MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

<![CDATA[JIFUNZE KISWAHILI - Maswali na majibu]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/ Sun, 28 Apr 2024 09:19:16 +0000 MyBB <![CDATA[KIT 06208: KAZI MRADI – NOVEMBA 2021]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1443 Thu, 11 Nov 2021 04:00:32 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1443
.docx   KAZI MRADI NUSU MUHULA WA PILI 2021.docx (Size: 346.43 KB / Downloads: 1) ]]>

<![CDATA[ZOEZI LA UTUNGAJI : MASWALI NA MAJIBU]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1058 Sat, 28 Aug 2021 07:04:39 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=1058 ZOEZI LA UTUNGAJI : MASWALI NA MAJIBU
Zoezi la kuandika: Utungaji
Katika makundi ya wanafunzi wawili wawili, watunge kifungu cha habari ambacho kinadhihirisha matumizi ya nahau zisizopungua tano.
Mfano wa kifungu chenye kutumia nahau zisizopungua tano
Kulikuwa familia moja ya Baba , bibi na watoto. Wanaishi kijiji Maendeleo. Familia hii ina matatizo ya makao, kupata chakula si kitu rahisi kwao, watoto hupekua….. Kila wakati baba akipata pesa kazi yake ni kuponda raha na kuvaa miwani. Haleti chochote nyumbani.
Kwa ushirikiano wa watoto na mama wao walijijengea nyumba ya mbavu za mbwa na mahali pa kwenda kujisaidia. Baadaye, baba naye alitoa mchango wake na kuepukana na tabia zote mbaya alizokuwa nazo. Walianza kuwa na maendeleo na kuishi kwa amani.
Watoto wao walikomaa na kufika kwa umri wa kujipatia jiko. Msichana wake alipata kijana ambaye alikuwa na nia ya kumuoa. Walikuwa pete na kidole.
Watoto wote walibahatika katika familia zao na baba na mama nao wanashukuru Mungu aliyewasidia. Hivi sasa ni famalia tajiri. 106
MAJIBU KUHUSU TATHMINI YA MADA YA PILI
Sanaa ni ufundi unaowakilisha mawazo na hisia alizo nazo binadamu kwa njia ya ubunifu.
Kuna aina mbalimbali za sanaa kama vile uchoraji, uchongaji, ususi, uhunzi, usonara, fasihi, uashi, sinema, uimbaji, ufinyanzi, ufumaji, upishi, ushonaji, udarizi n.k.
Sanaa ina nafasi kubwa kwa ujenzi wa taifa, kwani hupunguza ukosefu wa ajira na huwezesha jamii kutosheleza baadhi ya mahitaji yao ya kila siku kupita kazi mbalimbali zinazofanywa na wasanii. Wasanii nao hujiendeleza kiuchumi kutokana na pato linalotoka kwenye kazi zao .
Tanzu za fasihi simulizi ni:
Hadithi
Methali
Nahau
Vitendawili
Nyimbo na mashairi
Fasihi ina umuhimu mkubwa katika jamii. Katika jamii fasihi inaweza:
Kuelimisha jamii
Kuburudisha jamii,
Kuhifadhi na kurithisha amali za jamii,
Kudumisha na kuendeleza lugha
Kuunganisha jamii,
Kukuza uwezo wa kufikiri,
Kumtajirisha msanii
Fasihi inaweza kuwa chanzo cha madhara katika jamii inapotumiwa vibaya kupitia nyimbo na methali zinazochochea ubaguzi na uadui baina ya wanajamii. Mfano ni jinsi nyimbo zilivyochochea uhasama baina ya wananchi na kuishia kwenye mauwaji ya kimbari yaliyotokea nchini Rwanda mnamo mwaka wa 1994.
  1. Soga
Huu ndio mwisho wa hadithi au Hadithi inakomea hapa.
“Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo” Methali hii inamaanisha kwamba jinsi unavyomlea mtoto wako ndivyo atakavyokua. Yaani ukimpa malezi mazuri naye atakuwa mzuri, yakiwa mabaya naye atakuwa mbaya vile vile.
Methali hiyo ni “Ahadi ni deni”
  1. kufukuzwa kazini
  2. Kudanganya mtu na maneno matamu
Majibu
hili
yule
hayo
mawili
manane
matatu
langu
hayo
langu
lipi
Majibu
Sisi tuna malengo ya kupambana na majangwa.
Vijana warefu walibeba makasha makubwa.
Mashirika ya reli yaliagiza magarimoshi makubwa.
Madaftari yanapashwa kuhifadhiwa vizuri.
Mambo haya yanawafurahisha wengi
Mawe yangu yana thamani kubwa
Mapapai yapi yameivya ?
Meno yako yameng’oka?
Majaribio ya leo yamesahihishwa.
Majanga makubwa yamesababisha maafa.
]]>
ZOEZI LA UTUNGAJI : MASWALI NA MAJIBU

<![CDATA[SWALI: Nini maana ya stadi ya kusikiliza? Eleza vipengele vyake]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=709 Sun, 01 Aug 2021 10:56:12 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=709 JIBU
Kusikiliza ni stadi inayomuwezesha mtu kupokea maarifa kwa kusikiliza toka kwa mtu mwingine, au kutoka kwenye media zilimorekodiwa masuala mbalimbali kama vile santuri,vinasa sauti,tepu rekoda au hata kwenye redio.
Stadi ya kusikiliza kama zilivyo stadi nyingine hutawaliwa na vipengele mbalimbali ambavyo husimamia usikilizaji wa mtu. Vipengele hivyo ni:
  1. Viungo timamu vya mwili vinavyohusiana na usikiaji
  2. Utayari wa kusikiliza kinachosemwa na mzungumzaji
  3. Hamu ya kusikiliza kinachosemwa
  4. Utulimu na umakini wakati wa kusikiliza
  5. Uwezo wa kutafsiri na kuhusianisha yanayosemwa na mazingira yake ya kila siku
  6. Uchaguzi mzuri wa mawazo makuu katika kile anachosikiliza
  7. Uzingatiaji wa mambo yanayozungumzwa na kutathimini umuhimu wake
Katika stadi ya kusikiliza, msikilizaji anaweza asipate mawasiliano barabara kutokana na tatizo lake mwenyewe, kama vile ulemavu wa viungo vya kusikiliza, mazingira yasiyofaa kama vile kelele au uwezo mdogo wa kumbukumbu.]]>
JIBU

<![CDATA[Bainisha athari za lugha za asili (vilugha/vernacular language) katika Kiswahili]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=606 Tue, 20 Jul 2021 10:55:26 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=606 Swali: Bainisha athari za lugha za asili (vilugha/vernacular language) katika lugha ya Kiswahili sanifu

.pdf   Swali-Bainisha-athari-za-lugha-za-asili-katika-lugha-ya-Kiswahili-sanifu.pdf (Size: 240.98 KB / Downloads: 10) ]]>
Swali: Bainisha athari za lugha za asili (vilugha/vernacular language) katika lugha ya Kiswahili sanifu

.pdf   Swali-Bainisha-athari-za-lugha-za-asili-katika-lugha-ya-Kiswahili-sanifu.pdf (Size: 240.98 KB / Downloads: 10) ]]>
<![CDATA[KIT 05104: KUCHAMBUA FONOLOJIA NA MOFOLOJIA YA KISWAHILI]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=481 Fri, 09 Jul 2021 14:53:31 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=481
Kwa kutumia mifano dhahiri na kwa kuzingatia namna konsonanti zinavyotamkwa elezea namna konsonanti za Kiswahili zinavyoainishwa.
 
BOFYA HAPA CHINI KUFUNGUA >>>

.pdf   KIT-05104-KUCHAMBUA-FONOLOJIA-NA-MOFOLOJIA-YA-KISWAHILI.pdf (Size: 349.85 KB / Downloads: 2) ]]>

<![CDATA[KIT 05208 ZOEZI BINAFSI 2020 + MAJIBU]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=414 Thu, 01 Jul 2021 10:12:10 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=414
.pdf   KIT 05208 NJIA ZA KUJIFUNZIA SOMO LA KISWAHILI- ZOEZI BINAFSI 2020.pdf (Size: 343.14 KB / Downloads: 1) ]]>

<![CDATA[KIT 05208 MTIHANI WA NUSU MUHULA 2019/2020 + MAJIBU]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=413 Thu, 01 Jul 2021 09:50:04 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=413
.pdf   KIT 05208 MID SEMESTER FOR ODL - 2020.pdf (Size: 521.92 KB / Downloads: 0) ]]>

<![CDATA[ODC 057/OFC 008: KISWAHILI]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=132 Fri, 18 Jun 2021 14:52:49 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=132
.pdf   ODC 057 (JUNI 2017).pdf (Size: 267.1 KB / Downloads: 2) ]]>

<![CDATA[OFC 008/ODC 057:KISWAHILI]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=131 Fri, 18 Jun 2021 14:50:23 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=131
.pdf   ODC 057 (JUNI 2016).pdf (Size: 225.78 KB / Downloads: 2) ]]>

<![CDATA[ODC 057OFC 008: KISWAHILI]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=130 Fri, 18 Jun 2021 14:48:09 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=130
.pdf   ODC 057 (JUN 2017).pdf (Size: 269.23 KB / Downloads: 3) ]]>

<![CDATA[OFC 008/ODC 057: KISWAHILI]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=129 Fri, 18 Jun 2021 14:46:55 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=129
.pdf   ODC 057 (JAN2017).pdf (Size: 215.01 KB / Downloads: 0) ]]>

<![CDATA[OFC 008/ODC 057: KISWAHILI]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=128 Fri, 18 Jun 2021 14:44:22 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=128
.pdf   ODC 057 (JAN 2017).pdf (Size: 268.76 KB / Downloads: 0) ]]>

<![CDATA[OFC 008/ODC 057: KISWAHILI]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=127 Fri, 18 Jun 2021 14:42:44 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=127
.pdf   ODC 057 (JAN 2016).pdf (Size: 341.38 KB / Downloads: 2) ]]>

<![CDATA[ODC 057/OFC008: KISWAHILI]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=126 Fri, 18 Jun 2021 14:41:35 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=126
.pdf   ODC 057 (FEB 2016).pdf (Size: 300.51 KB / Downloads: 0) ]]>

<![CDATA[Kwa hoja na mifano hai, jadili tofauti kati ya uchunguzi wa maana kisemantiki na uchu]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=125 Fri, 18 Jun 2021 14:39:54 +0000 MwlMaeda]]> https://jifunzekiswahili.co.tz/showthread.php?tid=125
.pdf   Tofauti ya maana kisemantiki na kiparagmatiki.pdf (Size: 88.52 KB / Downloads: 0) ]]>