MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.
JIFUNZE KISWAHILI - Search Results

Search Results
Post Author Forum Replies Views Posted [asc]
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO "SARUFI''
Post: ETIMOLOJIA YA NENO "SARUFI''

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO "SARUFI'' Neno *sarufi* katika lugha ya Kiswahili ni *nomino: [Ngeli: i-/zi-*] yenye maana zifuatazo: 1. Mfumo na muundo wa lugha ambao mtu akiufahamu humwezesha kui...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 534 09-14-2022, 09:51 PM
    Thread: Sera ya Faragha/Privacy Policy
Post: Sera ya Faragha/Privacy Policy

Sera ya Faragha Sera hii inaongoza jinsi jifunzekiswahili.co.tz inavyokusanya, kutumia na kulinda taarifa za watumiaji (kila “mtumiaji”) wa tovuti ya https://jifunzekiswahili.co.tz/ (“tovuti”). Sera ...
MwlMaeda Sera ya Faragha/Privacy Policy 0 959 09-12-2022, 07:22 AM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO "BURUDAI''
Post: ETIMOLOJIA YA NENO "BURUDAI''

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO "BURUDAI'' Neno burudai katika lugha ya Kiswahili ni nomino: [Ngeli: i-/zi-] yenye maana zifuatazo: 1. Kisomo maalumu cha kumsifu Mtume Muhammad (Swalla Llaahu Alayh...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 507 09-10-2022, 05:41 PM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO "BURIANI''
Post: ETIMOLOJIA YA NENO "BURIANI''

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO "BURIANI'' Neno *buriani* katika lugha ya Kiswahili ni *nomino: [Ngeli: i-/zi-*] yenye maana zifuatazo: 1. Maagano yanayoonesha kuwa wanaoagana wataachana kwa muda m...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 797 09-08-2022, 10:08 PM
    Thread: SAFARI YA BULICHEKA NA MKE WAKE
Post: SAFARI YA BULICHEKA NA MKE WAKE

MwlMaeda Riwaya 0 1,511 09-05-2022, 01:07 PM
    Thread: NECTA K4 2021
Post: NECTA K4 2021

MwlMaeda Mitihani 0 641 09-05-2022, 01:02 PM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO "BURUJI''
Post: ETIMOLOJIA YA NENO "BURUJI''

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO "BURUJI'' Neno buruji katika lugha ya Kiswahili ni nomino: [Ngeli: i-/zi-] na pia [Ngeli: a-/wa- kwa mtu]* yenye maana zifuatazo: 1. Ngome iliyo na kuta zenye uwazi ...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 481 09-05-2022, 12:44 PM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO "BURUNUSI''
Post: ETIMOLOJIA YA NENO "BURUNUSI''

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO "BURUNUSI'' Neno burunusi katika lugha ya Kiswahili ni nomino: [Ngeli: i-/zi-] yenye maana ya vazi zito lililounganishwa na kofia. Katika lugha ya Kiarabu, neno hil...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 506 09-05-2022, 12:43 PM
    Thread: TATHMINI YA WATAHINI KUHUSU UFAULU WA WATAHINIWA WA KIDATO CHA NNE
Post: TATHMINI YA WATAHINI KUHUSU UFAULU WA WATAHINIWA W...

MwlMaeda Zana za kufundishia 0 705 09-05-2022, 07:45 AM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO "UJUMI''
Post: ETIMOLOJIA YA NENO "UJUMI''

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO "UJUMI'' Neno *ujumi* katika lugha ya Kiswahili ni *nomino: [Ngeli: u-/u-*] yenye maana zifuatazo: 1. Kanuni zinazohusu ubora na ubaya wa kazi ya sanaa.(Vyanzo: *Kamus...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 610 09-03-2022, 10:30 AM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO "BULIBULI''
Post: ETIMOLOJIA YA NENO "BULIBULI''

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO "BULIBULI'' Neno *bulibuli* katika lugha ya Kiswahili ni *nomino: [Ngeli: i-/zi-*] yenye maana ya mtindo mmojawapo wa kofia nyeupe yenye nakshi (viua) inayovaliwa hasa ...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 562 08-28-2022, 08:22 AM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO "MAHABA''
Post: ETIMOLOJIA YA NENO "MAHABA''

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO "MAHABA'' Neno mahaba katika lugha ya Kiswahili ni nomino: [Ngeli: ya-/ya-] yenye maana zifuatazo: 1. Hisia za mvuto zinazojengeka kwa mtu mwengine kutokana na kupen...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 592 08-23-2022, 09:59 AM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO "BUGHUDHA''
Post: ETIMOLOJIA YA NENO "BUGHUDHA''

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO "BUGHUDHA'' Neno bughudha katika lugha ya Kiswahili ni nomino: [Ngeli: i-/zi-] yenye maana ya mambo yanayomkasirisha au kumuudhi mtu, maneno na vitendo vinavyomfanya mt...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 522 08-23-2022, 09:59 AM
    Thread: SHAIRI: CHOZI
Post: SHAIRI: CHOZI

CHOZI Alipokuwa kufani, pumzi ikimkwama, Aliniita pembeni, maneno akiyasema, Sijitie kilioni, machozi ukayafuma, Halina thamani chozi, aliniusia mama. Hata ukilia sana, useme olele mama, Bure ...
MwlMaeda Ushairi 0 868 08-23-2022, 08:52 AM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO "BUDI''
Post: ETIMOLOJIA YA NENO "BUDI''

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO "BUDI'' Neno budi katika lugha ya Kiswahili ni nomino: [Ngeli: i-/zi-] yenye maana zifuatazo: 1. Jambo la lazima. Msemo: Sina budi kusafiri: lazima nisafiri. (Kam...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 622 08-21-2022, 02:38 PM
    Thread: VIJANA JENGENI KWENU
Post: VIJANA JENGENI KWENU

VIJANA JENGENI KWENU Yananipata mashaka, kwa vijana wa mijini, Kwenu mlikoondoka, hivi kuna hali gani? Nadhani kuna vichaka,  nyoka yake masikani, Kwenu jengeni jamani, nawausia vijana. Kuna v...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 497 08-21-2022, 10:01 AM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO "BINAMU''
Post: ETIMOLOJIA YA NENO "BINAMU''

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO "BINAMU'' Neno *binamu* katika lugha ya Kiswahili ni *nomino: [Ngeli: a-/wa-*] yenye maana ya mtoto wa kike au wa kiume wa shangazi au mjomba. Katika lugha ya Kiara...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 710 08-14-2022, 09:46 AM
    Thread: MASUALA YA KISARUFI KATIKA MAGAZETI YA MITAANI YA KISWAHILI - TANZANIA
Post: MASUALA YA KISARUFI KATIKA MAGAZETI YA MITAANI YA ...

MwlMaeda Sarufi na Utumizi wa lugha 0 694 08-09-2022, 07:48 AM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO "BILADI ''
Post: ETIMOLOJIA YA NENO "BILADI ''

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO "BILADI '' Neno *biladi* katika lugha ya Kiswahili ni *nomino: [Ngeli: i-/zi-*] yenye maana ya *mji* . Katika lugha ya Kiarabu, neno hili *biladi* limechukuliwa kuto...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 1 870 08-08-2022, 08:08 PM
    Thread: ETIMOLOJIA YA NENO SHUKURANI ''
Post: ETIMOLOJIA YA NENO SHUKURANI ''

HII NDIYO ETIMOLOJIA YA NENO SHUKURANI '' Neno *shukurani* katika lugha ya Kiswahili ni *nomino: [Ngeli: i-/zi-*] yenye maana ya maneno yanayotolewa kuonesha kuupokea kwa mikono miwili wema ulioten...
MwlMaeda Majadiliano ya Wadau wa Kiswahili 0 621 08-06-2022, 08:54 AM