Thread Rating:
  • 0 Vote(s) - 0 Average
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
Ni mambo gani yanayoangaliwa unapohariri mswada?
#1
Mambo yanayoangaliwa ni:
i. Aina ya mswada.
ii. Muundo wa mswada.
iii. Maudhui ya mswada.
iv. Ufasaha wa lugha iliyotumika.
v. Usahihi wa alama za uandishi na matumizi ya herufi kubwa na ndogo.
vi. Wahusika waliotumika katika mswada.
vii. Walengwa wa mswada.
viii. Kufaa au kutofaa kwa mswada.
Mwl Maeda
Reply


Forum Jump:


Users browsing this thread: 1 Guest(s)