipata ana hadhi
fulani kwa
yaani mtu anapozaliwa
anajipata ana hadhi
fulani kwa
mfano malkia au mfalme.
Anapoendelea kukua anajipata kuwa yeye ni mke au
Anapoendelea kukua anajipata kuwa yeye ni mke au
mume . Hadhi pia
huenda ikapatikana kutokana
na juhudi za kibinafsi za mtu,
huenda ikapatikana kutokana
na juhudi za kibinafsi za mtu,
kwa mfano, kujiendeleza
kitaaluma na kuwa mwalimu, daktari, mwanamichezo,
kitaaluma na kuwa mwalimu, daktari, mwanamichezo,
n.k.
Kila hadhi
katika jamii huwa
na idadi fulani
ya kaida ambazo
zinaeleza namna
katika jamii huwa
na idadi fulani
ya kaida ambazo
zinaeleza namna
mtu aliye katika
hadhi hiyo anatakiwa kuendesha maisha
yake. Kikundi hiki cha
hadhi hiyo anatakiwa kuendesha maisha
yake. Kikundi hiki cha
kaida huitwa
dhima au majukumu.
Majukumu ya kijamii
ndiyo huongoza
dhima au majukumu.
Majukumu ya kijamii
ndiyo huongoza
tabia. Kufikia mwisho mwa siku, mtu huwa
ametekeleza majukumu mbalimbali:
ametekeleza majukumu mbalimbali:
mwalimu (kazini), mama
au mke (nyumbani), mteja (benki), manju (kilabu cha
au mke (nyumbani), mteja (benki), manju (kilabu cha
starehe), n.k. Kila jukumu huhitaji tabia fulani
zizingatiwe, zikiwa ni pamoja na
zizingatiwe, zikiwa ni pamoja na
tabia za kiisimu. Kila jukumu la kijamii humfanya mtu achague
elementi fulani za
elementi fulani za
kiisimu. Huku
akitekeleza majukumu yake
atatumia lugha kwa
njia tofauti
akitekeleza majukumu yake
atatumia lugha kwa
njia tofauti
tofauti.
Zoezi
Je, kwa maoni yako,
unafikiri nadharia ya uamilifu inajitokeza vipi katika jamii
unafikiri nadharia ya uamilifu inajitokeza vipi katika jamii
zetu na lugha
tunazozitumia?
tunazozitumia?
2.2.2 UMAKSI
Umaksi unahusiana
na nadharia kadhaa.
Tunapoongea kuhusu uhakiki
wa ki- maksi, huwa tunairejelea
mikabala mbalimbali ambayo misingi yake
ni mawazo yanayohusishwa na Karl Marx na Friedrich Engels.
na nadharia kadhaa.
Tunapoongea kuhusu uhakiki
wa ki- maksi, huwa tunairejelea
mikabala mbalimbali ambayo misingi yake
ni mawazo yanayohusishwa na Karl Marx na Friedrich Engels.
Nadharia hii imepitia
mabadiliko makubwa tangu kuweko kwa wataalamu hawa. Umaksi unahusu
nyanja mbalimbali kama uchumi,
historia, jamii na mapinduzi. Umaksi una sifa ya kijumla inayojitokeza
katika mwelekeo wake wa kuligusia kila eneo, na kuwa na la kusema kuhusu
takriban kila kitu ikiwemo lugha.

Mawazo ya
Karl Marx kuhusu
historia na miundo ya
kijamii yana nafasi kubwa katika
nadharia hii. Umaksi
ni falsafa yakinifu
hasa kwa kuwa
pana msisitizo mkubwa kwenye
msingi wa hali za kiyakinifu za maisha kama mazingira ya kuishi kuliko mawazo
katika maisha ya binadamu. Umaksi hauegemezi mfumo wake wa kifalsafa kwenye
dhana dhahania kama
urembo, ukweli au
ndoto bali unayaegemeza kwenye
uhalisi unaoonekana.

Hebu
basi tuchunguze mawazo ya kimsingi ya nadharia hii:
basi tuchunguze mawazo ya kimsingi ya nadharia hii:
(1) Historia ya maisha
ya binadamu inaweza kuelezeka katika misingi yakinifu ya kiuchumi.
ya binadamu inaweza kuelezeka katika misingi yakinifu ya kiuchumi.
Misingi hii
itachunguza njia za
uzalishaji mali pamoja
na miundo ya kiuchumi
inayoathiri sio uzalishaji
mali hiyo tu
bali na usambazaji wake. Swala hili la uzalishaji mali na usambazaji
wa mali hiyo linaunda kile ambacho hujulikana kama msingi au muundo msingi
(base = infrastructure). Kwenye msingi
huo ndiko kunakoegemezwa muundo wa juu au kikorombwezo (superstructure). Muundo
wa juu ndio unaohusisha maadili, itikadi, dini, utamaduni ,n.k.

Sifa za
muundo juu zinaathiriwa
kwa kiasi kikubwa
na muundo msingi. Hata hivyo mabadiliko yanayotokea
katika muundo wa juu kama mageuzi katika muundo wa kiutawala huweza kuathiri
muundo msingi.
muundo juu zinaathiriwa
kwa kiasi kikubwa
na muundo msingi. Hata hivyo mabadiliko yanayotokea
katika muundo wa juu kama mageuzi katika muundo wa kiutawala huweza kuathiri
muundo msingi.
(2) Daima historia ya binadamu itadhihirisha au kuakisi
harakati zinazoendelea katika matabaka
ya kiuchumi-jamii. Karl
Maksi aliwahi kusema kuwa
historia ya maisha ya binadamu ni ya harakati za kitabaka. Je, harakati hizi
zinasababishwa na nini? Tunajua kuwa
kitu cha msingi katika maisha ya binadamu ni kula na kunywa, kupata malazi na
mavazi na mambo mengine.

Tendo la
kwanza la kihistoria
kwa hiyo, ni
kutafuta njia ya
kuyakidhi mahitaji haya ya
kimsingi. Ili kufanikiwa katika
lengo hilo, binadamu hulazimika kujiunga
pamoja au kuunda
umoja ili kuimarisha
ubora na wepesi wa kuizalisha
mali ya kukidhi mahitaji hayo. Muungano
huo huwa na ugawaji wa majukumu au kazi ambayo ndiyo msingi wa kuundwa kwa
matabaka katika jamii. Hatua
ya juu ya mwendeleo huu
ni ukuzaji wa mfumo wa ubepari. Katika mfumo huu, mali inamilikiwa na idadi
ndogo ya watu. Watu hao wanaipata mali yao kutokana na
unyonyaji wa umma na hasa wafanya kazi.

Kumbuka
Zingatia maoni haya
katika muktadha wa lugha. Kwa mfano
lugha- wenyeji na lugha za kigeni zilizopo hapa nchini.
katika muktadha wa lugha. Kwa mfano
lugha- wenyeji na lugha za kigeni zilizopo hapa nchini.
Kadiri mfumo
wa ubepari unavyoendelea ndivyo
ubora wa uzalishaji
maji unavyoongezeka na tofauti
kati ya matabaka
kuimarika kwa kuwa
kuna watu wanaofaidika kwa
njia zisizo za
haki. Kufaidika huko
kwa njia zisizo
za haki, pamoja na
mbegu za kujiangamiza zilizomo
kwenye mfumo wa
ubepari vinachangia
kuuangusho mfumo wenyewe. Marx anaamini
kuwa haya yanatokana na mfanyiko
wa kiasilia wa kihistoria. Mfanyiko huo
ni wa kipembuzi (dialectics). Kwa mujibu
wa mawazo haya,
historia huendelea kutokana
na mfululizosafu wa mkinzano wa
mawazo. Matokeo ya mkinzano huo ni
kuzuka kwa hatua nyingine
mpya ya kihistoria. Huu ndio
msingi wa kile
kinachoitwa upembuzi wa kiyakinifu
(dialectical materialism).

(3) Matamanio na
matakwa yaliyopo katika jamii na hasa tabaka lenye nguvu yanaakisiwa katika
itikadi iliyopo katika
jamii, jinsi na
miundo ya mawazo ambayo aghalabu huwa imeshika kwa
nguvu na huwapo kila mahala kiasi cha kuwa huenda wanajamii wasiitambue kwa
haraka.

(4) Njia ya kusaidia na
labda hata kuharakisha kuangamizwa kwa mfumo wa kibepari ni kudadisi, kukosoa,
kushutumu, kulaumu na kufichua batili iliyopo katika itikadi ya kibwanyenye
inayooimarisha ubepari.
labda hata kuharakisha kuangamizwa kwa mfumo wa kibepari ni kudadisi, kukosoa,
kushutumu, kulaumu na kufichua batili iliyopo katika itikadi ya kibwanyenye
inayooimarisha ubepari.
Dhana za kimsingi
zimeibuka katika nadharia hii: ukengeushi; ubidhaaishaji na itikadi.
zimeibuka katika nadharia hii: ukengeushi; ubidhaaishaji na itikadi.
(i) Ukengeushi
(alienation): Ugawaji wa kazi unaishia
kusababisha utengano fulani kati ya
wanaohusika au binadamu. Hii ni
hatua ya kimsingi
ya ukengeushi . Mfumo wa
kibepari unapoendelea kuboreka
unasababisha hali ambapo uhusiano
uliopo kati ya mfanya-kazi na tokeo la nguvu zake ni wa kitu kigeni (alien
object). Watu wanaishia kukengeushwa na
jamii yao kutokana na mfumo wa kiainisho (specialization) unaosisitizwa na
kukuzwa na ubepari.

(ii)
Ubidhaaishaji: Maksi anaitumia dhana ya
bidhaa kukieleza au kukirejelea kitu kinachozalishwa sio kwa nia ya kutumiwa bali
kubadilishwa katika mfumo wa kibepari
wa soko. Bidhaa hizo hazitathaminiwi kutokana
na kazi yake
bali ni kutokana na bei
zinazoweza kuvuta. Yaani msingi wa
kuzitathmini sio thamani kimatumizi bali ni thamani kimabadilishano. Katika msingi huu, bidhaa zinaishia kuhusisha nguvu
au kanuni fulani
fiche ambazo huwavuta watu na kuwafanya wawe na mvuto mkubwa wa
kukimiliki kitu fulani ambacho kinawasisimua.
Huu ndio msingi wa kuabudu
bidhaa (fetishism of commodities).

Hii ni
sifa kuu katika
mfumo wa kibepari na ni msingi wa uchumi
wa kibidhaa ambapo watu
husukumwa na kani
za kununua na kumiliki
vitu ambavyo labda hawavihitaji
au wanavikinai haraka na kutamani vingine.
Sifa hii ya ubidhaaishaji inaishia kuwahusu binadamu ambao hawathaminiwi
kama binadamu ila kutokana na uwezo wao wa kuzalisha mali.

(iii) Itikadi: Ni dhana
telezi, lakini kimsingi ni uwasilishi wa pamoja wa mawazo, fikira na tajriba hasa ikiwa vitalinganuliwa na uhalisia wa
kiyakinifu vinakoegemezwa.
telezi, lakini kimsingi ni uwasilishi wa pamoja wa mawazo, fikira na tajriba hasa ikiwa vitalinganuliwa na uhalisia wa
kiyakinifu vinakoegemezwa.
Dhana hii
inaweza kufafanuliwa katika
muktadha wa lugha pale ambapo
watu wanaamini kuwa
kuzungumza lugha ya
mama ni dalili
ya ushamba au kinyume chake kwamba kuzungumza lugha ya Kiingereza ni
dalili ya kuwa mtu wa tabaka la juu.

Kwa kuzingatia hali ya
lugha nchini Kenya, ni kwa njia gani nadharia ya Umaksi inaeleza hali hii
(zingatia mvutano kati ya lugha ya Kiingereza na lugha nyinginezo za Kiafrika).
lugha nchini Kenya, ni kwa njia gani nadharia ya Umaksi inaeleza hali hii
(zingatia mvutano kati ya lugha ya Kiingereza na lugha nyinginezo za Kiafrika).
Swali
Huku ukitumia nadharia
moja ya Elimujamii, onyesha namna lugha inavyoingiliana na jamii
moja ya Elimujamii, onyesha namna lugha inavyoingiliana na jamii
2.4 HITIMISHO
Katika somo
hili tumejadili nadharia mbili za kijamii ambazo zitatusaidia
kuelewa jamii. Nadharia hizi zitachangia katika kuelewa swala la
lugha katika jamii.
hili tumejadili nadharia mbili za kijamii ambazo zitatusaidia
kuelewa jamii. Nadharia hizi zitachangia katika kuelewa swala la
lugha katika jamii.
Marejeleo
Teule
Teule
Eagleton, T. (1983)
Literary Theory: An Introduction.
Oxford: Blackwell.
Literary Theory: An Introduction.
Oxford: Blackwell.
Mesthrie, R.
et al (2001)
Introducing Sociolinguistics,
Edinberg,Edinberg
et al (2001)
Introducing Sociolinguistics,
Edinberg,Edinberg
Universtity Press.
Wamitila, K.W. (2002)Uhakiki wa fasihi: Misingi na Vipengele vyake.
Nairobi. Phoenix Publishers Ltd.
Mwl Maeda