MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

“Watumiaji wa lugha ya Kiswahili ni watu wa makundi manne (4) ” Thibitisha.

Thread Rating:
  • 0 Vote(s) - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
“Watumiaji wa lugha ya Kiswahili ni watu wa makundi manne (4) ” Thibitisha.
#1
SWALI: “Watumiaji wa lugha ya Kiswahili ni watu wa makundi manne (4) ” Thibitisha ukweli wa kauli hii.

Lugha ya Kiswahili inazungumzwa na watu wa makundi makubwa manne katika jamii. Makundi hayo ni:
  1. Wasemaji wa Kiswahili ambao ni lugha yao ya kwanza
  2. Wasemaji ambao Kiswahili ni lugha yao ya pili kwa mfano mtu anayefahamu lugha yake ya asili kama lugha ya kwanza
  3. Wasemaji wa Kiswahili wageni ambao wanakifahamu Kiswahili vizuri na kumudu kaida zake
  4. Wasemaji wa Kiswahili ambao hukifahamu kwa kiasi kidogo mno hasa wageni ambao huja kujifunza mila na desturi za waswali na kukaa nao kwa muda mfupi.
Mwl Maeda
Reply
#2
Majibu mazuri sana mkuu
Reply

Forum Jump:

Users browsing this thread: 1 Guest(s)