MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

HII NI ORODHA YA VITABU VYA KISWAHILI KATIKA NAMNA YA HADITHI

Thread Rating:
  • 0 Vote(s) - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
HII NI ORODHA YA VITABU VYA KISWAHILI KATIKA NAMNA YA HADITHI
#1
Ilikuwa ni KWENYE UKINGO WA THIM katika KIJIJI CHETU Kilichoshindwa kuisimamisha NGUZO MAMA kwa sababu MORANI walikuwa kama KIVULI KINAISHI katika JANGA LA WEREVU waliomo kwenye POSA ZA BIKISIWA waliosababisha KILIO CHETU hata NGOSWE KITOVU CHA UZEMBE akatutumbukiza katika HATIA.
Wakati NGOMA YA NG’WANAMALUNDI ilipopamba moto KURWA NA DOTO walikuwa katika SAFARI YA HAMAD. Hapo ndipo MWANZO WA TUFANI ulipoanza kwani NAGONA na SHIDA walitaka kupambana na KIKOSI CHA KISASI.
Hawakujua kuwa DAR ES SALAAM USIKU kina ROSA MISTIKA huwa katika UTENGANO kutokana na KIU ya kuzipata ALMASI ZA AFRIKA ambazo zilikuwa za KUFIKIRIKA Kwenye NDOTO YA NDALIA.
Masikini NYOTA YA REHEMA ilikuwa kama NURU GIZANI. Kwenye KASRI YA MWINYI FUAD ambapo HAINI alikuwa kama KULI kwenye VUTA n’KUVUTE ya MFADHILI wa USIKU UTAKAPOKWISHA na KUSADIKIKA kuwa kama  NJOZI ILIYOPOTEA haikuonekana kabisa katika ARUSI YA BULDOZA.
JANGA LA WEREVU liliwasibu watu wa MZIMU WA WATU WA KALE baada ya NYUSO ZA MWANAMKE kuthibiti katika MASHIMO YA MFALME SULEMAN wakati MTAWA MWEUSI aliponadi NITAOLEWA NIKIPENDA
Ama kweli DUNIA UWANJA WA FUJO. KICHEKO CHA USHINDI kiliangukia kwenye KITANDA CHA MAUTI. Huyo ndiye BINADAM. Mwisho wa yote aliipata FUNGATE YA UHURU ingawa KIMBUNGA kilitoa SAUTI YA DHIKI kuwa LAKUVUNDA HALINA UBANI.
Haya niwatakie kheir na baraka tele. Nami ni miongoni mwa WASAKA TONGE mpaka TONE LA MWISHO nitaungana na WATOTO WA MAMA N’TILIE katika KILIO CHETU kwani hadi sasa HEKALU LIMECHAFUKA. na USHUHUDA WA MIFUPA ameondoka nao MFALME JUHA.
@ HUBA
Mwl Maeda
Reply

Forum Jump:

Users browsing this thread: 1 Guest(s)