MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
JIFUNZE KISWAHILI - Search Results

Search Results
Post Author Forum Replies [asc] Views Posted
    Thread: SERA YA UTAMADUNI NA LUGHA
Post: SERA YA UTAMADUNI NA LUGHA

MwlMaeda Nyaraka muhimu kuhusu lugha 4 3,658 10-17-2021, 07:59 PM
    Thread: SERA YA UTAMADUNI NA LUGHA
Post: RE: SERA YA UTAMADUNI NA LUGHA

Khadija saidi Wrote: (02-05-2022, 09:50 AM) -- Some zuri. Lakini naomba kufahamu kuhusu vipengele vya Sera ya lugha na utamaduni pamoja na umuhimu wa Sera hiyo ya lugha na utamaduni? -- Soma hapa p...
MwlMaeda Nyaraka muhimu kuhusu lugha 4 3,658 02-05-2022, 10:23 AM
    Thread: KUHUSU KUONA/KUONYA na KUONESHA/KUONYESHA
Post: KUHUSU KUONA/KUONYA na KUONESHA/KUONYESHA

KUHUSU KUONA/KUONYA na KUONESHA/KUONYESHA Nawaomba radhi wanaukumbi kwa kuwarudisha nyuma kwenye mazungumzo ya juzi, kuhusu haya maneno yaliyoko hapa juu. Nianze kwa kuungama. Katika baadhi ya ...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 3 2,802 07-21-2021, 07:22 PM
    Thread: KUHUSU KUONA/KUONYA na KUONESHA/KUONYESHA
Post: RE: KUHUSU KUONA/KUONYA na KUONESHA/KUONYESHA

Dhana hizi kwa maoni yangu bado hazijashiba taaluma na matumizi. Hata hivyo kwanza naomba ninyamaze kwa miezi kadhaa. Kwa sababu ninachokiona siwezi kukionya maana kila jicho huona upeo wa uwezo...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 3 2,802 07-21-2021, 08:40 PM
    Thread: KUHUSU KUONA/KUONYA na KUONESHA/KUONYESHA
Post: RE: KUHUSU KUONA/KUONYA na KUONESHA/KUONYESHA

Makosa Yaliyozoeleka katika Kiswahili Sanifu Sehemu ya Kumi na Mbili Je, ni MAONYESHO au MAONESHO? 1.0 Usuli na tatizo Maneno hayo tajwa, MAONESHO na MAONYESHO yamekuwa yakitumiwa katika mu...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 3 2,802 07-21-2021, 08:41 PM
    Thread: KUHUSU KUONA/KUONYA na KUONESHA/KUONYESHA
Post: RE: KUHUSU KUONA/KUONYA na KUONESHA/KUONYESHA

MwlMaeda Wrote: (07-21-2021, 07:22 PM) -- KUHUSU KUONA/KUONYA na KUONESHA/KUONYESHA Nawaomba radhi wanaukumbi kwa kuwarudisha nyuma kwenye mazungumzo ya juzi, kuhusu haya maneno yaliyoko hapa juu....
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 3 2,802 07-25-2021, 12:21 PM
    Thread: ISTILAHI ANUWAI NA MAANA ZAKE
Post: ISTILAHI ANUWAI NA MAANA ZAKE

Karibu mdau mkubwa wa kiswahili upate kuyajua maneno ya Kiswahili ambayo pengine umekuwa ukiyatamka na kusogoa kwa lugha ya Kiingereza pasi kujua maana mbadala. *_NENO_*                 *_MAANA_* Ra...
MwlMaeda Kiswahili cha Kompyuta 2 4,017 06-18-2021, 02:22 PM
    Thread: SHAIRI: NAKULAUMU
Post: SHAIRI: NAKULAUMU

NAKULAUMU Nalia nagaragara, mganga kaniarifu, Haki sio masihara, nimepata hitilafu, Jamani hii hasara, hayana kazi mapafu, Ulonifunza sigara, tambua nakulaumu. Vipi nifunike kombe, nisinene n...
MwlMaeda Ushairi 2 2,152 07-04-2021, 09:26 AM
    Thread: Ogopa sana mtu mkimya
Post: Ogopa sana mtu mkimya

Ogopa sana mtu mkimya, 1. Wako vizuri kwenye kutunza SIRI 2. Siyo rahisi kuwaelewa. 3. Anaweza kukufanya lolote na usitambue kamwe kwamba yeye ndiye chanzo. 4. Huwa wana ajenda nyingi ndan...
MwlMaeda Je, wajua ? 2 2,447 07-10-2021, 10:44 AM
    Thread: Fasihi Elektroniki: Matokeo ya Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia katika Fasihi
Post: Fasihi Elektroniki: Matokeo ya Maendeleo ya Sayans...

MwlMaeda Sayansi na Teknolojia katika Fasihi 2 2,874 07-11-2021, 03:26 PM
    Thread: UNYAMBULISHAJI, UAMBISHAJI NA MNYAMBULIKO
Post: UNYAMBULISHAJI, UAMBISHAJI NA MNYAMBULIKO

BOFYA HAPA >>>>> (https://youtu.be/fVL2w8oi8cA)
MwlMaeda Sarufi na Utumizi wa lugha 2 2,647 07-12-2021, 07:36 AM
    Thread: UNYAMBULISHAJI, UAMBISHAJI NA MNYAMBULIKO
Post: RE: UNYAMBULISHAJI, UAMBISHAJI NA MNYAMBULIKO

MwlMlela Wrote: (07-22-2021, 07:17 AM) -- Mkuu kumbe tunaposema kategoria ya neno hatumaanishi tu aina ya neno kumbe na kauli zake? Kwakweli hapo nimeelewa -- Dhana ya kategoria ni pana sana inagus...
MwlMaeda Sarufi na Utumizi wa lugha 2 2,647 07-23-2021, 08:01 PM
    Thread: SHAIRI: NAKULAUMU
Post: RE: SHAIRI: NAKULAUMU

MwlKapinga Wrote: (07-05-2021, 07:45 AM) -- ??? shairi nzuri sana japo linahitaji kauwezo ka kufikiria kidogo -- Kweli na ndiyo utamu wa ushairi ulipo
MwlMaeda Ushairi 2 2,152 07-23-2021, 10:40 PM
    Thread: Ogopa sana mtu mkimya
Post: RE: Ogopa sana mtu mkimya

MwlKapinga Wrote: (08-03-2021, 11:12 AM) -- Mwalimu wangu habari za kazi! Mimi nimeandika ujumbe huu nataka nikuulize faida na basara za ukimya, maana sio kila mtu mkimya anakua na faida, ASANTE ??...
MwlMaeda Je, wajua ? 2 2,447 08-05-2021, 06:18 AM
    Thread: Fasihi Elektroniki: Matokeo ya Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia katika Fasihi
Post: RE: Fasihi Elektroniki: Matokeo ya Maendeleo ya Sa...

MwlKapinga Wrote: (08-03-2021, 11:21 AM) -- :rolleyes: :) :D  kazi zako nazipenda Sana kwa Maana hugusa kila kipengele, yaani kijamii , kisiasa na kiuchumi. ???️ -- Karibu sana
MwlMaeda Sayansi na Teknolojia katika Fasihi 2 2,874 08-05-2021, 06:20 AM
    Thread: SHAIRI: NCHI YA KUDAI na Jovin K. F
Post: RE: NCHI YA KUDAI na Jovin K. F

Hongera sana kwa utunzi
MwlMaeda Ushairi 2 2,244 08-08-2021, 08:25 AM
    Thread: SHAIRI: YAMENIGANDA MAPENZI
Post: SHAIRI: YAMENIGANDA MAPENZI

YAMENIGANDA MAPENZI Mapenzi anayejua, kwa hili simshangazi, Haya yakisha kutua, kukung’uta hauwezi, Vile hukung’ang’ania, kama chawa kwenye vazi, Sipendi sasa naumwa, yameniganda mapenzi. Mia...
MwlMaeda Ushairi 2 2,165 08-08-2021, 08:36 AM
    Thread: SHAIRI: YAMENIGANDA MAPENZI
Post: RE: SHAIRI: YAMENIGANDA MAPENZI

Mkonikoni kasema, yana mauja mapenzi, Yakisha kukuandama, mwili unapata ganzi, Maungo yanazizima, kama umepigwa konzi, Pole sana fielida, mapenzi ndivyo yalivyo. MTU hupata madhila, ukishikwa ki...
MwlMaeda Ushairi 2 2,165 08-08-2021, 11:02 AM
    Thread: SHAIRI: YAMENIGANDA MAPENZI
Post: RE: SHAIRI: YAMENIGANDA MAPENZI

Filieda humpati,sasa yupo kiganjani Anipikia chapati,nafaidi Biriani Hii ni yangu bahati,umtoe fikirani Kivuli sijihashuwe,chombo nimeshamiliki Nilifanza mikakati,nikamvuta nyumbani Sasa ni wan...
MwlMaeda Ushairi 2 2,165 08-08-2021, 11:07 AM
    Thread: ISTILAHI ANUWAI NA MAANA ZAKE
Post: RE: ISTILAHI ANUWAI NA MAANA ZAKE

Akanga Fredrick Ochieng Wrote: (08-08-2021, 08:03 PM) -- Kazi nzuri sana. -- Karibu sana
MwlMaeda Kiswahili cha Kompyuta 2 4,017 08-08-2021, 08:13 PM