MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

SIFA NA MAADILI YA MFASIRI BORA - Printable Version
JIFUNZE KISWAHILI
SIFA NA MAADILI YA MFASIRI BORA - Printable Version

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Tafsiri na Ukalimani (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=10)
+--- Thread: SIFA NA MAADILI YA MFASIRI BORA (/showthread.php?tid=33)

SIFA NA MAADILI YA MFASIRI BORA - MwlMaeda - 06-15-2021

  • Awe mahiri wa lugha mbili zinazohusika; kuwa mahiri katika lugha maana yake nini? Ni kujua vizuri nyanja mbalimbali za Isimu ya lugha husika kama vile; Fonolojia-Matamshi, Mofolojia-Maumbo, Sintaksia-Muundo na Semantiki-Maana.
  • Ajue vizuri utamaduni wa watu mbalimbali.
  • Ajue angalau lugha mbili
  • Awe na maarifa ya TEHAMA (ICT)
  • Awafahamu watu, jamii na utamaduni wao – mitazamo kuhusu watu, mitazamo – kuhusu wanyama.
  • Apende kujisomea na kujiendeleza kulingana na mabadiliko ya jamii. Mfano; kusoma vitabu, majarida, magazeti mbalimbali kusikiliza redio na kuangalia TV nk.
  • Awe mwandishi bora.
    MAADILI YA MFASIRI BORA (ETHICS)
  • Awe mwaminifu kwa matini na kwa mwenye matini; yaani asipotoshe habari au kusema uongo.
  • Awe mchapakazi (Kujituma/Bidii katika kazi)
  • Awe nadhifu – Unadhifu-mwonekano wa moyo, asiwe tapeli/laghai
  • Aelewe/kuelewa taratibu za kazi na kuzifuata. Mfano; bei ya kutafsiri kwa ukurasa au kwa maneno.
  • Ushirikiano/kushirikiana na watu mbalimbali wa fani mbalimbali, makundi mbalimbali ikiwa pamoja na wafasiri wenzake.