08-30-2021, 04:21 PM
MASWALI NA MAJIBU- 10: DARASA LA 3 & 4
SEHEMU A: Andika neno linaloonesha mtendaji
Kitendo Mtendaji
SEHEMU C: Methali, vitendawili na nahau
Umoja Wingi
SEHEMU A: Andika neno linaloonesha mtendaji
Kitendo Mtendaji
- Vua samaki …………………
- Jenga nyumba …………………
- Suka nywele …………………
- Fuga mifugo …………………
- Pika chakula …………………
- Kila siku nina amka…………..ili kufanya usafi
- …………..yashule yetu ni shati jeupe na sketi ya bluu.
- Wakulima huhifadhi mazao yao katika…………
- Kibogoyo ni mtu…………..
- Baba anafanya kazi inayompatia……………kikubwa.
SEHEMU C: Methali, vitendawili na nahau
- Mwenda pole…………………..
- Kupata jiko…………………….
- Kipara cha babu kinafuka moshi……………
- Baada ya dhiki……………………..
Umoja Wingi
- Tongotongo ……………………..
- …………… vichaka
- Mlemavu ………………………
- Panda…………………………
- Usiku…………………………
- Chota…………………………
- Mama alipika ugali…………………..
- Watoto wanacheza mpira…………….
- Shangazi atapata maua………………..
- Nanasi, papai, samaki, topetope
- Mbuzi, ng’ombe, kondoo, mjusi
- Mvuvi
- Mwashi
- Msusi
- Mfugaji
- Mpishi
- B
- B
- B
- C
- B
- Hajikwai
- Kuoa
- Ugali
- Faraja
- Matongotongo
- Kichaka
- Walemavu
- Shuka/vuna
- Mchana
- Mwaga
- Uliopita
- Uliopo
- Ujao
- Samaki
- Mjusi
Mwl Maeda