MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

<![CDATA[JIFUNZE KISWAHILI - Zana za kufundishia]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/ Sat, 27 Apr 2024 23:58:59 +0000 MyBB <![CDATA[ANDALIO LA SOMO]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=2851 Mon, 24 Oct 2022 08:44:15 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=2851
.docx   ANDALIO LA SOMO.docx (Size: 15.41 KB / Downloads: 35)

.pdf   ANDALIO LA SOMO.pdf (Size: 50.6 KB / Downloads: 20) ]]>

<![CDATA[TATHMINI YA WATAHINI KUHUSU UFAULU WA WATAHINIWA WA KIDATO CHA NNE]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=2820 Mon, 05 Sep 2022 03:45:00 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=2820
.pdf   021_KISWAHILI 2021.pdf (Size: 3.42 MB / Downloads: 1) ]]>

<![CDATA[VITABU VYA TET/TIE MTANDAONI]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=2466 Sun, 20 Mar 2022 17:35:47 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=2466
Kidato cha kwanza
http://online.fliphtml5.com/rwbnv/gqpa/#p=37

Kidato cha pili
http://online.fliphtml5.com/rwbnv/wctf/#p=1

Kidato cha tatu http://online.fliphtml5.com/rwbnv/uhfh/#p=1

Kidato cha nne http://online.fliphtml5.com/rwbnv/vybl/#p=1

Kidato cha 5&6 http://online.fliphtml5.com/rwbnv/tnyw/#p=1]]>

<![CDATA[MUHTASARI WA TAALUMA YA KISWAHILI KWA STASHAHADA YA UALIMU NGAZI YA SEKONDARI]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=2414 Sun, 27 Feb 2022 17:27:11 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=2414

.pdf   KITABU_CHA_KISWAHILI.pdf (Size: 421.23 KB / Downloads: 5) ]]>

<![CDATA[MADA ZA KUFUNDISHIA KISWAHILI KIDATO CHA I-IV]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=2375 Fri, 28 Jan 2022 09:29:44 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=2375
.pdf   MADA ZA KUFUNDISHIA KISWAHILI KIDATO CHA I-IV.pdf (Size: 16.47 KB / Downloads: 8) ]]>

<![CDATA[ORODHA YA VITABU VYA ZIADA VILIVYOPATA ITHIBATI]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=2304 Wed, 26 Jan 2022 04:11:45 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=2304

.pdf   ORODHA YA VITABU VYA ZIADA VILIVYOPATA ITHIBATI NA MAUDHUI YA KIELEKTRONIKI YALIYOPATA ITHIBATI MWAKA 2017 HADI 2021.pdf (Size: 848.89 KB / Downloads: 10) ]]>

<![CDATA[MWONGOZO WA MAFUNZO YA MIONGOZO NA KALENDA ZA UTEKELEZAJI WA MITAALA NGAZI YA ELIMU]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=2277 Sat, 22 Jan 2022 03:22:01 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=2277

.pdf   MWONGOZO WA MAFUNZO YA KALENDA HALMASHAURI.pdf (Size: 1.37 MB / Downloads: 5) ]]>

<![CDATA[MWONGOZO WA MAFUNZO KAZINI KWA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI SOMO LA KISWAHILI]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=2071 Sun, 09 Jan 2022 15:35:56 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=2071
.pdf   MWONGOZO WA MAFUNZO KAZINI.pdf (Size: 369.77 KB / Downloads: 11)

.doc   MWONGOZO WA MAFUNZO KAZINI.doc (Size: 527.5 KB / Downloads: 8) ]]>

<![CDATA[NGAZI ZA UTAMBUZI NA VITENZI VYA UPIMAJI]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1681 Sun, 05 Dec 2021 16:40:16 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1681
.pdf   NGAZI ZA UTAMBUZI NA VITENZI VYA UPIMAJI.pdf (Size: 9.46 KB / Downloads: 20) ]]>

<![CDATA[UANDISHI WA SHAJARA (LOGBOOK) YA SOMO]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=817 Tue, 10 Aug 2021 07:55:33 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=817
.pdf   Shajara ya Somo.pdf (Size: 11.7 KB / Downloads: 15) ]]>

<![CDATA[MITINDO NA MBINU ZA FASIHI YA KISWAHILI]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=708 Sun, 01 Aug 2021 10:47:31 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=708
.pdf   Mtindo hujitokeza katika maandishi na pia mazungumzo.pdf (Size: 161.26 KB / Downloads: 2) ]]>

<![CDATA[VIFAA VYA MTAALA]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=706 Sun, 01 Aug 2021 10:04:36 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=706
Mtaala una vifaa vyake maalumu ambavyo vinatakiwa vitumike kwa usahihi ili kutekeleza mtaala kwa ufaninsi. Vifaa hivyo ni;
  1. Muhtasari
  2. Vitabu vya kiada
  3. Kiongozi cha mwalimu
  4. Kitabu cha mwalimu na
  5. Rejea.
MATAYARISHO YA UFUNDISHAJI
Matayarisho ya ufundishaji ni ile hali ya mwalimu kuandaa zana na vifaa muhimu kwa ajili ya kufundishia na kujifunzia
UMUHIMU WA MATAYARISHO YA UFUNDISHAJI
Kazi ya kufundisha ni kazi ya kitaalamu hivyo inahitaji maandalizi wakati wote. Hivyo basi mwalimu anapaswa kufanya maandalizi ya kutosha kabla ya kuingia darasani kufundisha na kwa mantiki hiyo mwalimu analazimika kujiandaa ili kuepuka matatizo yafuatayo wakati wa kufundisha na kujifunza.
  • Kukosa mtiririko unaofaa wa ufundisahaji
  • Kufundisha kwa kubahatisha au kubabaisha
  • Kuchosha wanafunzi katika kujifunza
  • Uwezekano wa kupotosha maudhui
  • Kushindwa kutunza muda
  • Kushindwa kukidhi matarajio ya somo na ya wanafunzi
  • Kujiamini au kutojiamini kusiko na misingi dhahiri
Kumbuka:
Ili Mwalimu aweze kukamilika katika maandalizi yake ya ufundishaji wa kila siku ni muhimu awe na baadhi ya vifaa ambavyo ndivyo msingi muhimu na muongozo muhimu wa kazi yake. Miongoni mwa vifaa hivyo ni:
  1. Muhtasari wa somo
  2. Azimio la Kazi
  3. Andalio la Somo
  4. Shajara la somo nk.
]]>

<![CDATA[Nyenzo-rejea : Hadithi]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=699 Sun, 01 Aug 2021 07:54:41 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=699 (Angalizo: Hivi ni lazima viwe vimepishana kwa wiki kadhaa )
Kabla ya kusoma
  1. Umeshafikiri kuhusu kile kitabu tangu tulipokisoma kwa mara ya mwisho?
  2. Ungependa kukisoma tena?
  3. Nisimulie unachokumbuka zaidi kuhusiana na kile kitabu.
Wakati wa kusoma
Uliza tena maswali kuhusu muundo wa hadithi na jinsi maneno na picha vinavyochangia katika muundo huu.
Baada ya Kusoma
  1. Umegundua kitu chochote wakati huu ambacho hukukigundua kabla?
  2. Unajisikiaje kuhusiana na hadithi hii baada ya kuisoma tena?
  3. Unapofikiria kitabu hiki sasa, ni kitu gani muhimu kuliko vyote kwako kuhusiana na kitabu?
Baada ya kuwa umekisoma kitabu hiki zaidi ya mara moja, je, ungependekeza wanafunzi wengine pia wakisome zaidi ya mara moja na mwalimu wao?
Imechukuliwa kutoka: Swain, C. Gazeti Msingi la Kiingereza (The Primary English Magazine)

Nyenzo-rejea 3: Hadithi
[Image: rmatter.png] Nyenzo-rejea ya mwalimu kwa ajili kupanga au kurekebisha ili kutumia na wanafunzi
Andika hadithi ubaoni, lakini usiandike kichwa cha hadithi wala sentensi mbili za mwisho (‘Alitoa shuti – chini kuelekea kulia. Goli zuri!’) ubaoni mpaka sehemu ya mwisho kabisa ya somo lako.
[Kukimbilia utukufu na Mark Northcroft (umri miaka 12 )]
Alikimbia tena na tena. Miguu yake iliuma kama tindikali. Aliweza kusikia waliokuwa wanamfukuzia wakiwa wanamkaribia. Alihisi kuwa asingeweza kukaa nao sana na kwa muda mrefu lakini alijua lazima afanye vile. Hatua zilikuwa zinamkaribia. ‘Haraka! Haraka!’alilia. ‘Siwezi! Siwezi!’ alijibu. Alijisikia nguvu kutoka sehemu fulani ndani ya mwili wake. Sasa alijua kuwa atafanikiwa.
Ghafla mtu alitokea kusikojulikana. ‘Nipate sasa au nisipate kabisa,’ alifikiri.
[Alipiga shuti – chini kuelekea kulia. Goli zuri!]
Tanbihi
‘Miguu yake iliuma kama tindikali’ – Tashbiha hii au ulinganisho huu si rahisi kuueleza lakini unaweza kusema kuwa mwanaume au mvulana huyu alijisikia maumivu katika miguu yake kana kwamba kulikuwa na mchanganyiko wa kemikali iliyokuwa inachemka.
Maswali ya kuwauliza wanafunzi katika maandalizi ya uandishi wa mwanzo na mwisho mbadala wa hadithi hii
  1. Unafikiri ‘A’ ni nani?
  2. Unafikiri yuko wapi?
  3. Unafikiri nini kitamtokea?
  4. Nani ‘mwanamume’?
  5. Watu gani wengine wanaweza kuwa sehemu ya hadithi hii?
  6. Kutakuwa kumetokea nini kabla ya sehemu hii ya hadithi?
  7. Nini kinaweza kutokea baadaye?
]]>
(Angalizo: Hivi ni lazima viwe vimepishana kwa wiki kadhaa )

<![CDATA[MWONGOZO WA MAFUNZO KAZINI KWA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI SOMO LA KISWAHILI]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=698 Sun, 01 Aug 2021 07:45:22 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=698 MWONGOZO WA MAFUNZO KAZINI KWA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI SOMO LA KISWAHILI

1.0 UTANGULIZI

Somo la Kiswahili ni miongoni mwa masomo ambayo yameonekana kuwa na changamoto katika mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji. Katika kukabiliana na changamoto hizi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kushirikiana na wadau mbalimbali wa elimu wamefanya jitihada za kuandaa miongozo ya masomo mbalimbali ikiwa ni pamoja na mwongozo wa Ufundishaji wa Walimu Kazini wa Somo la Kiswahili.
Mwongozo huu umeandaliwa ili kuweza kuziba mapengo ya ufundishaji na ujifunzaji wa baadhi ya mada za somo la Kiswahili kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne. Mwongozo umekusudiwa kutumika katika mzunguko wa kwanza kwa mafunzo ya walimu wa sekondari wa somo la Kiswahili.
BOFYA HAPA CHINI KUSOMA YOTE>>>>>>>>>>

.pdf   1530255042627_KISWAHILI-TRAINING-MANUAL.pdf (Size: 527.93 KB / Downloads: 19) ]]>
MWONGOZO WA MAFUNZO KAZINI KWA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI SOMO LA KISWAHILI

<![CDATA[MBINU ZA UFUNDISHAJI WA KISWAHILI]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=684 Fri, 30 Jul 2021 12:46:48 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=684
.pdf   MBINU ZA UFUNDISHAJI WA KISWAHILI.pdf (Size: 220.08 KB / Downloads: 14) ]]>