Mkuu kumbe tunaposema kategoria ya neno hatumaanishi tu aina ya neno kumbe na kauli zake? Kwakweli hapo nimeelewa
(07-22-2021, 07:17 AM)MwlMlela Wrote: [ -> ]Mkuu kumbe tunaposema kategoria ya neno hatumaanishi tu aina ya neno kumbe na kauli zake? Kwakweli hapo nimeelewa
Dhana ya kategoria ni pana sana inagusa kila kundi linalotambulika kisarufi