MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

SWALI: Faida ya misimu katika kuhifadhi historia ya jamii. - Printable Version
JIFUNZE KISWAHILI
SWALI: Faida ya misimu katika kuhifadhi historia ya jamii. - Printable Version

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Sekondari (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=4)
+---- Forum: Kidato cha tano na sita (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=44)
+----- Forum: Maswali na majibu (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=47)
+----- Thread: SWALI: Faida ya misimu katika kuhifadhi historia ya jamii. (/showthread.php?tid=1081)

SWALI: Faida ya misimu katika kuhifadhi historia ya jamii. - MwlMaeda - 08-31-2021

SWALI: Moja ya faida ya misimu ni kuhifadhi historia ya jamii. Toa mifano ya misimu zagao iliyovuma Tanzania katika vipindi vifuatavyo:

MAJIBU
(a) Muda mfupi baada ya kupata uhuru.
  • Kichele
  • Mabeberu
  • Uhuru na kazi
  • Makabwela
  • Walalahoi
(b) Miaka ya Azimio la Arusha.
  • Kabaila
  • Bwanyenye
  • Ukupe
  • Mchumia tumbo
  • Ujamaa
  • Kujitegemea
© Njaa ya mwaka 1974/1975.
  • Unga wa yanga
  • Kufunga mkanda
  • kumbakumba
(d) Miaka ya vita vya Kagera.
  • Nduli
  • Fashisti
(e) Kipindi cha hali ngumu ya maisha baada ya vita vya Kagera.
  • Ukata
  • Ulanguzi
  • Kabachori
(f) Kipindi cha kuanzia 1985 hadi sasa
  • Ruksa
  • Ngangari
  • Ngunguri
  • Wapambe
  • Wafurukutwa
  • Wakereketwa