08-05-2021, 06:18 AM
(08-03-2021, 11:12 AM)MwlKapinga Wrote: Mwalimu wangu habari za kazi!
Mimi nimeandika ujumbe huu nataka nikuulize faida na basara za ukimya, maana sio kila mtu mkimya anakua na faida, ASANTE ??
Karibu sana,
Faida za ukimya wa mtu ni pamoja na kutofahamika mambo yake hovyo kwa watu lakini pia humuepusha na migogoro mingi isiyo ya lazima.
Mwl Maeda