Matumizi ya kihusishi "kwa"
1. Huonesha mahali au upande: Mano, amekwenda kwa mjomba wake.
2. Huonesha sababu au kisababishi cha jambo: mfano; ninaishi kwa ajili yako.
3. Huonesha wakati: mfano; sina nafasi kwa sasa.
4. Huonesha sehemu Tulani ya kitu kikubwa, mfano: Mpira umekwisha wakiwa wamefungana nneĀ kwa tatu.
5. Huonesha jinsi kitendo kilivyotendeka: Mfano; alimvuta kwa nguvu sana ndio maana
limevunjika.
6. Kuonesha matumizi ya kitu. Mfano: Alisafiri kwa basi

Mwl Maeda