MWONGOZO WA MAFUNZO KAZINI KWA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI SOMO LA KISWAHILI - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Zana za kufundishia (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=69) +--- Thread: MWONGOZO WA MAFUNZO KAZINI KWA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI SOMO LA KISWAHILI (/showthread.php?tid=698) |
MWONGOZO WA MAFUNZO KAZINI KWA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI SOMO LA KISWAHILI - MwlMaeda - 08-01-2021 MWONGOZO WA MAFUNZO KAZINI KWA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI SOMO LA KISWAHILI 1.0 UTANGULIZI Somo la Kiswahili ni miongoni mwa masomo ambayo yameonekana kuwa na changamoto katika mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji. Katika kukabiliana na changamoto hizi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kushirikiana na wadau mbalimbali wa elimu wamefanya jitihada za kuandaa miongozo ya masomo mbalimbali ikiwa ni pamoja na mwongozo wa Ufundishaji wa Walimu Kazini wa Somo la Kiswahili.
Mwongozo huu umeandaliwa ili kuweza kuziba mapengo ya ufundishaji na ujifunzaji wa baadhi ya mada za somo la Kiswahili kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne. Mwongozo umekusudiwa kutumika katika mzunguko wa kwanza kwa mafunzo ya walimu wa sekondari wa somo la Kiswahili.
BOFYA HAPA CHINI KUSOMA YOTE>>>>>>>>>>[attachment=482] |