08-01-2021, 05:00 PM
Mizungu ni kauli zenye picha na mafumbo zinazoonesha ukinzani wa fikra au tukio.
Mara nyingi mizungu hutumika kwenye hadithi za soga na kwenye mivigha.
Mifano ya mizungu ni:
Mara nyingi mizungu hutumika kwenye hadithi za soga na kwenye mivigha.
Mifano ya mizungu ni:
- 1. Miti yote nitapanda ila mtalawanda unanishinda – maana yake mpapai.
- 2. Embe limeiva nyumbani ila nashindwa kulila – maana yake dada au ndugu yangu wa kike.
Mwl Maeda