08-31-2021, 07:24 AM
MASWALI NA MAJIBU -6: DARASA LA 3 & 4
SEHEMU A: Jibu maswali kwa kuchagua jibu na kuandika katika sehemu iliyowazi.
SEHEMU C: Jibu kwa kuchagua maneno katika kisanduku ulichopewa.
SEHEMU A: Jibu maswali kwa kuchagua jibu na kuandika katika sehemu iliyowazi.
- Piga yowe maana yake ni………………
- Wanyama pori ni wale…………………
- Neno keti maana yake ni……………………
- Huyu kijana ni mwerevu. Neno huyu limetumika kuonesha…………….
- Mama yake aliaga dunia Aga dunia maana yake ni………………
- Mtoto mwenye adabu…………………
- Lipi kati ya mazao yafuatayo ni nafaka…………………..
- Mtu anayefanya kazi ya kufua na kupiga nguo pasi huitwa………………
- Wakatafakari maana yake ni…………….
- Shangazi aliweka fedha na funguo………..ndani ya pochi.
SEHEMU C: Jibu kwa kuchagua maneno katika kisanduku ulichopewa.
Quote:Usingizi ulipaa, fedha lukuki, walikaa chonjo, waliangua kicheko, walipigwa butwaa, walitega sikio, kufuja mali.
- Watu wote……..waliposikia Juma ameuawa na majambazi.
- Wanafunzi wote…………walipomwona mwalimu wao anacheza dansi.
- Alikuwa na……………lakini hakuwa na mipango mizuri ya matumizi.
- Baada ya kuota ndoto ya kutisha……….usiku wote.
- Wanakijiji………….kumsikiliza mgombea wa ubunge alipofanya kampeni yake.
- Sitalala usingizi leo………………………..
- Chausiku hatarudi leo……………………
- Mchagua jemba……………………..
- Jungu kuu……………………………
- Kila mtu humwabudu apitapo………………………
- Nyumba yangu ina mlango juu………………
- Haba na haba……………………
- Chapa mguu……………………..
- Kila niendapo hunifuata…………….
- Kula chumvi nyingi…………………
- A
- B
- A
- B
- A
- A
- C
- B
- C
- B
- Walipigwa butwaa
- Waliangua kicheko
- Fedha lukuki
- Usingizi ulipaa
- Walitega sikio
- Nitalala usingizi leo
- Chausiku atarudi leo
- Si mkulima
- Halikosi ukoko
- Mlango
- Chupa
- Hujaza kibaba
- Tembea
- Kivuli
- Ishi niaka mingi
Mwl Maeda