DHIMA YA DAYALOJIA/MAJIBIZANO KATIKA KAZI ZA FASIHI - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Sekondari (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=4) +---- Forum: Kidato cha tano na sita (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=44) +----- Forum: Maswali na majibu (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=47) +----- Thread: DHIMA YA DAYALOJIA/MAJIBIZANO KATIKA KAZI ZA FASIHI (/showthread.php?tid=524) |
DHIMA YA DAYALOJIA/MAJIBIZANO KATIKA KAZI ZA FASIHI - MwlMaeda - 07-13-2021 Eleza dhima ya dayalojia katika kazi za fasihi ukitoa hoja madhubuti.
Katika kazi za Fasihi dayalojia hutumiwa zaidi katika tamthiliya ingawa hujitokeza pia katika kazi za Fasihi kama riwaya. Utokeaji wa dayalojia hufanya kipengele hiki kionekane kuwa na umuhimu wa pekee na kuleta ulazima wa kuchambua umuhimu wake. Umuhimu wa dayalojia ni kama ufuatao:
Kwa ujumla dayalojia ni kipengele muhimu sana katika kazi ya Fasihi hasa tamthiliya kwani pamoja na mambo mengine lakini hipa uhalisia zaidi kazi ya Fasihi na kuchochea tafakari ya mambo yalivyo katika jamii.
|