MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

TOFAUTI YA FASIHI NA TANZU NYINGINE ZA SANAA - Printable Version
JIFUNZE KISWAHILI
TOFAUTI YA FASIHI NA TANZU NYINGINE ZA SANAA - Printable Version

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Sekondari (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=4)
+---- Forum: Kidato cha tano na sita (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=44)
+----- Forum: Nukuu (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=45)
+----- Thread: TOFAUTI YA FASIHI NA TANZU NYINGINE ZA SANAA (/showthread.php?tid=587)

TOFAUTI YA FASIHI NA TANZU NYINGINE ZA SANAA - MwlMaeda - 07-17-2021

Fasihi na tanzu nyingine za sanaa kama uchongaji, ususi, utarizi, muziki, ufumaji, uchoraji, ufinyanzi na maonyesho vinatofautiana kwa kiasi kikubwa kama ilivyoorodheshwa katika hoja hizi:
  • Kazi za fasihi hutumia lugha.
  • Kazi za fasihi hutumia wahusika.
  • Kazi za fasihi hutumia mandhari.
  • Kazi za fasihi huwa na utendaji ambao hujitokeza zaidi katika fasihi simulizi, ambapo, fanani na hadhira yake hutenda.
  • Kazi za fasihi zina fani na maudhui.
  • Huwa na uwanja maalumu wa kutendea
  • Hukutanisha fanani na hadhira ana kwa ana
  • Huweza kubadilika kulingana na wakati na mazingira mfano fasihi simulizi