MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

SIFA ZA RIWAYA PENDWA - Printable Version
|

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Fasihi andishi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=7)
+---- Forum: Riwaya (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=52)
+---- Thread: SIFA ZA RIWAYA PENDWA (/showthread.php?tid=990)
|
SIFA ZA RIWAYA PENDWA - MwlMaeda - 08-23-2021
- Huwa na matumizi makubwa ya utendaji na taharuki
- hutumia mtindo rahisi na lugha rahisi
- dhamira zake hupendwa na watu wengi, hasa vijana
- wahusika wakuu hukwezwa sana kimatendo na sifa zao
- hakuna mpangilio mzuri wa visa na matukio
- hutumia mwendelezo wa wahusika yaani huwa na sifa ya kutumia wahusika wale wale katika mfululizo wa vitabu kadhaa vinavyotolewa na mwandishi.
- huiga mawazo na matendo kutoka fasihi pendwa za nchi zilizoendelea
- huenzi jinsi ya kike kama chombo cha anasa na uhalifu
- mandhari huundwa kwa namna ya kipekee sana
|