MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

JIFUNZE KISWAHILI - TOFAUTI YA FASIHI NA TANZU NYINGINE ZA SANAA

JIFUNZE KISWAHILI

Full Version: TOFAUTI YA FASIHI NA TANZU NYINGINE ZA SANAA
You're currently viewing a stripped down version of our content. View the full version with proper formatting.
Fasihi na tanzu nyingine za sanaa kama uchongaji, ususi, utarizi, muziki, ufumaji, uchoraji, ufinyanzi na maonyesho vinatofautiana kwa kiasi kikubwa kama ilivyoorodheshwa katika hoja hizi:
  • Kazi za fasihi hutumia lugha.
  • Kazi za fasihi hutumia wahusika.
  • Kazi za fasihi hutumia mandhari.
  • Kazi za fasihi huwa na utendaji ambao hujitokeza zaidi katika fasihi simulizi, ambapo, fanani na hadhira yake hutenda.
  • Kazi za fasihi zina fani na maudhui.
  • Huwa na uwanja maalumu wa kutendea
  • Hukutanisha fanani na hadhira ana kwa ana
  • Huweza kubadilika kulingana na wakati na mazingira mfano fasihi simulizi