MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

Ogopa sana mtu mkimya - Printable Version
JIFUNZE KISWAHILI
Ogopa sana mtu mkimya - Printable Version

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Je, wajua ? (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=71)
+--- Thread: Ogopa sana mtu mkimya (/showthread.php?tid=490)

Ogopa sana mtu mkimya - MwlMaeda - 07-10-2021

Ogopa sana mtu mkimya,

1. Wako vizuri kwenye kutunza SIRI

2. Siyo rahisi kuwaelewa.

3. Anaweza kukufanya lolote na usitambue kamwe kwamba yeye ndiye chanzo.

4. Huwa wana ajenda nyingi ndani zilizojificha.

5. Hawatabiriki.

Umakini muhimu kusoma ukimya wa mtu

RE: Ogopa sana mtu mkimya - MwlKapinga - 08-03-2021

Mwalimu wangu habari za kazi!
Mimi nimeandika ujumbe huu nataka nikuulize faida na basara za ukimya, maana sio kila mtu mkimya anakua na faida, ASANTE ??

RE: Ogopa sana mtu mkimya - MwlMaeda - 08-05-2021

(08-03-2021, 11:12 AM)MwlKapinga Wrote: Mwalimu wangu habari za kazi!
Mimi nimeandika ujumbe huu nataka nikuulize faida na basara za ukimya, maana sio kila mtu mkimya anakua na faida, ASANTE ??

Karibu sana,
Faida za ukimya wa mtu ni pamoja na kutofahamika mambo yake hovyo kwa watu lakini pia humuepusha na migogoro mingi isiyo ya lazima.