MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
JIFUNZE KISWAHILI - Search Results

Search Results
Post Author Forum Replies Views Posted [asc]
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO 'BIASHARA'
Post: ETIMOLOJIA YA NENO 'BIASHARA'

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO 'BIASHARA' Neno *biashara* katika lugha ya Kiswahili ni *nomino: [Ngeli: i-/zi-*] yenye maana ya mchakato wa kununua na kuuza mali au vitu. *Biashara sukutu*: aina ya ...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 577 08-05-2022, 11:27 AM
    Thread: JANGA SUGU LA WAZAWA
Post: JANGA SUGU LA WAZAWA

MwlMaeda Riwaya 0 775 07-30-2022, 08:41 PM
    Thread: SHAIRI: HANI NIPO KITANDANI
Post: SHAIRI: HANI NIPO KITANDANI

HANI NIPO KITANDANI haloo!hanii halo, Rwaka hani wasikia? Ndio hapo sawa halo, vipi unaendelea? Tatizo nililonalo, lazizi ninaugua, Hani nipo kitandani, taabani hali yangu. Wala sijahama njia, ...
MwlMaeda Ushairi 0 886 07-30-2022, 02:16 PM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO 'BALAGHAMU/BELGHAMU'
Post: ETIMOLOJIA YA NENO 'BALAGHAMU/BELGHAMU'

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO 'BALAGHAMU/BELGHAMU' Neno *balaghamu/belghamu* katika lugha ya Kiswahili ni *nomino: [Ngeli: li-/ya-*] yenye maana ya kioevu kizito kilichochanganyika na utandoute kina...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 529 07-29-2022, 07:56 PM
    Thread: MAANA YA METHALI
Post: MAANA YA METHALI

MAANA YA METHALI Wataalamu mbalimbali wamejaribu kutoa fasili ya maana ya methali. Mazrui na Syambo (1992), methali ni misemo mifupi yenye hekima fulani. Wamesisitiza kuwa methali hudhihirisha mkusan...
MwlMaeda Semi 0 1,066 07-29-2022, 08:04 AM
    Thread: SHAIRI: UCHAWI
Post: SHAIRI: UCHAWI

UCHAWI Jamani niambieni, akipatapacho mchawi, Huko awako gizani, mbona ya Mana hayawi, Pasi na nguo mwilini, lake baridi mchawi, Jamani niambieni, akipatapacho mchawi. Mchawi hupenda tabu, hape...
MwlMaeda Ushairi 0 806 07-27-2022, 10:17 PM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO 'BEDUI/BEDAWI'
Post: ETIMOLOJIA YA NENO 'BEDUI/BEDAWI'

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO 'BEDUI/BEDAWI' Neno bedui/bedawi katika lugha ya Kiswahili ni nomino: [Ngeli: a-/wa-, wingi: mabedui/mabedawi] yenye maana zifuatazo: 1. Mtu wa jamii ya Waarabu anay...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 712 07-26-2022, 07:32 PM
    Thread: SHAIRI: NAINGOJA SIMU YAKO
Post: SHAIRI: NAINGOJA SIMU YAKO

NAINGOJA SIMU YAKO Nimeamka mapema, nimekaa kitandani, Mawazoni nimezama, ninakuwaza mwandani, Fikira zimenihama, nipo kwako ewe hani, Naingoja simu yako! Mara nasimama wima, ghafla nakaa chini...
MwlMaeda Ushairi 0 821 07-25-2022, 08:26 PM
    Thread: MAISHA YANGU NA BAADA YA MIAKA 50
Post: MAISHA YANGU NA BAADA YA MIAKA 50

MwlMaeda Riwaya 0 1,212 07-25-2022, 09:12 AM
    Thread: NYERERE NA SAFARI YA KANAANI
Post: NYERERE NA SAFARI YA KANAANI

Oktoba, 1966 kulizuka mgogoro mkubwa wa kihistoria kati ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Muhimbili. Wanafunzi hawa walifanya maandamano makubwa hadi ...
MwlMaeda Tamthiliya 0 607 07-24-2022, 09:04 AM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO 'BAYANI'
Post: ETIMOLOJIA YA NENO 'BAYANI'

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO 'BAYANI' Neno *bayani* katika lugha ya Kiswahili ni *nomino: [Ngeli: i-/i-*] yenye maana ya *stadi mojawapo katika mafunzo ya lugha ya Kiarabu  inayohusu ujuzi wa kuzun...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 576 07-24-2022, 08:52 AM
    Thread: SHAIRI: NIMPENDE NANI ?
Post: SHAIRI: NIMPENDE NANI ?

NIMPENDE NANI ? Mwenzenu nipeni rai kwa haya yalonifika Moyo wangu haukai, kwa hapa nilipofika Japo naona nishai,  moyoni nimewatika Kati ya hawa wawili, Nipende nani zaidi? Huyu  wa kwanza...
MwlMaeda Ushairi 0 866 07-22-2022, 06:23 AM
    Thread: NECTA 2022 KISWAHILI 2
Post: NECTA 2022 KISWAHILI 2

MwlMaeda Mitihani 0 2,403 07-21-2022, 02:26 PM
    Thread: NECTA 2022 KISWAHILI 1
Post: NECTA 2022 KISWAHILI 1

MwlMaeda Mitihani 0 1,138 07-21-2022, 02:22 PM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO 'BASHASHA'
Post: ETIMOLOJIA YA NENO 'BASHASHA'

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO 'BASHASHA' Neno *bashasha* katika lugha ya Kiswahili ni *nomino: [Ngeli: i-/zi-*] yenye maana zifuatazo: 1. Hali ya kuonesha furaha; ucheshi, uchangamfu. 2. Furah...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 718 07-18-2022, 06:33 AM
    Thread: MAENDELEO YA KISWAHILI BAADA YA UHURU NA CHANGAMOTO ZAKE
Post: MAENDELEO YA KISWAHILI BAADA YA UHURU NA CHANGAMOT...

MwlMaeda Maendeleo ya Kiswahili 0 893 07-15-2022, 11:35 AM
    Thread: Baba alivyookoa ndoa ya kijana wake
Post: Baba alivyookoa ndoa ya kijana wake

Baba alivyookoa ndoa ya kijana wake Iko hivi, katika familia moja yenye mabinti watatu na kijana mmoja wa pekee wa kiume siku moja paliingia tafrani. Kijana wa familia alipofikia umri wa kuoa wazazi ...
MwlMaeda Je, wajua ? 0 768 07-13-2022, 07:42 AM
    Thread: MOKU DSM KIDATO CHA 4 JULAI 2022
Post: MOKU DSM KIDATO CHA 4 JULAI 2022

MwlMaeda Mitihani 0 663 07-11-2022, 10:05 AM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO 'BAHASHISHI'
Post: ETIMOLOJIA YA NENO 'BAHASHISHI'

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO 'BAHASHISHI' Neno *bahashishi* katika lugha ya Kiswahili ni *nomino: [Ngeli: i-/zi-*] yenye maana zifuatazo: 1. Kitu anachopewa mtu kama zawadi kwa kazi nzuri aliyoi...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 606 07-11-2022, 08:05 AM
    Thread: Je wafahamu misingi iliyowezesha Kiswahili kuadhimishwa 7/7?
Post: Je wafahamu misingi iliyowezesha Kiswahili kuadhim...

Mkutano Mkuu wa 41 wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni, UNESCO tarehe 23 mwezi huu wa Novemba mwaka 2021 ulipitisha azimio namba 41C/61 la kutangaza tarehe 7 mwezi Julai kila...
MwlMaeda Kiswahili Kimataifa 0 892 07-08-2022, 04:24 PM