MyBB Internal: One or more warnings occurred. Please contact your administrator for assistance.

UANDISHI WA KAZI MRADI (PROJEKTI) - Printable Version
JIFUNZE KISWAHILI
UANDISHI WA KAZI MRADI (PROJEKTI) - Printable Version

+- JIFUNZE KISWAHILI (https://jifunzekiswahili.co.tz)
+-- Forum: My Category (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=1)
+--- Forum: Uandishi/Utungaji (https://jifunzekiswahili.co.tz/forumdisplay.php?fid=12)
+--- Thread: UANDISHI WA KAZI MRADI (PROJEKTI) (/showthread.php?tid=35)

UANDISHI WA KAZI MRADI (PROJEKTI) - MwlMaeda - 06-15-2021

Wakati wa kuandika kazi mradi (projekti) zingatia vipengele vifuatavyo:
  1. Kutambua mada

  2. Kutembelea eneo la kufanyia kazi mradi.

  3. Kusoma mapitio ya tafiti au marejeleo mbalimbali kuhusu mada unayotaka kuifanyia kazi mradi.

  4. Kupanga ikiwa ni pamoja na kuteua mbinu za kukusanya taarifa au data.

  5. Kutengeneza mabunio ya kazi mradi.

  6. Kukusanya data

  7. Kutathmini au kujaribu mabunio

  8. Kuchambua data.

  9. Kuwasilisha data.

  10. Kuandika ripoti.