07-10-2021, 10:44 AM
Ogopa sana mtu mkimya,
1. Wako vizuri kwenye kutunza SIRI
2. Siyo rahisi kuwaelewa.
3. Anaweza kukufanya lolote na usitambue kamwe kwamba yeye ndiye chanzo.
4. Huwa wana ajenda nyingi ndani zilizojificha.
5. Hawatabiriki.
Umakini muhimu kusoma ukimya wa mtu

Mwl Maeda