08-02-2021, 02:01 PM
Mdomo wa mwenye haki huneemesha watu wengi.
Mdomo wa mnafiki hauna likizo.
Mdomo uliponza kichwa.
Mdomo uliofungwa haungiwi nzi.
Mdomo ni kioo cha akili ya mtu.
Mdomo ndio ponza.
Mdomo uliofumba unanuka.
Mdomo ni jumba la maneno.
Mdomo ni haupumziki ni kisima cha maneno.
Mdomo mtindi, maziwa kwa mwenye ng’ombe.
Mdomo wa kunya hauachi kujamba.
Mdomo wa mnafiki hauna likizo.
Mdomo uliponza kichwa.
Mdomo uliofungwa haungiwi nzi.
Mdomo ni kioo cha akili ya mtu.
Mdomo ndio ponza.
Mdomo uliofumba unanuka.
Mdomo ni jumba la maneno.
Mdomo ni haupumziki ni kisima cha maneno.
Mdomo mtindi, maziwa kwa mwenye ng’ombe.
Mdomo wa kunya hauachi kujamba.
Mwl Maeda