MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

SIMULIZI : CHOZI LA DHAHABU SEHEMU YA 11

Thread Rating:
  • 0 Vote(s) - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
SIMULIZI : CHOZI LA DHAHABU SEHEMU YA 11
#1
SIMULIZI : CHOZI LA DHAHABU           
  
SEHEMU YA 11
Tukirudi nyumbani kwa wazazi wa Zamda huko mkoani Ngata.Kwakweli ni mda  Sana hawajaonana na mwanao Yaani Zamda. Tangu alivyofukuzwa  mkikimkii na baba yake Kwakweli Zamda hajawahi kurudi tena nyumbani kwao.Basi siku Hiyo ilikuwa ni siku ya Jumapili ambapo siku Hiyo Baba Zamda na mama Zamda kwa kawaida yao huwa hawaendi kazini.Basi siku hiyo kumbukumbu zikawa zimewaijia kwa mbali kwamba kuna mwanao yuko mbali na  Tangu aondoke hajawahi kurudi.Mda huo ikiwa inaonekana ni mishale ya adhuhuri ambapo ni baada ya kupata chakula cha mchana ndipo wakawa wamekaa Baba Zamda na mama Zamda wakiwa wanamuongelea huyo Zamda ambaye ni mwanampotevu kwasasa. Wakiwa wanaonekana wamekaa Kwenye jamvi  hivi chini ya mti wenye kivuli kizuri kwelikweli.Japokuwa jua kwa mda huo lilikuwa limewaka kweli kweli Lakini hakuna sehemu ya mti ule iliyokuwa ikipitisha jua.Basi maongezi yao yalikuwa hivi.
"Mama Zamda akiwa anaonekana kavaa dera kama asili yao ilivyo ya wanawake wa Ngata wanapenda sana kuvaa dera.Kakaa kanyoosha miguu mithili ya mwana bibi anayechambua mlenda ili auivishe.Alikuwa anasema Hivi".Baba Zamda ni mda mrefu sana Tangu Zamda kuondoka na kuondoka Kwenyewe aliondoka kwa mabalaa tu.
" Baba Zamda akiwa kama kawaida yake mzee wa kuvaa msuli.Basi mda huo anaonekana kajifunga msuli vyema wa rangi nyeusi na kofia yake kaivaa huku akiwa anasema Hivi ".Unasema Zamda aliondoka kwa mabalaa Yaani mabalaa gani Hayo?.
Si yale ya siku ile usiku usiku.
Ndiyo Hivyo Mambo yalishatokeaga.
Lakini kweli baba Zamda hatuna hata mapenzi mazuri kwa mwanetu.Kwasababu Tangu aondoke hatujawahi kujua hata hiyo hali yake tu. Hatukujuaga kwamba je Zamda atakuwa yuko hai.Kwasababu kwa siku ile tu waliyosafiri ilitangazwa Kwenye redio kwamba kuna gari ambalo lilianguka na Mimi nilikuwa nahisi tu Yaani hata hao Zamda na Tito janga hili litakuwa limewakumba.
Sasa mama Zamda watu wameamua kuishi wenyewe Yaani kuwa na Maisha yao Halafu unakuwa unawawaza sana.
Lazima niwaze,Sasa baba Zamda nisiwaze Yaani kwa lipi haswaaaa kwa yule si Mtoto wangu niliyembeba miezi tisa tumboni.
Loooo tumefikia  huko embu tuishie tu Hapo.
Hapana inabidi hata tujue hata hali ya mwanetu. Yaani kwanza mawasiliano yao ya simu  hatuna,haya ukija kusema tumtumie hata barua kwa njia ya Posta hiyo Hela yenyewe tu hatuna.
Ndiyo Hivyo mama Zamda watakuja tu nyumbani. Waende magharibi warudi mashariki Lakini Nyumba Ndiyo bora.
Kwahiyo madhumuni yako ni yapi.
Iko siku watapata Hela na watakuja tu kutusalimia ila siyo sisi tukawasalimie huko kwao.
Basi Jeni kupeleka taarifa kwa Zaidu ikawa si ngumu Lakini ni katika namna tu Zaidu atakavyokuwa ameichukulia taarifa Hiyo. Kwasababu Kwakweli Zamda Hiyo ni kwa mara ya kwanza Kabisa kumuona zaidu Lakini tayari akawa ametokea kumpenda sana. Lakini Yote hii inasababishwa pia na mambo ya michepuko  anayoyafanya huyo Tito. Kwasababu jambo Hilo linamfanya Zamda naye kuanza kutafuta vijana na nafasi aliyoipata ya kuwaona vijana ni baada ya Jeni kuja.Kwasababu Zamda kuruhusiwa kutoka nje hakuwa anaruhusiwa kutoka nje kabisa.
Ikiwa ni mishale ya saa kumi na moja Hivi Jeni akawa ameamua kumleta Zaidu hadi nyumbani.Kwasababu pindi Jeni alipomwambia Zaidu kuhusiana na ombi la Zamda, Kwakweli Zaidu hakuamini kabisa ikabidi aje huko ahakikishe na huyo mwanadada yukoje ambaye ndyio Zamda. Basi mda huo ndiyo Zaidu na Jeni wakawa wanaingia chumbani alikopangisha Jeni kisha Jeni akamkaribisha huku akiwa anavua nguo.Ni kawaida ya Jeni ni Mwanadada ambaye Kwakweli kama ni mshipa wa aibu alishawahi kuuvunja zamani Sana. Kwahiyo Jeni kwa Zaidu ameshamzoea kwelikweli. Kwasababu mda huo anavua nguo zote na kujikuta yuko uchi Kabisa kama kazaliwa leo huku anasema Hivi.
"Huku akiwa anatafuta taulo yake iliko akisema"Zaidu inabidi unizoee tu kama hivi. Mimi ni kawaida tu nikishamzoea tu mtu sinaga kujificha. Kwanza wewe dogo langu bana Huwezi fanya chochote kwamgu.
" mda huo zaidu Amekaa hapo kitandani akiwa anaangalia maumbile ya Jeni namna alivyojaaliwa huku akisema "Daaaaa kweli mungu ameumba Jamani.
Ndiyo hivyo Sasa ndiyo maana nimekuleta hapa uje uhakikishe kwamba huyo demu umemkubali.Wewe ni mtu mzima Yaani mwanaume uliyekomaaaa.Alafu Unataka kuniambia ukae tu bila msichana yeyote wa kupeana mautamu.utakuwa kama kichaa Wewe.
Daaaaaaa haya bana.Sasa Lakini Jeni tatizo linakuja hapa Kwamba huyu ni mke wa mtu.
" Mda huo tayari ameshajifunga taulo yake iliyoweza kumfunika kuanzia kifuani kushuka hadi magotini.Akawa amekaa karibu na Zaidu.Kwa nje mda huo inasikika sauti ya Runinga inapunguzwa na anayepunguza ni Zamda.Kwasababu kwa mda ambao Jeni na Zaidu waliokuja alikuwa amelala.Kwahiyo Jeni akawa anasema Hivi ".Wapi wewe mke wa mtu bongo hapa.Kwani wameoana?. Si wako katika uchumba Hawa .Sasa jamaa yake Ndiyo Hivyo amesafiri kikazi anasema ni mwaka mzima mzima Kabisa. Sasa wewe Unataka mwenzako mda wote asikutane na mwanaume yeyote mbona utakuja kushangaa mdada wa watu anaaza kata kujisugua pekee yake yake hapa ili tu atoe mauchafu mwilini.
Duuuuuuuuuuuu kweli Hayo unayonieleza hayo Jeni?
Ndiyo ukweli huo. Kwanza urahisi utakuwepo.Yaani wewe hautakuwa na kazi Yoyote eti ya kusema kumpeleka guest house. Wala hautajihangaisha unamuingiza hapahapa chumbani kwangu. Huyo mother hapo nimeshamsoma namna ya kumbana.
Haya tujionee.
Yaani ungejua huyu mdada ni mzuri wewe. Yaani mbona utafaidi Sana. Alafu ni Mtoto wa kingata siunawajua tu Watoto wa kingata huko mapenzi yalikozaliwa.
Ayaaaa wa kingata,kwanza Ana miaka mingapi?.
Bado dogo sana huyu ndiyo ametimiza miaka kumi na nane Hivi.
Ayaaaa kumbe bado mtoto tu.
Ndiyo ni kwa vile  aliwahigi tu kujifungua .
Kwahiyo Jeni wanishauri kabisa nichukue nafasi Kwa huyo mdada.
Ayaaa Mimi ndiyo nakwambia wewe chelewa chelewa hapa. Yule kakuelewa kwelikweli. Sasa tena ukianza kumzingua Kwakweli hata hautakuwa unamfurahisha.Kitu ni  bureeeee tu unajipatia mavitu tu Hapo.kwanza ndiyo huyo yuko hapo sebuleni anaangalia TV pia anatamani hata atusikilize kwelikweli nini tunaongea huku.
Sasa Jeni kwamfano ukimruhusu aingie huku wewe utakaa wapi ili hata huyo mother akiwa anarudi kutoka kazini  asijue nini kinaendelea.
Kuhusu Hilo wala usihofu wewe.Yaani huyo mother Mimi nishazoeana naye kabisa Kwahiyo Mimi nikimuita hapa ndani na Mimi nikabaki huku huku ndani najishughulisha na Mambo Yangu ili hata kama Zamda akitaka Kutoka na mother yuko kabisa. Bali atajua Kwanza kwamba Zamda ametoka kuongea na Jeni Hivyo hatoweza kuelewa huu mchezo unaochezwa hapa.
Basi muite aje.
Ila usisex naye mda huu labda mpange hata siku nyingine tu Hivi ya kukutana kwa mda mrefu.
Hamna Noma basi.
"Mda huo anaonekana Jeni akiwa anainuka na kwenda kufungua mlango kisha akamuona kweli Zamda yuko hapo akiwa anaangalia Runinga kisha akamuita huku Jeni akiwa anatabasamu.Alisema hivi"Njoo Zamda.
"Basi  akawa amenyenyuka na mda huo Glady ambaye ni mwana wa Zamda alikuwa amelala.Kwahiyo kukawa hamna usumbufu wowote.Zamda aliingia hadi chumbani kwa Jeni na kumuona Zaidu akiwa amekaa kitandani Tabasam tu likimwijia baada ya kumuona Zaidu.Zamda moja kwa moja ikabidi akae karibu naye.Mda huo Jeni anaonekana yuko upande mwingine akiwa anajishughulisha na Mambo yake mengine tu akiwa amewaachia Zamda na Zaidu bonge la Uwanja wa kutomasana kidogo. Basi mda huo Zamda akawa amekaa pembeni ya Zaidu na Zamda akawa amemmuongelesha Zaidu kwakusema Hivi".Mambo vipi.
Poa karibu.
Asante. Inabidi wewe Ndiyo ukaribie Kwasababu wewe ndiye mgeni.
Mgeni Yaani Nina kamba Mguuni.
Hapana si Hivyo.
Bali kivipi.
Haya bana yaishe tu.Kama ni Mara ya kwanza kuniona Mimi naitwa Zamda.
Ahaaaa jina zuri kwelikweli unafaa wewe.
Asante na wewe waitwa?.
Aaaaa naitwa Zaidu.
Hongera vizuri jina zuri.Samahani kwa usumbufu niliokupataia hadi wewe ukaja hadi huku.
Haina shida kuwa huru Zamda.
"Mda huo anaongea kwa kuogopa ogopa hivi kwasababu ndiyo kama mara yake ya kwanza kuongea na Zaidu".Natumai Jeni alikufikishia ujumbe kutoka kwangu.
Ndiyo nimeupata.
Ok, umeufikiriaje?."Mda huo anaongea kwa kuogopa ogopa hivi. Kwasababu mda huo anaongea huku akiwa anaangalia chini."
Aaaaa nimeufikiria vizuri tu.
Ila angalia usijeukaniumiza moyo wangu.Kwasababu ni siku chache tu nimetoka kuumizwa na mtu kama Wewe.
Hapana japokuwa ni mtu kama Mimi kwa jinsia ila kwa tabia tunatofautiana kabisa. Usihofu Zaidu sitokutenda Nimetokea kukupenda kwelikweli Zaidu
Asante. Karibu Kwenye himaya yangu.
Na wewe karibu.
Asante."Zamda anaongea huku akiwa anamsogeshea Mdomo kwa Zaidu.mda huo tayari Mishipa ya aibu ikawa imewapotea kwa mda kidogo na kujikuta tayari wameshaanza kupeana denda na mda huo Zamda alikuwa amejifunga kanga moja tu Kwa namna ya ufungaji wa lubega.Kwahiyo ikawa ni rahisi Sasa kwa Zaidu kuweza kupapasa maeneo yote ya mwili wa Zamda. Walitomasana kwa mda Hivi kwelikweli hadi Zamda akajikuta Kwakweli hafai kimwili amelegea kwelikweli Zamda akawa anamwambia Jeni Hivi "Jeni toka nje bana.
Haaaaaaa weee Zamda msifanye Hivyo hamjui ndiyo mida ya Bi mkubwa kuja hii.
Zaidu wala hakuwa anaelewa maneno anayoyaongea Jeni Bali Yeye akawa anaendelea kumtomasa tu huyo Zamda hadi akajikuta kajiangusha kitandani tu mapaja kayapanua ikiashiria kazi iliyobaki ni Zaidu tu kuweza kuingiza msumari wake kwenye shimo la Zamda.Sauti ya Zamda ilisikika Hivi.
Aaaaaashiiiii Zaidu umenigusa Penyewe " Hiyo inaonesha dhahiri Zamda kaishalegea.Lakini mda huo huo  kwa nje Ghafla Sauti ya mama Tito inasikika akiwa anaongea na majirani huko nje  ndipo Jeni alipoisikia tu kisha akasema Hivi ".
Nyiye Bi mkubwa anakuja acheni Hayo mambo bana."Lakini Zamda bado kajilaza hapo kitandani hafai mwili mzima kalegea".
Mwl Maeda
Reply

Messages In This Thread
SIMULIZI : CHOZI LA DHAHABU SEHEMU YA 11 - by MwlMaeda - 08-19-2021, 09:40 AM

Forum Jump:

Users browsing this thread: 1 Guest(s)