MWONGOZO WA MBINU ZA KUFUNDISHIA SHULE ZA AWALI - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Chuo (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=3) +---- Forum: Stashahada/Cheti (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=21) +----- Forum: Nukuu (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=25) +----- Thread: MWONGOZO WA MBINU ZA KUFUNDISHIA SHULE ZA AWALI (/showthread.php?tid=707) |
MWONGOZO WA MBINU ZA KUFUNDISHIA SHULE ZA AWALI - MwlMaeda - 08-01-2021 Makala hii ni maalumu kwa walimu wa shule za awali. Kutambua na kuchagua Mbinu sahihi za kufundishia kwa mwalimu ni jambo muafaka katika kulea watoto. Ikumbukwe kuwa ufundishaji wa watoto wa shule ya awali ni tofauti na ule wa shule za msingi. Mwalimu anatakiwa kuzingatia kuwa mtoto wa umri huu katika shule ya awali hafundishwi masomo kama wale wa shule za msingi, badala yake watoto hawa hujifunza kwa vitendo, vinavyowapa msingi na kanuni mbalimbali za kuwakuza na kuwawezesha kukabiliana na maisha ya kawaida pamoja na kuwatayarisha kuanza elimu ya msingi.
Msisitizo mkubwa kwa mwalimu umewekwa katika matumizi ya mbinu shirikishi ambazo zitawawezesha watoto kushiriki katika kujadili, kuigiza kuwasiliana wao kwa wao, kufanya ziara na uchunguzi.
Mwalimu anatakiwa kubuni na kufaragua zana mbalimbali za kufundishia elimu ya awali. Aidha mwalimu bora wa elimu ya awali anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo;
Maswali:
|