08-19-2021, 09:45 AM
SIMULIZI : CHOZI LA DHAHABU
SEHEMU YA 12
Zaidu akawa ameshituka na kutambua kwamba hapo alipo siyo nyumbani Kwao bali ni nyumbani kwa watu.Hivyo Basi ikambidi aachane na Mambo ya kutomasana na Zamda. Mda huo Zaidu akawa anamwambia hivi Zamda.
" Zamda akiwa kainuka naye huku anaangalia chini kisha Zaidu akawa anasema Hivi ".Zamda ntakuja jumapili kama kukiwa na Nafasi.
Sawa ufanye Kweli basi.
Sitokuangusha Zamda lazima nije.Kama mama akitoka tu nijuze nije ili Tufanye Mambo yetu kwa raha.
Sawa.
Mda huo kwa nje panasikika geti likiwa linagongwa kisha Zamda akawa ameinuka na kutoka na akawa ameenda kufungua geti huku akiwa anajifanya kama vile Ana Usingizi yaani aonekane kama vile ndiyo ametoka Kulala mda si mrefu.Huko ndani Sasa wakawa wamebaki Jeni na Zaidu.Maongezi yao yalikuwa hivi.
Hivi wewe zaidu Sasa Unataka umalize Mambo kabisaaaaaaa Wakati Mimi nimekwambia usisex naye Kwasababu najua Ndiyo mda maalumu wa Bi mkubwa kurudi kutoka kazini.
Ahaaaaa ni Sawa nilikuwa nalielewa Hilo jambo ila Sasa ndiyo hivyo Mtoto kalegea moja kwa moja.Yaani Jeni Kwakweli Ni mkubwa angechelewa tu tayari ningeshachinja kitambo tu Mbona.
Basi hiyo jumapili Mimi ntakushtua kwenye simu alafu Ndiyo uje kufanya Mambo vizuri.
Wala usihofu.
Duuuuuuuuuuuu kwanza umemshika wapi chapu hivi mtoto wa watu hadi kaongea mwenyewe kwamba umemshika Penyewe.
Oyooo haya mambo bana yaache kama yalivyo hakuna Mwalimu wake bali kila mtu Ana ujuzi wake Kwenye MAPENZI.
Daaaa nilikuwa nakuchukulia poa Sana kumbe noma sana.
Kwahiyo ulinisoma kwa nje tu kumbe hujanifunua ukanisoma.
Ndiyo.
Basi ndiyo maana ukawa unanichukulia poa tu.Mwenzako amejionea vitu vya sekunde chache tu nilivyo mfanyia.Yaani basi tu.
Nakupa hekoooo wewe mtoto.
Hapo ndipo watu wanapojifunga waniita mtoto Mimi,Basi poa kwa vile dawa yako sitoichemsha Tena.
Haya
Siku nazo zilizidi kuyoyoma Lakini Tito hakuwahi kumtumia Zamda fedha ambayo Kwakweli ingemuwezesha katika masuala mbalimbali ya familia yake.Pia hata simu tu hakuwa anataka kupiga kwa Zamda.Kwaujumla Tito ana huluka ambayo ni iko hivi akipata fedha Kwakweli hufanya sana ufuska mwingi sana na kuja kushangaa baadae hana chochote na hajafaidika chochote na kufanya ufuska huo zaidi tu ni kumaliza uzito wa mwili Basi.
Ilipofika siku Ya jumapili mishale ya saa nane mchana tayari Zaidu akawa ameshatia Nanga nyumbani kwa kina Zamda baada ya kutaarifiwa Kwamba mama Tito ametoka.Mda huo tayari wanaonekana Zamda na Zaidu wakiwa kitandani, Zamda kajifunga kanga moja tu.
Basi matomasano yakawa yamepamba moto mda huo naye Zaidu Haraka Haraka akawa anavua suruali yake na shati na kutupa huko na Kuanza kupitisha mikono yake kwenye sehemu mbalimbali za mwili Zamda. Zamda alikuwa akipata msisimko mkali sana.Basi Zaidu gari lake kalipiga stata na polepole likawa linawaka kama vile halitaki na baada ya sekunde chache tayari injini ta gari la zaidu ikawa imepata moto kwelikweli. Tayari sauti ya gari lile ilianza kusikika kitu kilichomfanya Kwakweli Zaidu kuzidi Kabisa kulitekenya vizuri gari lake na likawa limekoa kabisa Katika mlio wake.Kwakweli Zaidu hakusibiri pindi alipoona tu tayari gari lake limeshakoa katika mlio basi akajua kwamba mlio ule Ulikuwa ukihitaji gari lipandwe na dereva aanze msafara na aanze kujua kwamba ni namna gani ya kulipitisha gari lake kileleni huku sauti ya kukubali kwamba gari lake limepitishwa kileleni ilisikika.
Kwahiyo Zaidu aliendelea na mambo hapo Zamda akiwa sauti yake akiitoa kitu ambacho kilimvimbisha kichwa Zaidu na kuendelea kufanya kazi vyema.Mda huo kazi ikiwa inaendelea huku denda nazo zikiwa zinaendelea ili kuweza kuendelea kuleta utamu wa mambo wanayoyafanya.Mkono wa kushoto wa Zaidu ukiwa katika kifua cha Zamda.
Mda huo wanavyofanya mambo Hayo kwa Jeni alikuwa sebleni akiwa anaangalia zake Runinga.
Baada ya kumaliza kufanya Mambo yao hapo Lakini anajikuta hana Raha Yaani kakosa Raha kabisa hata nguo havai.Mda huo Zaidu anaonekana anavaa tisheti huku akiwa anamuuliza Zamda Hivi.
Zamda mbona unawaza hivyo?.
Hapana wala usihofu.
Nisihofu Kwasababu gani.
Hapana.
Au sijakufikisha nini Kwasababu naona hata hutaki kuvaa nguo.
"Zamda akiwa anaongea huku anacheka na baada ya sekunde chache akaacha kucheka"..Weeee umenifikisha bana utamu niliokuwa nahisi hapa si wautani.
Sasasa nini chakuwazisha?.
Daaaaaaa mume wangu.
Mume wako.
Ndiyo.
Kafanyage?.
Nimemsaliti.
Yaani Unajua Zamda wewe wataka kunikasirisha hapa.Yaani Mambo ya mme wako yametokea wapi tena na Wakati uko na Mimi hapa. Au Mimi msichana nini.
Samahani Basi Zaidu.
Samahani ya nini Sasa.
Jamani Mpenzi WANGU. Nisamehe bana."Mda huo anainuka kutoka kitandani alikokuwa amekaa na kuanza kujifunga kanga na kisha akamkumbatia na huku akiwa anamtukiza Zaidu kwa denda".
Ikiwa ni siku ya Jumatatu mishale ya saa Kumi alasiri kwa mda huo pale shuleni kwa kina Zaidu huwa ni mda wao mzuri sana wa kuweza kufanya sana majadiliano ya mada mbalimbali za kitaaluma.Lakini Kijana Zaidu kwa Yeye alikuwa amejaaliwa sana kipaji cha kuweza kuwaelekeza sana wanafunzi wenzake wa kidato cha nne kwa waliokuwa wakitaka.Basi mda huo akiwa anaonekana yuko amezungukwa na wanafunzi wenzake wa kidato cha nne akiwemo Jeni akiwa anamsikiliza kwa makini huyo Zaidu. Mda huo Zaidu alikuwa anawaelekeza wanafunzi wenzake katika.Zaidu akawa anasema Hivi.
Aaaaa Jamani kwa leo tutajifunza mada ya Maendeleo ya kiswahili. Basi akawa anaandika kwenye daftari maalumu kwaajili ya kufanyia ukusanyaji mbalimbali wa notisi.mada yetu ya leo ni MAENDELEO YA KISWAHILI Lakini tunatakikana kuanza kujua Kabisa mapema ni maana ni ya lugha na sifa za lugha ndipo Basi tunaweza kuendelea na katika suala lingine.
Kabla ya kwenda katika kiini cha mada yenyewe tutaweza kupata utangulizi juu ya lugha yenyewe. Katika kipengele hiki tutaweza kujifunza juu ya maana ya lugha, tutajifunza juu ya sifa au tabia mbalimbali za lugha ambazo zitatusaidia kuelewa mada yenyewe ambayo ni maendeleo ya lugha ya Kiswahili.
Kwanza kabisa tujue basi MAANA YA LUGHA
Lugha ni mfumo wa sauti za nasibu (bahati tu) zilizo katika mpangilio maalumu na zilizo kubaliwa na jamii ya watu zitumike kama chombo cha mawasiliano miongoni mwa watu.
Au mtu mwingine anaweza kusema hivi kupitia OXFORD. Kwamba lugha
Ni mfumo wa sauti za nasibu za kusemwa zinazotumiwa na watu wa jamii fulani wenye utamaduni unaofanana kwa madhumuni ya mawasiliano katika jamii hiyo.Lakini tukiendelea kufuatilia zaidi kitabu cha OXFORD kinafuonesha zaidi kuna sifa mbalimbali za lugha.moja wapo ni kama
LUGHA HUZALIWA
Yaani tunaposema Lugha ilizaliwa kwa bahati tu pale mwanadamu alipoona kuwa kuna haja ya mawasiliano na wanadamu wengine. Waliweza kubadilishana mawazo kwa sauti zao kwa bahati tu (nasibu)
Pia Lugha inaweza kuzaliwa kutokana na mwingiliano kati ya lugha mbili au zaidi na kutengeneza lugha moja. Kwa mfano lugha ya Kiswahili kimetokana na mwingiliano wa lugha mbalimbali za kibantu.
Lakini pia sifa nyingine ya lugha ni kwamba
LUGHA HUKUA
Lugha hukua kutokana na kuongezeka kwa msamiati mbalimbali ambayo hutumiwa katika lugha husika katika shughuli mbalimbali. Msamiati unapoongezeka katika lugha hiyo ni ishara ya hiyo lugha kukua. Lakini pia tunaweza kusema Kwamba
LUGHA HUATHIRIWA
Jamii mbili tofauti zinazozungumza lugha mbili tofauti na zinapokaa pamoja hakika zitaathiriana katika nyanja mabalimbali za kiutamaduni na lugha ikiwemo. Athari hii katika lugha hasa huweza kujitokeza katika matamshi, sarufi na hata lafudhi. Kwa mfano Kiswahili kimeathiri lugha nyingi za kibantu ambapo mtu anaweza kuzungumza kilugha kwa Kiswahili yaani mtu anaweza kuongea neno la lugha yake lakini akalitamka kwa Kiswahili hali kadhalika Kiswahili pia kimeathiriwa na Kiingereza kwa mfano mtu anaweza sema “Tafadhali nipe hilo daftari” msemaji huyu atakuwa ameathiriwa na sarufi ya kiingereza ambapo kwa sarufi ya Kiswahili ingefaa iwe “tafadhali naomba daftari hilo.” Sijui kama tumepatana Jamani hapo."Ni zadiu akiwa anawauliza maswali wanafunzi wenzake ambao Ndiyo kwa mda huo anawaelekeza".Lakini pia kwa Upande mwingine katika sifa Moja wapo ya lugha ni Kwamba.
. LUGHA HUFA
Lugha hufa kutokana na kutotumika kwa lugha hiyo, endapo hiyo lugha haitumiki kabisa basi msamiati hautaongezeka na hatimaye lugha hufa, mfano mzuri nil lugha ya kilatini ambayo hivi sasa imebaki kwenye maandishi tu, haizungumzwi tena, imekufa.Kwahiyo Ndiyo maana tunaweza kusema Kwamba lugha hufa
LUGHA INA UBORA
Kila lugha ni bora hakuna lugha iliyobora zaidi ya lugha nyingine, ubora wa lugha unatokana na jinsi lugha hiyo inavyokidhi mahitaji ya mawasiliano ya watumiaji wa lugha husika.Kw ujumla Jamani hatuwezi kusema Kwamba kwa vile lugha haina wazungumzaji wengi eti lugha hiyo ni dhaifu hapana. Kwasababu kila lugha ina matumizi yake.sifa nyingine pia lugha ni kwamba
LUGHA NI SAUTI ZA KUSEMWA NA BINADAM.Kwaujumla iko hivi wanadamu ndiyo watu ambao wanaweza kuzungumza Au kuongea lugha fulani na wao Ndiyo wanao uwezo wa kutoa sauti hizo.
Baada ya Zaidu kuwaelezea vile akawa ameamua aache na swali ambalo Kwakweli litakuwa ni kama chemsha bongo kwa wanafunzi wenzake. Alisema hivi.
Ni sawa tumeweza kujadili hapa kuhusu hizo maana mbalimbali za luha kwamba lugha ni nini pamoja na hata ni zipi sifa za lugha. Pamoja na Hivyo na Hivyo swali ni Je asili halisi ya lugha ni nini. Yaani lugha ilianzaje anzaje?.Basi leo tutaishia hapa na kesh tukipata Wakati itabidi tuje tuendelee haga kama ni kama katika somo lingine.
Mwl Maeda