MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

<![CDATA[JIFUNZE KISWAHILI - Maswali na majibu]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/ Sun, 05 May 2024 06:52:01 +0000 MyBB <![CDATA[MASWALI NA MAJIBU -1: DARASA LA 3 & 4]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1079 Tue, 31 Aug 2021 04:42:26 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1079
.pdf   MASWALI NA MAJIBU 1.pdf (Size: 107.75 KB / Downloads: 19) ]]>

.pdf   MASWALI NA MAJIBU 1.pdf (Size: 107.75 KB / Downloads: 19) ]]>
<![CDATA[MASWALI NA MAJIBU- 2: DARASA LA 3 & 4]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1078 Tue, 31 Aug 2021 04:23:46 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1078
.pdf   MASWALI NA MAJIBU.pdf (Size: 68.09 KB / Downloads: 3) ]]>

.pdf   MASWALI NA MAJIBU.pdf (Size: 68.09 KB / Downloads: 3) ]]>
<![CDATA[MASWALI NA MAJIBU -3: DARASA LA 3 & 4]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1077 Tue, 31 Aug 2021 04:13:48 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1077 SEHEMU A: Andika kisawe cha kila neno.
Neno                                                 Kisawe
  1. Kifungua mimba                         ……………….
  2. Mvulana                                       ……………….
  3. Fedha                                            ……………….
  4. Ndovu                                            ……………….
  5. Kenda                                            ……………….
SEHEMU B: Andika umoja au wingi wa maneno yafuatayo.
         UMOJA                                     WINGI
  1. ……………..                                    Mawe
  2. Sanduku                                       ……………
  3. ………………                                    Kwato
  4. Gulio                                               …………….
SEHEMU C: Kamilisha methali zifuatazo
  1. Haraka haraka ………………………….
  2. ………………………..mauti nyuma
  3. Haba na haba ………………………..
  4. Usiache mbachao………………………
SEHEMU D: Chagua neno sahihi katika mabano ili kukamilisha sentensi zifuatazo:
  1. Ndani ya pochi mama aliweka fedha na funguo…………………….(yake, wake,zake)
  2. Bakari na Mwasiti walipewa ……………….kali(adhabu, adabu, azabu)
  3. Kuna msemo usemao “siku za mwizi ni ……………(kumi, nyingi, arobaini)
SEHEMU E: Andika neno moja lenye maana ya maneno yaliyotolewa.
Mfano: Ng’ombe, mbuzi, kondoo – wanyama
  1. Ugali, wali, ndizi ……………..
  2. Chungwa, papai, nanasi…………
  3. Mende, kunguni, chawa……………
  4. Papa, kambale, perege…………….
SEHEMU F: UFAHAMU
Soma habari ifuatayo kisha jibu maswali kwa kuchagua herufi ya jibu sahihi.
Sisi tunaishi katika kijiji cha Mwambani kandokando ya bahari ya Hindi. Siku moja mjomba wangu alishikwa na homa kali. Alimeza kidonge kwa muda wa siku mbili lakini hakupata nafuu. Siku ya tatu baba na wazee wengine walimpeleka kwenye kituo cha afya.
Kituo cha afya kipo kilometa tano kutoka nyumbani kwetu. Mgonjwa alipelekwa kwa baiskeli. Alipofika kituoni alionana na daktari. Baada ya uchunguzi wa kutosha mjomba aligundulika kuwa na malaria. Daktari alimpeleka wodini na kumlaza kwene kitanda maalumu chenye magurudumu. Mgonjwa alianza kuhudumiwa na wauguzi kwa kupewa dawa na baada ya siku saba tu mjomba Maganga akapona.
MASWALI
  1. Homa kali iliyomshika mjomba Maganga ilitokana na……………
(a) kulogwa (b) kuishi kandokando ya baharo © malaria (d) kumeza vidonge bila kupimwa
  1. Mara baada ya mgonjwa kuzidiwa na kufikishwa kituo cha afya jambo gani lilifanyika?
(a) daktari alimpa dawa (b) alilazwa wodini © kuhudumiwa na wauguzi (d) alifanyiwa uchunguzi
  1. Mjomba Maganga alipona baada ya muda gani tangu kulazwa kituo cha afya?
(a) juma moja (b) siku mbili © siku tano ( muda mfupi)
  1. Inatubidi tufanye nini tunaposhikwa na malaria?
(a) tumeze vidonge (b) twende kwa waganga wa kienyeji © twende hospitali kwa wauguzi na matabibu (d) tusitumie dawa
  1. Tunaweza kuepuka malaria kwa kufanyaje?
(a) kufunga milango (b) kusafisha mazingira yetu na utumiaji vyandarua © kumeza dawa mara kwa mara (d) kulala madirisha wazi
MAJIBU
  1. Mwanambee
  2. mvuli
  3. tembo
  4. pesa/hela
  5. tisa
  6. jiwe
  7. masanduku
  8. ukwato
  9. magulio
  10. haina baraka
  11. tamaa mbele
  12. hujaza kibaba
  13. kwa mswala upitao
  14. zake
  15. adhabu
  16. arobaini
  17. vyakula
  18. matunda
  19. wadudu
  20. samaki
  21. C
  22. D
  23. A
  24. C
  25. B
]]>
SEHEMU A: Andika kisawe cha kila neno.

<![CDATA[MASWALI NA MAJIBU- 4: DARASA LA 3 & 4]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1076 Tue, 31 Aug 2021 03:54:00 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1076 SEHEMU A: MISAMIATI: Chagua jibu lililosahihi
  1. Kamchape aliwakumbuka sana marehemu watoto wake akashikwa na ……………na kuomboleza.
(a) amaki (b) mwaliko © hatimaye (d) fumanizi
  1. Ali …………pesa katika kiganja cha mkono na kukimbia hadi dukani.
(a) adhimisha (b) hamaki © shuhudia (d) fumbata
  1. …………..mvua zikanyesha na watu wakapanda mbegu za kila aina.
(a) fukuto (b) hatimaye © maarufu (d) mara nyingi
  1. Juma alipigwa………….kuonekana katika eneo la shule kwa sababu ya wizi.
(a) tetemeko (b) marufuku © mara nyingi (d) wizi
  1. Kila tarehe 14 Oktoba tuna………….kumbukumbu ya kifo cha hayati Mwalimu J.K. Nyerere.
(a) adimisha (b) adhimisha © azimisha (d) kimbilia
  1. Huyu ni ………….wa hapa kijijini kwetu.
(a) mkungu (b) mkonge © mkunga (d) mkenge
  1. Huu ………..mpaka wa shule yetu.
(a) ndimo (b) ndiyo © ndio (d) ndiko
  1. Sikukuu ya Idd baba alichinja ……………mkubwa.
(a) faali (b) fahari © fahali (d) faili
  1. Tulikaribishwa kwenye ………ya harusi.
(a) kalamu (b) karamu © kaumu (d) mwito
  1. Alimeza ………….mbili za dawa.
(a) temba (b) mtembe © tembe (d) tumba
 
SEHEMU B: Nahau na methali
Mfano: Kufa maji ………….kufia ndani ya maji
  1. Mkono wa birika………………………..
  2. Unga mkono……………………………..
  3. Mtoto wa kikopo……………………….
  4. Ana mkono mrefu……………………..
  5. Kutoa rambirambi………………………
  6. Zimwi ……………………………………
  7. Kuku mgeni……………………………..
  8. Nina chemchemi isiyokauka………………
  9. Ukumbuu wa babu mrefu…………………
  10. Ukiona vyaelea……………………………
SEHEMU C: UFAHAMU: Soma kifungu cha habari kisha jibu maswali yanayofuata.
Mara tu mvua za vuli zilipoanza Mzee Lazaro “alipaza” sauti yake juu na kusema “…hameni wote mliojenga na kuishi mabondeni” watu walitahamaki kuona hakuna aliyesikia tamko hilo la Mzee Lazaro. Mvua zilipozidi kumiminika ndipo mjomba alisema “asiyesikia la mkuu huvunjika guu” watu wengi waliaga dunia na wengine kukosa mahali pa kuishi na kupoteza samani zao za ghali na kujutia kwa kutosikia sauti ya busara ya Mzee Lazaro.
MASWALI
  1. Ni ipi maana ya methali “Asiyesikia la mkuu huvunjika guu”.
(a) asiyesikia ya wakubwa atapata matatizo
(b) asiyesikia ya watu ataweza kuvunjwa mguu
© asiyesikia ya watu ana mkosi
(d) asiyesikia la mkubwa atafukuzwa kazi
  1. Neno “samani” lina maana ipi?
(a) vitu vya ndani (b) vitu ghali © vitu vya thamani (d) vitu vyao
  1. “Waliaga dunia” neno hili lina maana gani?
(a) kufariki (b) kuondoka duniani bila kuaga © kutoroka (d) kupotea
  1. Waliopuuzia sauti ya Mzee Lazaro walipoteza nini?
(a) samani zao (b) vitu vya mbali © kwenye maji (d) sauti
  1. Mara tu mvua zilipoanza Mzee Lazaro ………….sauti yake juu.
(a) aliangusha (b) alipoteza © alipaza (d) alilia
 
MAJIBU
  1. A
  2. D
  3. B
  4. B
  5. B
  6. C
  7. C
  8. C
  9. B
  10. C
  11. Mchoyo
  12. kubaliana naye
  13. mtoto wa muhuni
  14. mwizi
  15. kutoa mchango msibani
  16. halikuli likakwisha
  17. hakosi kamba mguuni
  18. mate
  19. barabara
  20. vimeundwa
  21. B
  22. A
  23. A
  24. A
  25. C
]]>
SEHEMU A: MISAMIATI: Chagua jibu lililosahihi

<![CDATA[MASWALI NA MAJIBU -5: DARASA LA 3 & 4]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1075 Tue, 31 Aug 2021 03:41:53 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1075 SEHEMU A: Chagua jibu sahihi
  1. Ipi kati ya sentensi hizi ni sentensi inayoonesha wakati ujao:-
(a) zena atakuja kwetu (b) zena anakuja kwetu © zena alikuja kwetu (d) zena huja kwetu.
  1. Kaka alichinja sungura jana. Sentensi hii ipo katika wakati gani?
(a) uliopita (b) ujao © mazoea (d) uliopo
  1. Badili kuwa hali ya mazoea, “Mkulima analima”……….
(a) mkulima analima (b) mkulima hulima © mkulima alilima (d) mkulima atalima
  1. Wingi wa neno kijiko ni………………………
(a) majiko (b) vijiko © mavijiko (d) vikijiko
  1. Baba …………..mama ni wazazi wangu.
(a) ni (b) wa © ya (d) na
  1. Wagonjwa wamelazwa…………………….
(a) nyumbani (b) wodini © hodini (d) chumbani
  1. Jua huchomoza asubuhi upande wa ………….
(a) Mashariki (b) juu © magharibi (d) kulia
  1. Mtu ambaye hasikii huitwa……………..
(a) bubu (b) kiwete © kiziwi (d) kilema
  1. Samaki wa maji chumvi wana ……………nzuri.
(a) mabaka (b) ladha © chumvi (d) rangi
  1. Vitabu ……….juu ya meza.
(a) viko (b) vino © vimekaa (d) zipo
 
SEHEMU B: Jaza nafasi iliyoachwa wazi
  1. Umoja wa neno “mvi” ni……………
  2. Waislamu daima ………………kwenye misikiti.
  3. Andika neno moja tu kutokana na kundi hili. …………..(Machungwa, nyanya, ndizi, nanasi)
SEHEMU C: Chagua jibu sahihi kwenye mabano
  1. Rehema ni bingwa wa……….mashairi (kughani, kugairi, kukubali)
  2. Hapo…………………za kale binadamu alifanana na sokwe. (mwanzoni, zamani, mwishoni, katikati)
  3. Mchwa huishi kwawingi na kuzaliana kwenye…………..(mzinga, zizi, kichuguu, kichukuu)
SEHEMU D: Methali, Nahau na Vitendawili
  1. Kamilisha methali hii:- Mvumilivu hula mbivu……………
  2. Toa maana ya nahau hii:- Kula chumvi nyingi…………….
  3. Tegua kitendawili hiki. Kila mtu humwabudu kila apitapo………….
  4. Andika kinyume cha neno baridi…………………..
SEHEMU E:UFAHAMU: Soma habari ifuatayi kisha jibu maswali
Chakula bora ni muhimu sana kwa wagonjwa na hasa magonjwa ya muda mrefu kama vile UKIMWI, kifua kikuu na saratani. Mgonjwa anayekula vizuri, dawa hufanya kazi vizuri. Lishe bora kwa kweli, ndiyo dawa ya magonjwa kwa sababu mwili hujenga kinga.
Mtu asiyekula chakula cha kujenga mwili ni sawa na kujenga nyumba isiyo imara ambayo wakati wowote inaweza kubomoka.
  1. Dawa bora ya wagonjwa ili waweze kujenga kinga za mwili ni …………
(a) lishe bora (b) kuepuka magonjwa ya UKIMWI © kwinini (d) panado
  1. Magonjwa ya muda mrefu yaliyotajwa katika habari hii ni…………..
(a) Malaria na UKIMWI (b) kuharisha na Saratani © kifua kikuu, saratani na UKIMWI (d) UKIMWI, saratani na kwashakoo
  1. Dawa hufanya kazi vizuri zaidi kwa………………
(a) wagonjwa wa muda mrefu (b) kujenga nyumba bora © kukosa chakula bora (d) kula chakula bora
  1. Mtu aliyekula chakula cha kujenga mwili ni sawa na………..
(a) kufa haraka (b) kujenga nyumba isiyo imara © kukosa chakula bora (d) UKIMWI
  1. Mwandishi amesema katika habari kuwa chakula bora ni muhimu kwa……
(a) watoto (b) wanafunzi © wagonjwa (d) wazee
 
MAJIBU
  1. A
  2. A
  3. B
  4. B
  5. D
  6. B
  7. A
  8. C
  9. B
  10. A
  11. Mvi
  12. huswali
  13. matunda
  14. kughani
  15. zamani
  16. kichuguu
  17. mbivu
  18. kuishi miaka mingi
  19. mlango
  20. joto
  21. A
  22. C
  23. D
  24. B
  25. C
]]>
SEHEMU A: Chagua jibu sahihi

<![CDATA[MASWALI NA MAJIBU -6: DARASA LA 3 & 4]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1074 Tue, 31 Aug 2021 03:24:33 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1074 SEHEMU A: Jibu maswali kwa kuchagua jibu na kuandika katika sehemu iliyowazi.
  1. Piga yowe maana yake ni………………
(a) piga kelele (b) imba kwa sauti ya juu © furahi sana
  1. Wanyama pori ni wale…………………
(a) wanaofugwa (b) waishio porini © tembo na simba
  1. Neno keti maana yake ni……………………
(a) kaa chini (b) simama © andika
  1. Huyu kijana ni mwerevu. Neno huyu limetumika kuonesha…………….
(a) umbali (b) karibu © sifa
  1. Mama yake aliaga dunia Aga dunia maana yake ni………………
(a) fariki (b) aga watu © fanya sherehe
  1. Mtoto mwenye adabu…………………
(a) hupendwa (b) hupigwa na watu wengi © hulia hovyo
  1. Lipi kati ya mazao yafuatayo ni nafaka…………………..
(a) nazi (b) mbaazi © mahindi
  1. Mtu anayefanya kazi ya kufua na kupiga nguo pasi huitwa………………
(a) mpiga pasi (b) dobi © maridadi
  1. Wakatafakari maana yake ni…………….
(a) wakasahau (b) wakakariri © wakafikiri
  1. Shangazi aliweka fedha na funguo………..ndani ya pochi.
(a) yake (b) zake © wake
SEHEMU C: Jibu kwa kuchagua maneno katika kisanduku ulichopewa.
Quote:Usingizi ulipaa, fedha lukuki, walikaa chonjo, waliangua kicheko, walipigwa butwaa, walitega sikio, kufuja mali.

  1. Watu wote……..waliposikia Juma ameuawa na majambazi.
  2. Wanafunzi wote…………walipomwona mwalimu wao anacheza dansi.
  3. Alikuwa na……………lakini hakuwa na mipango mizuri ya matumizi.
  4. Baada ya kuota ndoto ya kutisha……….usiku wote.
  5. Wanakijiji………….kumsikiliza mgombea wa ubunge alipofanya kampeni yake.
SEHEMU D: Jibu swali 16-20 kwa kujaza nafasi zilizoachwa wazi. Andika kinyume cha sentensi hizi.
  1. Sitalala usingizi leo………………………..
  2. Chausiku hatarudi leo……………………
Kamilisha methali zifuatazo
  1. Mchagua jemba……………………..
  2. Jungu kuu……………………………
  3. Kila mtu humwabudu apitapo………………………
SEHEMU E: Vitendawili, Methali na Nahau
  1. Nyumba yangu ina mlango juu………………
  2. Haba na haba……………………
  3. Chapa mguu……………………..
  4. Kila niendapo hunifuata…………….
  5. Kula chumvi nyingi…………………
MAJIBU
  1. A
  2. B
  3. A
  4. B
  5. A
  6. A
  7. C
  8. B
  9. C
  10. B
  11. Walipigwa butwaa
  12. Waliangua kicheko
  13. Fedha lukuki
  14. Usingizi ulipaa
  15. Walitega sikio
  16. Nitalala usingizi leo
  17. Chausiku atarudi leo
  18. Si mkulima
  19. Halikosi ukoko
  20. Mlango
  21. Chupa
  22. Hujaza kibaba
  23. Tembea
  24. Kivuli
  25. Ishi niaka mingi
]]>
SEHEMU A: Jibu maswali kwa kuchagua jibu na kuandika katika sehemu iliyowazi.

<![CDATA[MASWALI NA MAJIBU-7: DARASA LA 3 & 4]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1073 Tue, 31 Aug 2021 03:16:28 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1073 SEHEMU A: Chagua jibu sahihi
  1. Haraka haraka haina……………………
(a) papara (b) baraka © haraka
  1. Fikiri kabla ya ………………..
(a) kutenda (b) kutendwa © kuhisi
  1. Mbwa ni …………..wa nyumba yetu
(a) msumbufu (b) mnyama © mlinzi
  1. Juma alimuua mbwa wake kwa………………
(a) bomu (b) risasi © bunduki
  1. Wezi walishindwa kuiba nyumbani kwa Juma kwa sababu ya………..wa fensi yake.
(a) ukali (b) ukubwa © ujanja
  1. Mtu anaposema vijana wale ni chanda na pete maana yake ni………………
(a) majirani (b) marafiki © kuwa na joto (d) wanaishi karibu karibu
  1. Kinyume cha nahau vunjika moyo ni………………………….
(a) tia for a (b) mezea mate © tia moyo (d) kata tamaa
SEHEMU B: Chagua muundo sahihi kukamilisha sentensi.
Quote:kabla ya, baada ya, kwa ajili ya, bila shaka, huna budi, mara kwa mara

  1. Wingu jeusi limetanda angani kote…………….mvua itanyesha sasa hivi.
  2. Ukitaka kufaulu ……………kusoma kwa bidii.
  3. ………………kumsubiri muda mrefu, hatimaye mgeni aliwasili.
  4. ………………kuanza kujibu swali lolote lile ni vizuri kulisoma tena na tena.
  5. Anafaulu kwa sababu hupitia masomo yake…………..
  6. Wageni wote tayari wameshawasili……….mkutano.
SEHEMU C: Oanisha maneno ya orodha A na yale ya orodha B
             ORODHA A                           ORODHA B
  1. Kushirikiana           (        )        Kuweka vitu tayari
  2. Ndugu                      (        )        Watu waliozaliwa pamoja
  3. Shabaha                  (        )        kufanya pamoja
  4. Kuandaa                 (        )        kusudi, lengo
  5. Kuogopa                 (        )        kukamata kitu
  6. Kutundika mtini  (        )        kuwa na hofu
  7. Shika                       (        )        kuning’iniza juu ya mti
SEHEMU D: Soma habari ifuatayo kisha jibu maswali
Sijali hakuwa mwangalifu wa maisha yake, siku moja alichomwa na mwiba mguuni. Majirani zake walimwambia aende hospitalini lakini hakujali. Mwishowe mguu ulivimba na kidonda chake kuoza na kutoa harufu. Hali ilipokuwa mbaya alitafuta msaada na kwenda hospitali. Maskini Sijali mguu wake ulikuwa umeoza na dawa pekee ilikuwa ni kuukata. Ama kweli mdharau mwiba mguu huota tende.
Jaza nafasi zilizoachwa wazi.
  1. Sijali hakuwa………………….wa maisha yake.
  2. Kina nani walimwambia Sijali aende hospitali?…………….
  3. Kutokana na kisa cha Sijali andika maana ya methali mdharau mwiba mguu huota tende………………..
  4. Mguu wa Sijali ulikuwa umekwisha……………na ukatakiwa……………
  5. Umejifunza nini kutokana na habari hii uliyosoma?………………
MAJIBU
  1. B
  2. A
  3. C
  4. C
  5. B
  6. B
  7. C
  8. Bilashaka
  9. Huna budi
  10. Baada ya
  11. Kabla ya
  12. Mara kwa mara
  13. Kwa ajili ya
  14. C
  15. B
  16. D
  17. A
  18. F
  19. G
  20. E
  21. Mwangalifu
  22. Majirani
  23. Anayedharau tatizo mwishowe hujuta
  24. Oza na kukatwa
  25. Mdharau mwiba mguu huota tende

<![CDATA[MASWALI NA MAJIBU – 8: DARASA LA 3 & 4]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1071 Mon, 30 Aug 2021 12:39:28 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1071  SEHEMU A: Chagua herufi ya jibu sahihi
  1. Mwanambee maana yake ni mtoto wa…………..
(a) mwisho (b) kwanza © pili (d) tatu
  1. Vaa miwani ni nahau inayomaanisha……………..
(a) lewa pombe (b) vaa vizuri © vinga (d) weka miwani machoni
  1. Neno lenye maana sawa na chumvi ni.
(a) sukari (b) munyu © chungu (d) kiungo
  1. Rubani hufanya kazi ya kuendesha…………..
(a) ndege (b) meli © bodaboda (d) treni
  1. Kisawe cha neno pangaboi ni ……………
(a) feni (b) panga © kitasa (d) ufunguo
  1. Kinyume cha neno “cheka” ni ……………….
(a) piga kelele (b) kaa kimya © chekelea (d) lia
  1. Mahali njia mbili zinapokutana huitwa……………….
(a) barabara (b) njia panda © kona ya njia (d) njia mbili
  1. Neno lenye maana sawa na dhiki ni…………….
(a) shida (b) raha © maudhi (d) karaha
  1. Watoto watatu wamefali mtihani. Neno lipi linaloonesha kiasi?
(a) watoto (b) wamefeli © ni (d) watatu
  1. Sehemu ambayo watu mbalimbali huuza vitu mara moja kwa wiki panaitwa……….
(a) gulio (b) soko © duka (d) kibanda
  1. Kitinda mimba maana yake ni mtoto wa………………
(a) kwanza (b) wa mwisho © anayezaliwa (d) yatima
 
SEHEMU B: Methali, nahau na vitendawili
  1. Aga dunia maana yake ni…………………….
  2. Nyumba yangu haina mlango…………………
  3. Ahadi ni ………………………………..
  4. Pata jiko………………………………..
  5. Kuku wangu katagia mibani……………….
 
SEHEMU C: Oanisha maneno ya fungu A na yale ya fungu B ili kupata maana.
ORODHA A                                         ORODHA B
  1. Msitu                   [        ]        Sehemu ya juu inayofunika nyumba
  2. Koboa                  [        ]        mbuzi dume
  3. Paa                      [        ]        asiyeweza kusema
  4. Bubu                    [        ]        miti mingi
  5. Beberu                 [        ]        ondoa maganda ya juu kwenye nafaka
 
SEHEMU D: Soma habari kwa makini kisha jibu maswali
Fisi ni mnyama wa porini. Ana madoa meupe na meusi. Mikono ya fisi ni mifupi kuliko miguu yake kwa hiyo akitembea anachechemea kidogo. Fisi hula mizoga ya wanyama wanaofugwa kama vile mbuzi, ng’ombe na kondoo wetu. Kaka alikuta kondoo ameuawa aliuliza, nani amemuua kondoo wetu. Tukajibu sisi hatujui labda wanyama wa porini.
MASWALI
  1. Mikono ya fisi ni mifupi kuliko miguu hivyo humfanya atembee kwa……..
(a) kurukaruka (b) kuchechemea © kasi sana (d) taratibu
  1. Fisi hupenda kula……………ya wanyama waliokufa.
(a) nyama (b) mboga © mizoga (d) maiti
  1. Fisi ni mnyama………………
(a) afugwae (b) baharini © mjini (d) porini
  1. Wanyama ambao fisi hupenda kuwashambulia ni……………..
(a) paka, mbuzi na kondoo
(b) ng’ombe, mbuzi na sungura
© mbuzi, ng’ombe na kondoo
(d) kondoo, paka na mbwa
 
MAJIBU
  1. B
  2. A
  3. B
  4. A
  5. A
  6. D
  7. B
  8. A
  9. D
  10. A
  11. B
  12. Kufikiri
  13. Yai
  14. Deni
  15. Kuoa
  16. Nanasi
  17. D
  18. E
  19. A
  20. C
  21. B
  22. B
  23. C
  24. D
  25. C
]]>
 SEHEMU A: Chagua herufi ya jibu sahihi

<![CDATA[MASWALI NA MAJIBU – 9: DARASA LA 3 & 4]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1070 Mon, 30 Aug 2021 12:32:27 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1070 SEHEMU A: Pigia mstari neno tofauti
  1. Dada, mama, babu, shangazi
  2. Cheza, imba, inama, matunda
  3. Mia, tisini, kumi, namba
  4. Dereva, fundi, kipofu, mvuvi
  5. Samba, chui, kondoo, ndovu
SEHEMU B:
  1. Mbwa wetu akimwona adui…………….
(a) hulia (b) huruka © hubweka (d) hucheza
  1. ……………….maji ya kunywa ili yawe salama
(a) chuja (b) chemsha © poza (d) koroga
  1. Waliposafiri waliona nyumba nyingi………ya barabara.
(a) juu (b) chini © nje (d) kando
  1. Mtoto wa mwisho kuzaliwa huitwa…………mimba.
(a) kifungua (b) kianza © kitinda (d) mwisho
  1. Fundi seremala ametengeneza…………….
(a) thamani (b) sanani © samani (d) samanini
 
SEHEMU C: Methali, nahau, vitendawili na misemo
  1. Tamaa mbele mauti……………
(a) kati (b) kidogo © nyuma (d) mbele
  1. Mariam ana mkono wa birika. Neno lililopigiwa mstari maana yake ni.
(a) mwizi (b) mlevi © mtukufu (d) mchoyo
  1. Leo ni leo asemaye kesho ni……………..
(a) mjanja (b) mkweli © mjinga (d) mwongo
  1. Mama hachoki kunibeba. Tegua kitendawili…………..
(a) kiti (b) meza © kitanda (d) punda
  1. Teketeke huzaa gumugumuna gumugumu huzaa teketeke. Tegua kitendawili.
(a) papai (b) mhindi © ndizi (d) nanasi
SEHEMU D:
  1. Wingi wa neno saa ni…………………
(a) saa (b) masaa © misaa (d) lisaa
  1. Kinyume cha neno anza ni …………….
(a) mianzo (b) maliza © anzisha (d) anzia
  1. Juma ni mjanja kama…………………………
(a) fisi (b) nguruwe © sungura (d) tembo
  1. Bwana afya ………………kuzingatia kanuni bora za afya.
(a) alitusamehe (b) alitukanya © alitukaripia (d) alituhimiza
  1. Ali …………..usingizini baada ya mbu kumshambulia.
(a) jigambo (b) jitapa © jipa moyo (d) zinduka
SEHEMU E: UFAHAMU
Familia yam zee Bulicheka ina watoto sita. Watoto wawili wakikeni Rabia na Riziki. Watoto wawili wa kiume ni Joseph  na Joakim. Mtoto wa kwanza kuzaliwa ni Roziana. Kitinda mimba ni Joakim. Riziki ni mtoto wa pili kuzaliwa. Watoto wote wa mzee Bulicheka wamesoma hadi chuo kikuu. Kila mmoja ana kazi yake. Joakim ni rubani. Riziki ni muuguzi. Watoto wengine ni walimu.
MASWALI
  1. Kifungua mimba katika familia yam zee Bulicheka ni nani?
(a) Joseph (b) Riziki © Roziana (d) Joakim
  1. Joakim ni mtoto wa ngapi?
(a) wa mwisho (b) wawili © watatu (d) wa nne
  1. Watoto wangapi wa mzee Bulicheka hawakutajwa?
(a) wa kwanza (b) wawili © watatu (d) wanne
  1. Nani kati yao anafanya kazi hospitalini?
(a) Joakim (b) Roziana © Riziki (d) Joseph
  1. Riziki ni mtoto wa ngapi kuzaliwa?
(a) wa kwanza (b) wa pili © wa tatu (d) wa nne
MAJIBU
  1. Babu
  2. Matunda
  3. Namba
  4. Kipofu
  5. Kondoo
  6. C
  7. B
  8. D
  9. C
  10. C
  11. C
  12. D
  13. D
  14. C
  15. B
  16. A
  17. B
  18. C
  19. D
  20. D
  21. C
  22. A
  23. B
  24. C
  25. B
]]>
SEHEMU A: Pigia mstari neno tofauti

<![CDATA[MASWALI NA MAJIBU- 10: DARASA LA 3 & 4]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1069 Mon, 30 Aug 2021 12:21:03 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1069 SEHEMU A: Andika neno linaloonesha mtendaji
           Kitendo                                   Mtendaji
  1. Vua samaki …………………
  2. Jenga nyumba …………………
  3. Suka nywele …………………
  4. Fuga mifugo …………………
  5. Pika chakula …………………
SEHEMU B: Chagua herufi ya jibu sasa
  1. Kila siku nina amka…………..ili kufanya usafi
(a) alasiri (b) alfajiri © jioni
  1. …………..yashule yetu ni shati jeupe na sketi ya bluu.
(a) vazi (b) sare © rangi
  1. Wakulima huhifadhi mazao yao katika…………
(a) duka (b) ghala © shamba
  1. Kibogoyo ni mtu…………..
(a) asiye na macho (b) ambaye ni mvivu © asiye na meno
  1. Baba anafanya kazi inayompatia……………kikubwa.
(a) mapato (b) kipato © jasho
SEHEMU C: Methali, vitendawili  na nahau
  1. Mwenda pole…………………..
  2. Kupata jiko…………………….
  3. Kipara cha babu kinafuka moshi……………
  4. Baada ya dhiki……………………..
SEHEMU D: Umoja na Wingi
            Umoja                                               Wingi
  1. Tongotongo                                      ……………………..
  2. ……………                                                vichaka
  3. Mlemavu                                            ………………………
SEHEMU E: Kinyume cha maneno
  1. Panda…………………………
  2. Usiku…………………………
  3. Chota…………………………
SEHEMU F: Andika wakati uliotumika
  1. Mama alipika ugali…………………..
  2. Watoto wanacheza mpira…………….
  3. Shangazi atapata maua………………..
SEHEMU G: Pigia mstari neno lililotofauti na mengine
  1. Nanasi, papai, samaki, topetope
  2. Mbuzi, ng’ombe, kondoo, mjusi
MAJIBU
  1. Mvuvi
  2. Mwashi
  3. Msusi
  4. Mfugaji
  5. Mpishi
  6. B
  7. B
  8. B
  9. C
  10. B
  11. Hajikwai
  12. Kuoa
  13. Ugali
  14. Faraja
  15. Matongotongo
  16. Kichaka
  17. Walemavu
  18. Shuka/vuna
  19. Mchana
  20. Mwaga
  21. Uliopita
  22. Uliopo
  23. Ujao
  24. Samaki
  25. Mjusi
]]>
SEHEMU A: Andika neno linaloonesha mtendaji

<![CDATA[MTIHANI WA MUHULA WA I- DRS LA IV JUNI, 2021]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=683 Fri, 30 Jul 2021 12:34:35 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=683
.docx   MTIHANI WA KISWAHILI DRS LA IV 2.docx (Size: 22.17 KB / Downloads: 6) ]]>

.docx   MTIHANI WA KISWAHILI DRS LA IV 2.docx (Size: 22.17 KB / Downloads: 6) ]]>
<![CDATA[MAZOEZI YA NYUMBANI – DARASA LA TATU + MAJIBU]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=507 Tue, 13 Jul 2021 03:28:49 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=507
.pdf   KISW-DRS-3-NA-MAJIBU-YAKE.pdf (Size: 43.69 KB / Downloads: 4) ]]>

.pdf   KISW-DRS-3-NA-MAJIBU-YAKE.pdf (Size: 43.69 KB / Downloads: 4) ]]>
<![CDATA[KAZI YA NYUMBANI DARASA LA SITA APRILI 2021 + MAJIBU]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=371 Wed, 30 Jun 2021 13:37:10 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=371
.pdf   MASWALI NA MAJIBU.pdf (Size: 9.49 KB / Downloads: 4) ]]>

.pdf   MASWALI NA MAJIBU.pdf (Size: 9.49 KB / Downloads: 4) ]]>