08-02-2021, 02:13 PM
Mguu wa kwenda Mtume kauombea.
Mguu mmoja hauchezi ngoma.
Mguu mmoja ni afadhali kuliko mikongojo miwili.
Mguu usiotulia huchomwa mwiba.
Mguu wa kutoka haurudi tupu.
Mguu wako ni daktari wako.
Mguu mmoja hauchezi ngoma.
Mguu mmoja ni afadhali kuliko mikongojo miwili.
Mguu usiotulia huchomwa mwiba.
Mguu wa kutoka haurudi tupu.
Mguu wako ni daktari wako.
Mwl Maeda