MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

Lugha ya Kiswahili ni lugha ambishi kimofolojia. Thibitisha hoja hii kwa kutumia mifa

Thread Rating:
  • 0 Vote(s) - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
Lugha ya Kiswahili ni lugha ambishi kimofolojia. Thibitisha hoja hii kwa kutumia mifa
#1
Lugha ya Kiswahili ni lugha ambishi kimofolojia. Thibitisha hoja hii kwa kutumia mifano.
Lugha ambishi, ni lugha ambazo maneno yake huambishwa viambishi mbalimbali ambavyo huwakilisha maana mbalimbali au kuwakilisha uamilifu mbalimbali wa kisarufi na lugha hizi hupokea viambishi katika mashina yake au katika mizizi yake. Katika lugha hii tunapata lugha mojawapo ya Kibantu ambayo ni Kiswahili ambayo maneno yake huruhusu viambishi, mfano katika maneno yafuatayo:-
  • Kitenzi: Piga, inaweza kuwa;-
Pigia, Pigisha, Anapiga, Atapigwa,Alipigwa, Alipigia  na Pigishwa.
  • Cheza, inaweza kuambishwa na kuwa:-
Chezea, Atacheza, Alichezewa, Anacheza, Wanacheza, Watacheza.
Hivyo, uambishi wa maneno katika lugha husaidia maneno kubeba taarifa nyingi na toshelevu kadiri ya mahitaji ya mtumiaji kwa kuyatoa maneno katika muundo ndani na kuyaleta katika muundo nje. Mzungumzaji wa lugha ambishi kama Kiswahili halazimiki kutumia maneno mengi kuelezea jambo fulani, bali kwa maneno machache yenye viambishi huweza kuelezea jambo likaeleweka bayana.
Mwl Maeda
Reply

Forum Jump:

Users browsing this thread: 1 Guest(s)