SILABI NENO
(i) Huwa ni sehemu ya neno (i) Huwa ni neno zima
(ii) Hazibebi maana yoyote (ii) Hubeba maana katika tungo
(iii) Ni sifa ya kifonolojia (matamshi) (iii) Ni sifa ya kimofolojia (umbo)
(iv) Hutengwa hata katika mzizi wa neno (iv) Mzizi wa neno hauguswi
(v) Huweza kuwa huru au funge (v) Huweza kuwa huru au changamano
(vi) Hubeba mkazo itokeapo nafasi ya pili mwishoni mwa neno (vi) Neno zima huwa halibebi mkazo

Mwl Maeda