07-23-2021, 08:01 PM
(07-22-2021, 07:17 AM)MwlMlela Wrote: Mkuu kumbe tunaposema kategoria ya neno hatumaanishi tu aina ya neno kumbe na kauli zake? Kwakweli hapo nimeelewa
Dhana ya kategoria ni pana sana inagusa kila kundi linalotambulika kisarufi
Mwl Maeda