08-02-2021, 07:29 AM
Mbwa aliyekufa hapigwi teke.
Mbwa hafi maji akiona ufukwe.
Mbwa koko mkali kwao.
Mbwa kukalia mkia wake ndio starehe yake.
Mbwa mwenye kubweka haumi.
Mbwa mzee hafunzwi mbinu mpya.
Ukitaka kumuua Mbwa mpe jina baya.
Meno ya Mbwa hayaumani.
Mbwa wa Mfalme ni mfamle.
Mbwa hubwekea nyumbani sio njiani.
Mbwa mtupie fupa upate mradi wako.
Mbwa mwenye inda hubwekea ng’ombe.
Mbwa dume hanuswi matako.
Mbwa hafi maji akiona ufukwe.
Mbwa koko mkali kwao.
Mbwa kukalia mkia wake ndio starehe yake.
Mbwa mwenye kubweka haumi.
Mbwa mzee hafunzwi mbinu mpya.
Ukitaka kumuua Mbwa mpe jina baya.
Meno ya Mbwa hayaumani.
Mbwa wa Mfalme ni mfamle.
Mbwa hubwekea nyumbani sio njiani.
Mbwa mtupie fupa upate mradi wako.
Mbwa mwenye inda hubwekea ng’ombe.
Mbwa dume hanuswi matako.
Mwl Maeda