MISIMU / SIMO - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Fasihi simulizi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=6) +---- Forum: Semi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=49) +---- Thread: MISIMU / SIMO (/showthread.php?tid=720) |
MISIMU / SIMO - MwlMaeda - 08-01-2021 MISIMU / SIMO Misimu ni semi za muda na mahali maalum ambazo huzuka na kutoweka kutegemea mazingira maalum. misimu inayodumu huweza kuingia katika methali, nahau au misemo ya lugha ya jamii hiyo.
CHANZO CHA MISIMU
SIFA ZA MISIMU
SABABU ZA KUTUMIA MISIMU
NJIA ZITUMIKAZO KUUNDA MISIMU
AINA ZA MISIMU
Huelezea uhusiano uliopo kati ya kikundi kimoja kutoka kwenye utamaduni mmoja. Misimu hii inapatikana sehemu fulani ambapo wanaishi watu wa aina moja, mfano kazini. Misimu hii inaitwa ya kipekee kwa sababu hujulikana sehemu ilipozukia tu, na sio nje ya eneo hilo.
Kwa mfano misimu ya kipekee inaweza kutumiwa na: –
Misimu ya kitarafa huchukua eneo kubwa/pana kidogo kimatumizi inaweza kutumika hata kwenye tarafa, wilaya, mkoa au kanda. Ueneaji wa misimu hii hutegemea hali au tabia ya muingiliano wa watu katika shughuli za maisha ya kila siku, kama- biashara na michezo, mara kadhaa misimu ya kitarafa hutokana na:
Misimu zagao huenea nchi nzima pengine hata kuvuka mipaka ya nchi. Misimu zagao hutumika katika mikoa yote ya nchi na pia hutumika katika vyombo vya habari kama vile magazeti, hutumika pia katika vitabu na vipindi vya redio na television.
Mfano wa misimu zagao ni: – neno (kabwela), (wakereketwa), (buzi), (bwege) n.k
MATUMIZI /DHIMA ZA MISIMU
MATATIZO YA MISIMU
|