06-29-2021, 03:45 PM
koja1
NOMINO wingi makoja
- 1
mtungo mrefu wa maua avishwao mtu kama zawadi au pambo.
Ufafanuzi msingi wa koja katika Kiswahili
koja2
NOMINO wingi makoja
- 1
aina ya sufuria ya bati.
Matamshi
koja
/kOʄa/
Mwl Maeda