MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

TOFAUTI KATI YA MOFIMU NA NENO

Thread Rating:
  • 0 Vote(s) - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
TOFAUTI KATI YA MOFIMU NA NENO
#1
Kwa mujibu wa JOHN LION (1968) “An introduction to theoretical linguistics” Anaona kuwa neno linafafanuliwa au haliwezi kufafanuliwa kwa,
  1. i) Kiotografia-namna neno linavyoandikwa.ii) Kisarufi-kinachowakilishwa na umbo husika.
        iii) Sauti-maana inayohusika katika neno husika.
-Kuna wakati maana na sauti hufanana na pia maandishi na sauti hutofautiana.
Mfano; enough-inafu
Liuntenant
-Tafauti za maandishi na maana hufanya lugha kuwa ngumu kujifunza.
-Pia katika kiswahili kuna maneno ambayo huwa tofauti na yanavyoandikwa katika utamkaji wake.
Mfano; nje, mba, nge, mbu, ng’ungwe nk
-Pia kuna uwezekano wa maandishi na matamshi kufanana.
Mfano; kaa(hutamkwa kwa mpumuo)
Ikiwa na maana mdudu, kuna dhana nyingi hutokea katika neno hili.
Hivyo basi neno huweza kufanana na kutofautiana kimatamshi, kimaandishi na pia kisarufi. Hivyo si kila neno ni mofimu.
Mwl Maeda
Reply

Forum Jump:

Users browsing this thread: 1 Guest(s)