MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

ISTILAHI ANUWAI NA MAANA ZAKE

Thread Rating:
  • 0 Vote(s) - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
ISTILAHI ANUWAI NA MAANA ZAKE
#1
Karibu mdau mkubwa wa kiswahili upate kuyajua maneno ya Kiswahili ambayo pengine umekuwa ukiyatamka na kusogoa kwa lugha ya Kiingereza pasi kujua maana mbadala.
*_NENO_*                 *_MAANA_*
Radio        Rungoya/Redio
Password        Nywila
Keyboard       Kicharazio/Baobonye
Scanner        Mdaki
Floppy disk        Diski tepetevu
Computer virus-      Mtaliga
Business card        Kadi kazi
ATM        Kiotomotela
Laptop        Tarakilishi mpakato/Ngamizi mpakato
Computer        Tarakilishi/Ngamizi
Mobile phone        Simu tamba
Remote control        Kiunga mbali
Lift        Kambarau/Kikwezi.
Incubator        Kitamizi/Kitotoa/Kiangulia
Juice        Sharubati
Chips        Vibanzi
Green house        Kivungulio
Certificate        Astashahada
Diploma        Stashahada
Degree        Shahada
Masters        Shahada ya Uzamili/Shahada ya Umahiri
PhD        Shahada ya uzamivu/Shahada ya Udaktari
Bureau de change        Golo
Archives        Makavazi
Consultant        Msadi
Smartphone        Sikanu/simu janja
Keyword        Neno msingi
Kit        Kivunge
Online        Mkondoni
Page        Gombo
Paste        Bandika
Pointer        Kidosa
Print       Chapisha
Protocol      Itifaki
Tips        Vidokezo
Wallpaper        Pazia
Website        Tovuti
Internet        Wavuti
Web             Wavu
WWW(World Wide Web)  Wavu Wa Walimwengu.

Electronics        Vitu meme
Live        Papo/Mubashara
Hardware       Maunzi ngumu
Software         Maunzi laini
Device        Kitumi
PowerPoint        Kinuru weo
Quiz        Mjarabu shitukizi
Install       Sanidi
Uninstall        Sanidua
Highlighter        Kidhulishi
Cursor        Kielekezi
Browser       Kisakuzi
Bookmark        Kiashiri mada
Adapter        Kirekebu
Download         Pakua
Footer        Kijachini
Footnote        Tiniwayo
Chatting group       Kundi sogozi
Eject        Fyatua
Hardcopy        Nakala Bayana
Softcopy        Nakala laini
Multimedia       Media anuai
Alert       Tahadhari/Tahadharisha
Stationer(y/ies)        Makabrasha
Word processor        Kichakata maneno
University        Ndaki
Main campus        Bewa kuu
Mouse        Puku
ICU           Sadaruki.
Mwl Maeda
Reply
#2
Kazi nzuri sana.
Reply
#3
(08-08-2021, 08:03 PM)Akanga Fredrick Ochieng Wrote: Kazi nzuri sana.

Karibu sana
Mwl Maeda
Reply

Forum Jump:

Users browsing this thread: 3 Guest(s)