TUJIFUNZE KISWAHILI MAANA KINAKUA KWA KASI - Printable Version +- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz) +-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1) +--- Forum: Kamusi (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=70) +--- Thread: TUJIFUNZE KISWAHILI MAANA KINAKUA KWA KASI (/showthread.php?tid=358) |
TUJIFUNZE KISWAHILI MAANA KINAKUA KWA KASI - MwlMaeda - 06-29-2021 1. Charger – kimemeshi 2. Remote – kitenzambali 3. Password – nywila 4. Akala (bladder shoes) – kirikiri 5. Passion fruit – karakara 6. Kangaroo – bukunyika 7. Fridge – jokofu 8. Juice – sharubati 9. Chips – vibanzi 10. PHD – uzamivu 11. Masters degree – uzamili 12. Degree – shahada 13. Diploma – Stashahada 14. Certificate – Cheti 15. Keyboard – kicharazio/baobonye 16. Scanner – mdaki 17. Flash disk – diski mweko 18. Mouse (for a computer) – kiteuzi 19. Floppy disk – diski tepetevu 20. Computer virus – mtaliga 21. Distillation – ukenekaji 22. Evaporation – mvukizo 23. Synthesis – uoanishaji 24. Oesophagus – umio 25. Greenhouse – kivungulio 26. Femur – fupaja 27. Germ cell – selizazi 28. Humus – mboji 29. Nector – mbochi/ntwe 30. Nutrients – virutubisho 31. Crystal – fuwele 32. Appetizers – vihamuzi 33. ATM – kiotomotela 34. Business card – kadikazi 35. Scratch card – kadi hela 36. Simcard – kadiwia/mkamimo 37. Memory card – kadi sakima 38. Microwave – tanuri ya miale 39. Mobile phone – rununu/rukono 40. Stapler – kibanizi 41. Laptop – kipakatalishi 42. Power saw – msumeno oto 43. Duplicating machine – kirudufu 44. Photocopier – kinukuzi 45. Cocktail party – tafrija mchapulo 46. Air conditioner – kiyoyozi 47. Calculator – kikokotozi 48. Lift – kambarau 49. Reaction-radiamali 50. Toothpick-kimbaka 51. Browser – Kisakuzi |